TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

Watu mnasikitika kifo chake ilihali majirani zenu, ndugu zenu mnashindwa kuwasikitikia na kuwasaidia.

Hata mkisikitika huyo alikuwa kiongozi wa DINI na sio kiongozi wa IMANI (spiritual leader) kwa hiyo hata ulie debe tatu hapo mbinguni hutaingia kama hutabadili matendo yako na kufanya kile MUNGU angependa kukuona unafanya
 
Kwa hiyo inakuuma ?
 
SI ndo yule juzi kakutana na kiongozi wa Jesuits kuongelea suala la mashoga kuruhusiwa kufunga ndoa za kikatoliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…