Raia wana wajibu wa kujilinda wakisaidiana na vyombo vya dola.Ila hii nchi watu hatupo serious. Kama jeshi la polisi limeshindwa wawape go ahead wanachi wajilinde wenyewe.
Huu upumbavu hauvumiliki. Raia na mali zao kutokuwa salama ni upuuzu wa hali ya juu. Toeni tu go ahead japo nayo ni mbaya maana wasio na hatia pia wanaweza kuwa targeted.
Na umughaka Yuko pale paleDar bwana[emoji23], so Bunju nzima hakuna wanaume wenye Bastola
Hivi hakuna hata kambi ya jeshi karibu huko, naona kama polisi kazi ya panyaroad imekuwa ngumu kwao...
Nipo mianzini hapa,sekeseke lilipo tokea nilikuwa naangalia mpira ghafla watu wakaanza kukimbizana name nilikimbia nikadandia daladala,kurudi maeneo ya mjini,pindi nilivyo fika Boko chama nikaona gari za polisi zikielekea huko ikanilazimu nishuke baada ya vituo kadhaa ili nirudi maana simu na gari niliacha sehemu husika,now hali ni salama pia hata hapa mianzini hawakufika ila wananchi walikuwa na hofu na mashaka,nipo mianzini hali ni salama salmini.Wakuu nimepata taarifa kuwa Bunju hali mbaya, Kuna Panya Road wanaharibu magari na kukata watu mapanga huko Bunju Magengeni
Nasikia hali mbaya, Hofu imetanda sana, Nipo Mbezi Beach naelekea huko lakini hali ni tete sana
Eneo la Magengeni hali ni mbaya sana kwa mujibu wa taarifa
Unaangalia sana taarifa ya habari. Panya road ni vijana wenye fujo, sio watoto, watoto dar ni chini ya miaka tisa, kutoka kumi anabaka hata dada yako na hakuna kitu utasema. Na anabaka mbele yako. Mwana jamii forum, punguza mihemko.Wanaume wa Dar mmeshindwa kabisa kuwadhibiti hivyo vitoto, lakini kuwa na michepuko au kuoa wake wawili na kufanya nao show off kwenye media mnaweza
Huo ndo muarobaini mubashara. Wameanza bila sheria na wamalizwe bila sheria.Raia tuanze kujihami kimkakati. Hakuna namna. Tufanye sensa ya kimyakimya.
Panya watoke Dar, Pwani au kokote tuwashughilikie kimyakimya. Vinginevyo tuendelee kulialia tu.
Sasa watu zaidi ya 30 na mapanga wakivamia eneo dogo mtafanya nini? Bunju ni kubwa sana na hawa wanavamia eneo ambalo kwao ni rahisi kudhibiti. Bahati mbaya wanapofanikiwa inawapa ujasiri wa kufunga eneo kubwa zaidi.Wananchi wa Dar es Salaam wachukue hatua gn?
Waoga, wabinafsi, Wajuaji.
Mnaishi kama vile mko New York kumbe mko Dunia ya tatu, uswahilini.
Boko na Bunju kumejaa viongozi na majeshi yote yana kambi huku. Kama doria za Polisi zinashindwa waombe msaada wa majeshi mengine kufanya operation mtaa kwa mtaa.Polisi wetu wanafatilia madeal ya fedha tu ,ukikuta wana patrol na magari yao yale yenye namba za ajabu ajabu basi ujue wanafatlia madeal tu ,Hapo Boko Magengeni kama 2km kuna Kambi ya Jeshi 836 KJ Mbweni JKT ,tena kuna Boko Magereza kama 2km.
Mimi naona askari wanawachekea hao panya road ,wafanye kama walivyowafanya panya road wa mwembe yanga/tandika ,dawa ya jambazi na panya road ni chuma tu ,hao watu hawatakiwi kucheka nao ,mkicheka nao mtavuna mabua ,si umeona ujambazi ulivyokomeshwa? Inatakiwa Panya Road wale vyuma.
Wamerudi tenaWakuu nimepata taarifa kuwa Bunju hali mbaya, Kuna Panya Road wanaharibu magari na kukata watu mapanga huko Bunju Magengeni
Nasikia hali mbaya, Hofu imetanda sana, Nipo Mbezi Beach naelekea huko lakini hali ni tete sana
Eneo la Magengeni hali ni mbaya sana kwa mujibu wa taarifa
Mkuu hivi hamkumalizana tu na huyo mwambaKwanin wew UMUGHAKA usipambane na hao panya rodi na upo Hapohapo kwanin usiende kupamban nao unatka kupambana na mm
Nende kapambane SAS tuone utakavyopigwa show wee c unajidai mwamba mpambanaji nenda SAS kawafate wale vijana[emoji41]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asante , siwezi hata kuua panya achilia mbali kumiliki silaha! Nipo nyumbani na watoto wangu wawili baba yao yupo nje ya Dar..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poleni
Tafuta siraha ya moto uishi kwa aman
Boko na Bunju kumejaa viongozi na majeshi yote yana kambi huku. Kama doria za Polisi zinashindwa waombe msaada wa majeshi mengine kufanya operation mtaa kwa mtaa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sio kweliWatakuwa wametumwa na ahalifu wakubwa tena yaelekea wana uwezo wa kifedha na ushawirhi kama si uamrisho.
Wa mikoani ua mnaburuzwa sana sema sifa tu zimewajaaWanaume wa Dar bana yaan kuoa wake wawili na kupiga picha nao kwenye mitandao ndo mnachokiweza