TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

Wala hujajibu swali nililokuuliza.

Swali jingine. Umeshawahi kusoma Agano la Kale? Kule ni vita tupu kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Mbinguni kwenyewe shetani alikiwasha na aliposhindwa ndo akatupwa duniani pamoja na wafuasi wake. Duniani hapa tumo katika vita kati ya wema na ubaya. Hata kinafsiya tunapambana na vita. Vita (ukinzani) - hasi na chanya ndiyo muundo wa ulimwengu!

Vita vya pili vya dunia ilikuwa lazima vitokee hata kama Papa angefanya nini. Sasa unamlaumu Papa kwa Italy kuingia katika vita utafikiri Papa alikuwa kiongozi wa Italy wakati hakuwa/hana usemi wo wote huko.

By the way Vatican haikuunga mkono vile vita bali wali-adopt siasa ya kutokuunga upande wo wote (neutrality) hasa ukizingatia kuwa Adolf Hitler alikuwa anawakoromea hapo hapo Rome mpaka Bennito Mussolin alipoamua kujiunga naye....

Hitimisho: Hata kama una chuki na upapa hii hoja eti kwa vile Italy iliunga mkono vita basi somehow Vatican inapaswa kulaumiwa haina mashiko.

Kwa heri!


 
Weka picha maana majina yao yananichanganya
 
Itakuwa Hujui Dini Na Imani ni Nini.
 
Watu wema/wazuri huwa hawafi. Alisikika mbuzi mmoja kwenye kikao cha mambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…