Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Akikujibu nitag, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umempa za uso kabisaaa.
Kuna vitu vingine vina kera sana..sijawahi kuwa kukubaliana na ushenzi wa LGBTQ ila siwezi hangaika na mtu aliyekubali kufanya hayo afanye wenyewe juu ya mwili wake wenyewe na mola wake..that's none of my business.

Ila kuna pimbi humu wanakaza fuvu..ila kitaa kila siku wanagonga hi five na mapunga na hawana cha kuyafanya..ila wakija huku wanajitia u keyboard worrier.[emoji706]

#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na unajua kuwapa za usooo.
 
Ishu za lesbians na gay ni movement itakayoingia na kutawala ulimwengu kwa kuwa roho hiyo chafu tayari imemwagwa kama hujakaa sawa unabebwa either kwa kuwa miongoni mwa wateja au watoa huduma au unapiga kampeni za kuunga mkono.Hao jamaa wana hela kama njugu ila mwisho wake ni balaa. Kuna vijana wa kiume sasa hivi wanajiingiza vitu katika Miku.. yao eti wanadai wanatafuta network na wengine wanafanya mapenzi na wanawake ni mpaka waingizwe vidole ndo raha yao.Chunga sana hali ni mbaya sana.Simama mwenyewe ukijiombea wewe na familia yako na jamii ya vijana
 
Wazazi wangu hawakosei kuwa na msimamo walio nao,

Kuhusu mie kupenda au kutopenda kuwaona wao wakishiriki hivyo inabaki kuwa ni hisia, ila wao wakiamua kufanya ni sawa. Mie sitabadilisha chochote ili hali wao wameamua kufanya hivyo.

Yaaah si ndio Wana influence Feminism na Haki sawa kwa wote ila Sasa mmeanza kujua haki sawa waliyokuwa wanaisema ni ipi

Unafikiri nini kifanyike
 
Tukiwaambia hizi dini zenu ni za kufuata matamanio mnakataa
Ona sasa mnavoaibika
Bora turudi kwenye vilinge vya wazee wetu au sio..mana hizi dini za majahazi zimejaa matamanio matupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naona kuna hoja za watu ambao wamejiweka kundi ambalo halipingi hili swala na wala hawalitangaz wakidai kuw ni privacy za watu na zaid wakiend mbali kusema wanaopinga hawana sababu za msingi kupnga ushoga lakin yangu haya

[emoji736]kama ushoga hauna faida wala hasara kwann wautangaze na unamanufaa gani NA KWA nani

[emoji736]Kwann biology iliweka jinsia mbili ke na me

[emoji736]Je mwanao hasa wa kiume akiwa shoga kwako utaona sawa

[emoji736]kwann walazimuishe kama ni nature wangeacha i take place automatically.

[emoji3522] Mimi naona haya mambo yana agenda za siri kidunia sambamba na wanamikaka yao ya utawala mpya na biashara mpya ambazo zitatoka na hali hizo za kishoga


Kwangu mimi napng ushoga kwa [emoji817][emoji817] ukiona wew sawa jiulize sana kuhusu familia yako na kizazi chako jambo kubwa bado Africa atujawa na uwezo wa kuchagua jambo sahihi tunashinikizwa na kugeukia jambo ovu ambalo litatugharimu zaid kutokan na Elimu zetu na hali za maisha.
 
Hivi wazazi wako wangekuwa hivyo ungezaliwa?
rudia kusoma comment yako hlf jiite kichaa , hv wagumba na tasa mbona wapo na nimezaliwa , una mjua kim kardashian , je baba ake ana sexual hobby gan ? kuwaheshimu mashoga haimaanish ipo siku dunia nzima watakuwa mashoga HAPANA , Mbona din ya mnyaz mung ipo na sio kila mtu anaifuata , tujifunz kireason kabla ya kukosoa , fantassy ya mtu km haikugus inakuuma nn ? I AM NOT GAY BUT I HAVE NO REASON TO FIGHT THEM
 
kafanya kwa hiar yake , ww inakuuma nin ? Ishirikishe akil yako mara mbili
 
kwa passion hii uliyonayo inaonekana dhahiri unawaunga mkono! Shame
 
Uzuri ni kwamba hakuna mtu anayeshikiwa bunduki kuwa LGBTQ ni utashi wa mtu binafsi.

Hao ma LGBTQ wao wanachopigania ni ule uhuru wao wa kufanya mambo yao bila kutengwa..kubaguliwa na kuuliwa ama kunyanyaswa.

Ndio sababu kuu ya hizo movements zao unazoziona kila siku.

Kama unavyoona movement za watu kupinga GBV au FGM hivyo hivyo ndio movements za LGBTQ.

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama
 
Hadi unaondoka dunian utakuwa Bado unatawaliwa Kama ilivyo Sasa kikubwa ishi milele yako hiyo nyingine ibakie History
hayo ni matatizo yenu ya ki psychology , unaamin usichokiona , amin mazur na mabaya yanatokana na ww mwenyew hizo story nyingine ni fununu tu , KILA TAIFA AU UFALME UTAFIKA KIKOMO , WW UNAIZUNGUMZIA ROMA EMPIRE ILA UMEISAHAU PRUSSIA MAMA WA UJERUMAN , AUSTRIA , ITALY , ROMANIA NK ILA LEO HUIJUI KILA KITU KINA KIKOMO
 
“If you want to express your views on the LGBT cause, do so in a society where it will be accepted.

“Do not come and insult an entire society. We will not change the religion for the 28 days.

“If a fan raises a flag 🏳️‍🌈 in a stadium and it is taken away, it will not be because we want to offend him but to protect him.

“If we don’t, another spectator could attack him. If you buy a ticket, it is to attend a football match and not to demonstrate.
Head of security wa 2022 world cup in Qatar Al Nassari amewaonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…