Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Wakati hayo yanatokea hakuwa papa mkuu. Ni issue ya 1980.Kukiri kwake kumronyesha uongo wa miaka mingi wa kanisa katoliki kuwa pope is infallable kuwa akiwa papa kwenye kazi zake za kipapa hawezi kukosea
Huyu alikuwa papa kwenye kiti cha upapa na akatetea uovu akiwa kitini
Kukiri kwake kumebomolea mbali ile theory ya uwongo
Nampongeza Papa Benedict kwa kuanika hadharani uongo wa kanisa katoliki
Kweli kabisa ,halafu Aljazeera wanaongoza kwa kuweka mizani Ktk habari lazima pande mbili zote zijojiwe bila upendeleo.Hicho kituo cha aljazeera kina mpk wakristo na wayahudi wanafanya kazi.
Na ktk vituo vya habari bora duniani ambavyo havibabaishi habari ni aljazeera.
LETA USHAHIDI KUWA ALJAZEERA IMEKAA KIDINI NA INATETEA UGAIDI.
Kuna wadada wanavaa skirt fupi na nywele wazi wanafanya kazi kituo cha aljazeera na wengi wakristo.
Utasemaje aljazeera ina udini na inafadhili ugaidi!?
Mie nimefuatilia vyombo vikubwa vya habari vyote duniani CNN,BBC,CGTN,France international,Russia today.Lakini unapozungumzia wafukunyua habari hadi kiundani ni Aljazeera.Kweli kabisa ,halafu Aljazeera wanaongoza kwa kuweka mizani Ktk habari lazima pande mbili zote zijojiwe bila upendeleo.
Ndgu una makasiriko yasiyoisha na ukatoliki.Kipara ..acha habari za ID zipo personal sana na usiofu na hao watakuja kunijua au kwa uozo wangu ninaouchapisha (najiweza sana) mimi mwenyewe natosha sana na hao ambao unawaofia.. kipara ongeza utulivu ufanikiwe maeneo yote sio kwenye ku comments kumtetea PAPA ipo wazi PAPA hakustahili UPAPA kwa kipindi chote alipokuwa anawaongoza raia wake.. sema tumeshamsamehe
Ndgu una makasiriko yasiyoisha na ukatoliki.
Ni vizuri kama umemsamehe maana pale mwanzo ulisema hujamsamehe, shukrani kwa kukunjua moyo wako na ndio ubinadamu huo.
Kutosha au kutokutosha kwenye nafasi hayo ni maoni yako binafsi na nadhani ni wengi wako kama wewe na ni wengi pia waliomuelewa, si rahisi kukubaliwa na wote.
Nimekuchangamsha kidogo naona sasa akili yako imekaa sawa kidogo mpaka unafikia hatia ya kusamehe. Safi sana.
Kama bado unakula kwa shkamoo kweli sipaswi kubishana na ww ndgu.Nimefikilia mengi MKUU.. pengine nipo sebleni nabishana na BABA yangu na sijui.. nikaona naweza kupata radhi/laana maana namuona msure upo bize na simu palee ananitumbulia macho.. MKUU yaishege tu.. na heshima kwako MKUU
Ongezea na kulawiti na kusema uongo mbona unayatoa hayo?Au sio sifa za kanisa hilo?Ndiyo maana ninalipenda hili kanisa.Hii ndiyo dhamira ya kweli na falsafa ya kanisa katoliki.Kujishusha daima na unyenyekevu wa hali ya juu! Kama Yesu alivyosema akupigae Kofi upande mmoja mgeuzie na lingine! Kanisa limeonyesha mfano huo kwa kuomba radhi mara kwa mara pale linapotuhumiwa mfano wa mwanakondoo mnyenyekevu!.Hii ni sifa ya pekee sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
KAMWE SIWEZI KUMSAMEHE MTU KAMA HUYO,Nimefikilia mengi MKUU.. pengine nipo sebleni nabishana na BABA yangu na sijui.. nikaona naweza kupata radhi/laana maana namuona msure upo bize na simu palee ananitumbulia macho.. MKUU yaishege tu.. na heshima kwako MKUU
Hivi kesi yao ilipelekwa mahakamani?? Na ilifikia wapi?Ongezea na kulawiti na kusema uongo mbona unayatoa hayo?Au sio sifa za kanisa hilo?
Hivi kesi yao ilipelekwa mahakamani?? Na ilifikia wapi?
Kama bado unakula kwa shkamoo kweli sipaswi kubishana na ww ndgu.
Bado unagombania romote na wadogo zako halafu unabishia na kukazania upuuzi na wenye familia.
Shida ni Kiingereza. Mleta mada kwa vile lugha inampita mbali ameona ni heri aseme uwongo yeye ili papa aonekane ndiyo kasema uwongo. "A false statement is a statement that is not true. Although the word fallacy is sometimes used as a synonym for false statement, that is not how the word is used in philosophy, mathematics, logic and most formal contexts. A false statement need not be a lie. A lie is a statement that is known to be untrue and is used to mislead. A false statement is a statement that is untrue but not necessarily told to mislead, as a statement given by someone who does not know it is untrue." - Source: False statement - WikipediaAmuombe msamaha Mungu wake sio sisi
tuache kijifariji kanisa letu katolic limekua waongosana nahovyo Sana natamani kuokoka Mana Hilo jumba limeshadondoka kitambosanaIngawa atasemwa na kutukanwa lakini angalau amesema ukweli wa moyowake na dhamira imemuongoza kukiri dhambi hiyo ya kusema uongo waziwazi.
Kabla hatuja mshambulia na sisi tuweke wazi makosayetu hadharani bila kificho ili tujadiliwe.
Sawa, Lakini hawanaga utakatifu wanaotudanganya kuwa nao?Ingawa atasemwa na kutukanwa lakini angalau amesema ukweli wa moyowake na dhamira imemuongoza kukiri dhambi hiyo ya kusema uongo waziwazi.
Kabla hatuja mshambulia na sisi tuweke wazi makosayetu hadharani bila kificho ili tujadiliwe.
Kuzuiwa kuoa ndio walawiti? Kwanini wasipatikane na kashfa za mahusiano ya kimapenzi na wanawake?Sasa daaah izi kashfa mpaka linii c waruusiwe tu kuoa
ππππ Nimeamini kweli dogo unakula kwa shkamoo, umepata wapi muda wa kupekenyua account yangu ππ.Achana na hao wabakaji kwanza MKUU.. hivi kitanda cha 5/6 ulipataga MKUU