GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hiyo Mikoa mingine ambayo huibuka Kila wanapojisikia tu ni ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyaturu na Wanyiramba, Kigoma kwa Waha, Dodoma hasa kwa Warangi Kondoa, Mwanza hasa kwa Wakara na Tabora kwa Wanyamwezi ambako ndiko Kumejaa Raia Waoga Waoga tupu Tanzania nzima.
Na muwaambie hao Panya Road wenu kuwa Siku wakikanyaga tu Mkoa wa Mara ( Musoma ) ndiyo utakuwa mwisho Wao na watajua ni kwanini Wimbo wa Taifa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko halafu hakuna Kibao cha Karibu Mkoani Mara.
Watani zangu tajwa hapa mpo?