MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
[emoji23][emoji1787]Hatutaki pole zenu za kinafki ili hali mnawapondea waume zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji1787]Hatutaki pole zenu za kinafki ili hali mnawapondea waume zetu
unaongea kwa hisia kama ulikuwa live kweny matukio tajwa , waswahili tuna kaujinga cha kuishi kwa uvumiKwahiyo Makonda ndiye alitoa pesa za kurepair?? Au alitumia tu ubabe kwa wenye Garage pamoja na kukomba pesa za wafanyabiashara kwa kisingizio anatengeneza magari ya polisi
ulichoandika ilibid kiwekwe kwenye katiba il asije kiongoz mpuuz akakitoa , waswahili wapo mjini kushangaa mataa ila wameyaacha mashamba kijijiniKuzuia vibaka ni rahisi sana lakini Kuna watu walioko juu wananufaika na uhalifu uwe wizi wa Mali za umma,uwe ugaidi ,uwe ni utakatishaji wa fedha, uwe ni uuzaji wa madawa ya kulevya . Uhalifu wowote una kundi la wanufaikaji? Nchi yenye ardhi kubwa namna hii lakini Kuna watu wanakaa mjini hawana kazi Vijana wakubwa.
Tunatumia Sheria za kijinga za Ulaya wanaoishi kwenye barafu!!! Ujinga Gani huu.
Fanya misako ya kitaifa nyumba Kwa nyumba kijana yeyote asiyesoma mwenye zaidi ya miaka 19 kamata peleka kwenye mapori chini ya usimamizi wa Jeshi la kujenga Taifa na Magereza na migambo . Jenga Kotazi za kuishi anzisha Kilimo Cha lazima . Weka maji ya kumwagilia kutegemea na mkoa . Kama ni Mtwara peleka Mtwara Lima korosho kama ni Tanga Lima mkonge,machungwa , mahindi ,Fuga lazima akizingua piga chuma tupa kule, Kama ni Singida Lima alizeti, kama ni Tabora Fuga Nyuki ,shinyanga Pamba, Mbeya Lima viazi ,mpunga , Moshi peleka Lima kahawa Kijiji au peleka Handeni kama Wamasai. Nchi hii ni ujinga mkubwa sana kuwaacha Vijana wasio na kazi mijini wakati ardhi ipo Kuna na tuna majeshi yasiyo na vita. JKT isiwe ni sehemu ya kunufaisha wachache kuwalimia mashamba yasiyo na tija Kwa Vijana. Kazi ya JKT iwe ni kuanzisha mashamba na kuyasimamia mwanzo mwisho mpaka yatoe viwanda na kuajiri hao Vijana kama wakati wa mkoloni.
Unaanzisha Shamba la Zabibu unaanzisha kiwanda Cha mvinyo unawaajiri na kuwalipa Vijana hao sio huu ujinga wa kuwagalagaza Vijana kwenye matope na Kilima mahindi halafu wanakula kama wafungwa miaka miwili wanaruji nyumbani eti hakuna ajira. Natamani hii nchi ningeipewa miaka kumi. Afrika nzima na Asia wangekuja Kununua kila kitu hapa hapa kuanzia vyakula na Mali ghafi. Hapo hatujagusa viwanda vya saruji. Ningehakikisha mpaka Huko mitaani wanatengengeza saruji kwenye viwanda vidogo vidogo Kwa ajili ya maskini Kununua sementi za viwango vya chini nyingine ingeuzwa nje. Hakuna bidhaa ingetoka nje kama inapatikana hapa au kulimwa hapa.
Wanasiasa wametuchelewesha Kwa kuendekeza siasa. Wapiga kura wangu ndio lugha yao. Siku hizi hakuna Tena Sheria ya kuwalazimisha watu kufanya kazi . Vijana Wana nguvu lakini wamekaa vijiweni kuendesha boda boda TU badala ya kuwatawanya wakazalishe Huko vijijini kama mpango kamili wa kuanzisha viwanda. Ukianzisha Shamba la mahindi la Vijana zaidi ya mia mbi unaweka na mashine za kusaga na kukoboa. Magari ya kusafirisha ,nyumba za kuishi ,wanasimamiwa Kijeshi kwa lazima baada ya miaka 10 wanakua ni watu huru wanaoajiriwa kuzalisha. Kuna nchi Ulaya zinaendesha uchumi wake Kwa kuzalisha magogo ya mbao TU. Yani hawana ardhi ya Kilimo zaidi ya kupanda miti na miti inachukua muda mrefu kukua Kwa sababu ya barafu. Sisi ardhi nzuri lakini wapumbavu wanaweka mabilioni ya pesa wanakopesha Vijana bodaboda badala ya kuwapeleka shambani kwa fedha hizo wakazalishe chakula. Leo hii Mchele unapanda Bei badala ya kushuka. Nafaka kama mahindi yanapanda Bei badala ya kushuka. Mahindi ,Mchele ,n.k. ni vyakula pia vya wanyama. Mchele na mahindi vinatakiwa biwe Bei Chee Ile mpaka nguruwe wale na Kuku na Ng'ombe na hatimaye binadamu ale mlo Bora wa nyama ,mayai, maziwa na mifugo ya samaki. Leo mwafrika chakula chake ni nafaka tuu muda wote na Tena mlo mmoja Kwa siku na kwa Bei juu.
Angalau Huseni Bashe anaweza akaja kuwa Waziri Mkuu Bora kabisa endapo nitafanikiwa kuwa mfalme wa Tanganyika Territory baada ya makia Elizabeth.
ili kuitoa afrika ilipo lazima uonekana mbaya , hata Zao Mau wapo wachina wansema alipingwa sana kipind anaanza kuingiza sera zake China ila leo wanamuenzMpuuzi Makonda angekuwa nchi za watu wenye akili angekuwa jela, sijawahi kuona mtu mpuuzi na mshamba kama Makonda, alikuwa na kila sifa ya madikteta uchwara wengine waliowahi kutokea Africa na alikuwa mwizi pia
hujavamiwa ndio maana unasmea ivo , unaambiwa zaid ya panya road 20 wote wana mapanga na hawakukaa sehem moja wapo waliokuwa wanavunja na kuiba hlf wengine wanalinda upepo , jiulize unaeza vunja milango 5 kwa dk 10 na kuwapora wote na kuvunja vunja furniturea kisha kuondoka bila kukamatwa na polisi , hapo kuna mpango mkakati mzito tofauti na mnavyowazungumzia humuHuko wanapoonewa na hao panyaroad hakuna ulinzi, sasa sehemu ambayo haina ulinzi si wanavamiwa mda wowote tu.. ulinzi unaanza na wananchi ulinzi sio polisi tu tatizo watu wamekariri kwamba ulinzi ni polisi au jeshi tu la hasha ulinzi unaanza na wananchi kulindana wao kwa wao
kwann unatetea mashetani au kwavile hujakutana na kazia ya hawa watoto , ni dharau tuna mawazir mpk wenye degree 2 ila watoto wa std 7 wanawashinda akiliNdio haujawa na hautakua rais sasa kwa sababu una maamuzi ya kichoko, wewe unafikiri kua rais ni kufanyafanya tu vile unavyojisikia wewe?
Hizi op zinafanyikaga kimya kimya tuWakiguswa panyaroad wanaharakati wataongea
Duukuduku lako limetoka, pumua vizuri sasa. Urudi kwenye mlolongo wa uzi.Unamaana inafanana na Ile ya Kibiti
Kwani Kinyerezi siyo kanda maalumu?Waleteni hao panya road huku kanda maalumu.
1. Nani namuhitaji ? -WEWE.
2. Niliwahi kulia kisa nini? -PANYA WA BARABARANI.