Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Tukiacha unafiki hizi kelele zisingekuwepo

Ushoga upo tangu zama za biblia,leo ni marudio tu.
Ndio maana nikaweka maana ya shemale yaan katika watoto million 1 wanaozaliwa basi jua kuna shemale mmoja kati yao, yaan ana jinsia mbili ya kike na ya kiume na huyu katika tafasiri ya haraka haraka ana vinasaba vya ushoga, yaan ana umbo la kike ila sio mwanamke
 
Umejibu vizuri, unahisi wazazi wako wanakosea kuwa na msimamo huo? Je ungependa kuwaona wakishiriki mapenzi ya jinsia moja?
Wazazi wangu hawakosei kuwa na msimamo walio nao,

Kuhusu mie kupenda au kutopenda kuwaona wao wakishiriki hivyo inabaki kuwa ni hisia, ila wao wakiamua kufanya ni sawa. Mie sitabadilisha chochote ili hali wao wameamua kufanya hivyo.
 
kuwa katika dini hii ni zaidi ya ushetani
 
Kwa kifupi Papa amekutana na Kiongozi/Mkubwa wake.

Maana hata yeye ni Jesuits.
 
Kikubwa umekiri kuwa Dunia inaelekea huko. Baas imeisha hiyooooo
 
Jinga sana wewe litoto ni hasara kwa Dunia ya wastaarabu.
Yani umezidiwa akili hata na mbwa,Mbuzi,kundoo NK.

Hao wote hawajawahi kuamua kufanya ujinga kama mnao tetea humu.
 
Yaani Mungu atusaidie kwa kweli, unaambiwa Ukiwaping ndio unajua kazi ya serikali na vyombo vyake. Ndugu mmoja alijaribu Serikali ikasema huo ni msimamo wake binafsi.
Hali ni mbaya
 
Hili suala la ushoga sijui kwann linavaliwa njuga namna hii mttz yapo mengi ya kupigania kwann ni hili kila siku
 
Jinga sana wewe litoto ni hasara kwa Dunia ya wastaarabu.
Yani umezidiwa akili hata na mbwa,Mbuzi,kundoo NK.

Hao wote hawajawahi kuamua kufanya ujinga kama mnao tetea humu.
Kupanick na kufoka kwenye keyboard ndo zenu nshawazoeaaa, wanafiki wakubwa nyie, Dunia ipi hiyo ya ustaarabu? Hii iliyojaza waovu kila kona?

Mambo yasiyofanywa na wanyama haielekezi kwamba binadamu asifanye, kwan mambo yote wanayofanya wanyama na binadamu wanafanya?

Mkiwa hamna hoja mukae kimyaaa, sio kujionesha kuwa uwezo wako wa akili ni mdogo. Poleeeeeeeeeh.
 
Father James Martin hana cheo chochote hapa Jesuit bali ni maarufu kwa vitabu vyake tu viwili vitatu...
 
Waroma huo Ni utamaduni wao
 
Jinga sana wewe litoto ni hasara kwa Dunia ya wastaarabu.
Yani umezidiwa akili hata na mbwa,Mbuzi,kundoo NK.

Hao wote hawajawahi kuamua kufanya ujinga kama mnao tetea humu.
Kwahiyo leo mbuzi na mbwa wamekua mfano mzuri..mbona wewe hujawahi lala na mavi au panda nduguzo wa damu kama wafanyavyo mbuzi na mbwa..mana hao hata kambwa dume kakibarehe hata mamake kana mtia mimba..vipi na hapo tuchukue hayo pia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Akikujibu nitag, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umempa za uso kabisaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…