Mpaka wayahudi wakamuita mpalestinaBad, Alikua mtari wa mbele kuitetea Palestine kuliko hata waarabu wenzao.
Ni ngumuRIP Papa sasa ni wakati sahihi kumpata Papa Mweusi kutoka Africa
Hahaha nashukuru sana kwa historia murua mkuu wangu.Ujahilia ulikuwepo tangu enzi na enzi
Bila Nyerere hata machifu wa bara kabila moja walikuwa wanazikwa na mwali alie hai akiwa amempakata marehemu
Nyerere akapiga marufuku ujima huo
Sasa na nao wanaona aibu leo Vatican na kusema ni uzushi ila yalikuwepo
Nyundo kwa makhususi ya kuamsha waliolala π π€£
Ila hakuna kuamka maana wakati ukifika hata uwe nani utaondoka tu
Hata uwekwe mwezi huamki tu
Wacha nifanye follow up mkuu.Edit
Mboni unaniua tena mkuu hii ni Character Assassination au haujui?Hahahaah eti nyundo huku unamuita mara 3 kwamba " zerominus10 zerominus10 zerominus10 ninakuita mara 3 umekufa kweli!?" asipoitika nyundo 3 zinatembea kichwani halafu ndo msiba unatangazwa.
Haufi mkuu.Mboni unaniua tena mkuu hii ni Character Assassination au haujui?
Alishaanza kuongea kuhusu sabato na ukristo Kwa ujumla ikawa mwiba Kwa wafia dini!!Bad, Alikua mtari wa mbele kuitetea Palestine kuliko hata waarabu wenzao.
Bado tuna mengi ya kujifunza kwenye dunia hiiHahaha nashukuru sana kwa historia murua mkuu wangu.
Kwa hio ukizimia tu watu wanakufukia chini haraka sana?masaa matatu baada ya kuzimia?
Tupatie pdf Ndugu
Nimeona umenipiga nyundo za utosini mara 3 ili niamke kwani nani amesema nimelala humu JF?Haufi mkuu.
Mtoto wake unaweza ukawa ndio wewe unaemuulizia muulize vizuri mama yako kwamba mimi kweli sio mtoto wa Papa?Hivi kweli kabisa huyu Pope amefariki na hana mtoto hapa duniani?
Kwanini unataka Papa wa dini ya watu awe mweusi tii! Undeni dini yenu nyie mlio weusi ili muwe na papa wenu mweusi. Lakini kama ni hii hii dini ya watu hilo kamwe halitatokea. Mtumwa hawezi kuwa mkuu wa dini ya watu.Aje papa wa kiafrika mweusi tii wa kusini mwa jangwa la sahara
Mwombeeni nae mabikra 72 au hata nusu yake.