Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Badala ya kusema wasipewe, inabidi uwe direct declare interest Kama nawewe unapumuliwa au vipi! Maana watetezi wa haki za machoko na machoko ni kundi moja.
ebu rudi kwenye mada , nimeuliza shwar au huna majibu ?
 
Huko bara ulaya wanaposema kuna haki hizo za kishoga utaona kuw kama jambo hilo sio kubwa hivyoo kutokan na maarifa yao ambako wanaweza kuandaa tatzo na kuli manegi lakn kifrica tumikwisha kbsa makuz yetu ni sawa kama ng'ombe tuliofugwa tunafanya tulichoamuliw ma mazingra au kuiga na si self determination sasa kama ni hvyo vizazi vyetu vitaathirika kwa 80% alafu kuna jambo kubwa litatokea ambalo ni utegemez ambao watapata advantage fulan za kibiashara na kiutawala
Pumba
 
Kuna cancer zinaandaliwa kwa kushirki kufanya michokoano muaka kadhaa mbele zitaleta shida na ndipo watakuja na dawa za kutibu hayo macancer na kuchajiwa a lot of money, saizi ngoja wafurahie but along the way watajua hawajui

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Roman Catholic ilifikaje Vatican aka Rome.
Imewezekanaje Vatican kuwa nchi ndani ya nchi ya Italy ndani ya mji wa Rome?
 
Kuna cancer zinaandaliwa kwa kushirki kufanya michokoano muaka kadhaa mbele zitaleta shida na ndipo watakuja na dawa za kutibu hayo macancer na kuchajiwa a lot of money, saizi ngoja wafurahie but along the way watajua hawajui

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
upate kansa kwa mtu mwengine kuliwa tigo au sijaelewa ? Kwanin usipinge vilev ambavyo ni chanzo kikubwa cha sukari ? naamin hata ww huwa unamwagilia moyo , hii ndo mbaya sabab inafanywa hadharan na inaongeza ushawish hata kwa vijana ila ushoga unafanywa huko privacy wakiwa wenyew tu wadau wa ushoga , sasa ww inakuuma nn privacy za watu huku unaacha tabia hatarish ya umwagiliaj moyo ambayo pia imekuwa kichocheo cha kuongezeka magonjwa ya zinaa kutokana na ngono nzembe baada ya moyo kustawi kilewooo
 
Mkuu nawewe unainamishwa?
kwa kuheshimu dini ya mnyaz mung ina maana unakuwa muumin wa hiyo dini ? mpk sasa hoja ya kupinga hamuna mbali na MIHEMKO , mambo ya chumban kwa mtu yanakuhusu nn ? wengi wenu mnatiwa vidole na wake zenu ila hapa mnapinga ushoga
 
We jamaa ni Upinde nini?
 
Kuna watu Huwa naawaambia Mimi mwenzenu nishajitoa kwenye huu utumwa wa dini wananibeza Sana, Mimi naishi Kwa kuzingatia zile amri 10 tu za Mungu! Siendi nyumba yeyote ya ibada! Sometimes hua natamani Sana hata hili jina langu lingekuwa la kiafrica maana nikimtajia tu mtu jina langu anajua Mimi ni dini gani ingawa in reality Mimi nimeacha kwenda church 2005.
 
wengi hawajielew ila naamin , kila kizaz kina ushamba wake kizaz chetu huu ndo ushamba wetu baadae wajukuu watakuwa wanatucheka kama tunavyowacheza waliokuwa wanaua mapacha , vilema na albino
Unatoa madini sana, nimekukubali
Kwa hoja hizi ndio maana wanaishia kutukana tu
 
kwa kuheshimu dini ya mnyaz mung ina maana unakuwa muumin wa hiyo dini ? mpk sasa hoja ya kupinga hamuna mbali na MIHEMKO , mambo ya chumban kwa mtu yanakuhusu nn ? wengi wenu mnatiwa vidole na wake zenu ila hapa mnapinga ushoga
Tena kuna mwengine yupo hapa hapa kwenye forum na anapinga kweli ushoga ila anakubali akifirwa na Punda au Mbwa ila sio Mtu [emoji15]
Nilistaajabu sana nilipoona ile comment yake
 
Back
Top Bottom