TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Kanisa kubwa la mitume,Dini kubwa kumbe mapapa wao nao hua wanakufa

Nilidhani wa dini ndogo ndogo tu.
Mbona unataka kuwatia aibu nduguzo?

Na umri huo na elimu yote na maarifa yote kichwani mpaka leo hujajua kila kiumbe chenye pumzi hapa duniani lazima kife?aibu sana!
 
Rip Pope ..

Sasa ni wakati wa kupata Papa Mweuse kutoka Sub-Sahara Africa..
 

Ghafla leo ametangulia mbele ya haki. Namuomba Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani.
Pope huyu alikuwa ana agenda nyingi tata. Kuna mambo mengine yalikuwa yanakinzana hata na mafundisho ya kanisa lenyewe, kama issue za ndoa za jinsia moja.
Ila kama Bwana wetu alivyotufundisha, watoza ushuru na makahaba watatangulia kwenye ufalme wa Mungu, mimi siko hapa kumuhukumu mtu. Nimesema yale niliyokuwa siyaelewi kwa Mkuu huyu wa Kanisa.
Kama kawaida, tunasema Adios....tunaomba tupate Pope mwingine. Tunaomba asimame kama Pope wa Kanisa, na sio representative wa globalists
 
Inaleta tofauti gani kama ni leo au lastweek mkuu?
Upotofu.
Hapo utakua unawapotosha watu siku sahihi aliyo kufa marehem.
Ikizingatiwa huyo ni mtu maarufu, hivyo tegemea history yake kuandikwa, sasa wakija kwenye kipengele cha alikufa lini history itaandika alikufa tarehe 21 April 2025, ilhal sio kweli, jamaa alijifia wiki kazaa huko nyuma, we huoni hilo ni kosa?
 
Hata mnaosema jamaa alikufa wiki za nyuma hamuwezi thibitisha zaidi ya conspiracy tu. Ndo maana kwenyw vitu kama hivi kitu jama tarehe tu ya mtu kufa wewe nenda na official information tu.

Maana mfano kama jana Makamu wa raisi wa marekani JD Vance kakutana nae wakapiga maongezi, pia wakayoliki wanasema alishiriki misa ya pasaka.

Sasa hapa tumuamini nani , tunaenda na taarifa official tu hapa maana haidhuru kitu chochote mkuu
 
Kwahyo mkuu yule aliyekuwa amekaa kwenye kiti jana ni kakobe?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…