Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Tuanze na wewe binafsi unaona ni haki yako ya msingi kushiriki mapenzi ya jinsia moja?
kama wanafanya wao wenyew kweny miili yao wenyew inakuaj sio haki yao ? kuna mtu anakupangia cha kula na usichotakiwa kula ?
 
nature ndo hii unaipinga kww nature ya kichwan kwako
 
Jingiane hili limezidiwa akili na mbwa na Mbuzi
 
TOA SABAB 5 ZINAZOONESHA WASIPEWE FURSA YA UHAI
Badala ya kusema wasipewe, inabidi uwe direct declare interest Kama nawewe unapumuliwa au vipi! Maana watetezi wa haki za machoko na machoko ni kundi moja.
 
Dah! naona kuna watu humu wanavuja jasho kuutetea!! Hatari sana.
 
Huko bara ulaya wanaposema kuna haki hizo za kishoga utaona kuw kama jambo hilo sio kubwa hivyoo kutokan na maarifa yao ambako wanaweza kuandaa tatzo na kuli manegi lakn kifrica tumikwisha kbsa makuz yetu ni sawa kama ng'ombe tuliofugwa tunafanya tulichoamuliw ma mazingra au kuiga na si self determination sasa kama ni hvyo vizazi vyetu vitaathirika kwa 80% alafu kuna jambo kubwa litatokea ambalo ni utegemez ambao watapata advantage fulan za kibiashara na kiutawala
 
Imagine taifa la wanuka vyoo! Siwezi kuruhusu ujinga huu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…