Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

Ningekuwa Rais ningemfukuza kazi Mkuu wa Mkoa wa DSM, tena ningetegea yupo kwenye ziara ndio nitengue uteuzi wake.

Na ningetuma watu wakamnyang'anye gari katikati ya ziara.

Huwezi kuwa mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama wa Mkoa halafu Panya road wanakushinda na unaendelea kubaki ofisini.

Hii ni mara ya pili watu wanakatwa mapanga na hao panya road. Nimeanza kuona ni kwanini Magufuli alikuwa anatumbua hawa watu, hawatimizi majukumu yao kwa usahihi.
Ndio haujawa na hautakua rais sasa kwa sababu una maamuzi ya kichoko, wewe unafikiri kua rais ni kufanyafanya tu vile unavyojisikia wewe?
 
Serikali inawa chekea sana hawa watoto , ongoza nchi kwa mkono wa chuma uone kama kuna taka taka yoyote inayoitwa panya road itatokea.

Kamata wote vulisha nguo wazamishe kwenye tanuru la moto waungue mpaka wabaki majivu uone kama kuna kikundi chochote cha kishenzi kitaji tokeza.
Unaandika hayo ukiwa nyuma ya keyboard alafu ukisikia nje kuna kelele zisizoeleweka ndio wa kwanza kujificha uvunguni mwa kitanda
 
Jiji limemshinda. Kwanza hata sijui mamlaka ya uteuzi iliona nini kwake hadi ikampa DSM.
Kama kuna wakuu wa Mikoa wa kufuta kazi, yeye anapaswa kuwa namba moja.
Umetumwa wewe sio bure​
 
Inawezekana kuna mkono ambao unachochea taharuki hizo.

...hii sio kawaida ya 'wahalifu' au majambazi.

Haya ni ya mipango, wanapanga wapi huo uhalifu.

Hatahivyo sikubaliani na utumiaji wa lugha ya Kimbari-Wahalifu ni wahalifu tu.
Unamaana inafanana na Ile ya Kibiti
 
Jamaa mmoja alinikera alivyotetea watoto wakirudi kucheza lazima watembee watano watano....'shit'

Na eti wananchi wanatabia ya kutishia tishia. Mtishiaji si amevunja Sheria!?
 
Baada ya kukaribia kufilimbwa na panya road tumeanaza kuona umuhimu wa polisi.[emoji23]
Ndiyo kazi yao na wanalipwa mishahara kwa kazi hiyo..........au unafikiri wapo kwa ajili ya kuokota za kubrashia viatu.
 
Hawa vijana wakikamatwa waka twe viganja vya mikono hiyo ndio dawa yao, maana wakifungwa wanajaza magereza tu walahi [emoji35]
 
Hawa vijana wakikamatwa waka twe viganja vya mikono hiyo ndio dawa yao, maana wakifungwa wanajaza magereza tu walahi [emoji35]
Viganjwa vya mikono kata visigino au vunja uti wa mgongo au pigilia msumali wa kichwa nch 4.. hio adhabu inawatosha sana wakifanywa mfano vijana 10 tu wenye tabia km hizo mchezo umeisha.. ila nikuulize wewe unaweza kumfanyia hivyo mdogo ako uliezaliwa nae tumbo moja?
 
Back
Top Bottom