Mshenyentaji
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,047
- 2,932
KabisaAmeumaliza mwendo, hata na hivyo mema ya Dunia hii ameyafaidi vilivyo
Chema hakidumu, yaweza kua shida si wafia dini bali wahuni wenye ajenda zaoAlishaanza kuongea kuhusu sabato na ukristo Kwa ujumla ikawa mwiba Kwa wafia dini!!
RIP comrade!
Ushimen sorry for the loss of your classmateKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
======================================
Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Source: BBC
Unahusu nn, kifupiMkaichek hii movie Hawa jamaa Huwa wanafikilia sijui nini
View attachment 3311028
Wakatoriki WA bongo walikua hawamwelewi kabisa😃Atakumbukwa sana kama papa mwanamabadiliko/reformist.
Salamu za pasaka alitoaje jana,kama alikufa tokea juzi?Ulimwengu umejaa hadaa mpaka kanisa linafanganya,Jamaa alifariki kabla ya juzi.
Inahusu mambo ya uchaguzi wa papa,Unahusu nn, kifupi
Kwa hiyo Vance ndiye amemuua?Wakati wote nimekuwa nikisema CIA na masharika wa kijasusi wa nchi za Magharibi kwa sasa ni noma na iwe noma see your self
View: https://m.youtube.com/watch?v=lEqGs_v2_EU
Waafrika wengi huwa wanajiona ni wafia dini na wanaijua dini zaidi kuliko hata hao waliozileta dini zenyewe.Wakatoriki WA bongo walikua hawamwelewi kabisa😃
Hivi Azam walisema wataionesha lini?Mkaichek hii movie Hawa jamaa Huwa wanafikilia sijui nini
View attachment 3311028
Apumzike kwa amani mzee.
Kuna kijana mmoja hua anafanya utani mitandaoni anasema mungu anakupa ugonjwa ufe mapema urudi kwake halafu unamzunguka unaenda hospitali.
Inakuja swali, kwa nini viongozi wa dini wakiugua wanakimbilia hospitali wakati wanahubiri kwamba Mbinguni ni pazuri, pana kila kitu, Pombe, wanawake wazuri mabikra 72, misosi mizuri, bustani, hakuna magonjwa wala maumivu yoyote, ni raha mustarehe milele na milele lakini wakiugua hata mafua tu wanakimbilia hospitali, wanaogopa nini kufa wakaende kula raha huko mbinguni? Ama hawaamini wanachokihubiri? Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
😀😀😀Hivi Ndo uyu papa aliekua anasisitiza waroma wagegedane vinyeo?
Unataka wapewe laana??Hasa lile la mashoga wapewe baraka
Asiwe Pengo tu.Apumzike kwa amani jamani sasa ni zamu ya Tanzania kutoa papa