King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Labda amelike "ANIINTESHENALE".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
papa naye ni bahariaHuyu Papa ananichosha na mambo yake..khaaa!!😂😂
Anaongelewa Papa Kipoozeo toka Roma Italy.PAPA NAE NI BINADAMU JAMANI,AU MNAMUONGELEA PAPA WA BAHARINI??
Nimecheka kinoma yani..."Papa Mobimba eeh"Naona huyu sasa anatakiwa aitwe papa mobimba tu na sio papa mtakatifu..
Kutoka BBCLeta screenshot akiwa amelike (papa) pia ulete ushahidi wa kanisa katolik ku_ unlike ( kama ulivyoandika wewe)
Amelike papa
Limeunlike kanisa katoliki
..
Sio hvyo tu akaunti zao huwa znakua controlled na watu wengne so uskute admn wake kafanya vtuUsikimbilie kuhukumu alichofanya. Papa ana vyeo nane na kila kimoja kina nafasi yake... Inatakiwa ujiulize hiyo like kaitoa kama Jorge Mario Bergoglio au kama papa Fransis.
Akiwa chumbani kwake au mambo yake ya faragha hayahusiani na upapa wake. Kutumia mitandao obvious anatumia muda wake wa mapumziko so anafanya vitu vyake binafsi
Akiwa chumbani vyeo anakua Jorge Mario Bergoglio so angalia una MuAccuss nani
HILO JIBU LA HUYO BIDADA TU, NDIO LIMENIFURAHISHA...WATASEMA AMEHAKIWA AU AMETELEZA KIDOLE WAKATI ANASCROW DOWN...Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.
Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.
Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.
Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?
Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".
😅😅 Religion is opium kwa kweli, yaani utajikuta unaitetea badala yenyewe ikuteteeUsikimbilie kuhukumu alichofanya. Papa ana vyeo nane na kila kimoja kina nafasi yake... Inatakiwa ujiulize hiyo like kaitoa kama Jorge Mario Bergoglio au kama papa Fransis.
Akiwa chumbani kwake au mambo yake ya faragha hayahusiani na upapa wake. Kutumia mitandao obvious anatumia muda wake wa mapumziko so anafanya vitu vyake binafsi
Akiwa chumbani vyeo anakua Jorge Mario Bergoglio so angalia una MuAccuss nani
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Mungu anawashangaa sanaKuna watu wanampigania Mungu kama vile yeye hajiwezi.sembuse mie nayetetea kiongozi wangu
Every present situation has its past.Hivi watu wanajua kwamba huyu Papa kabla ya kuwa Papa, zamani alikuwa baunsa wa bar kwao Argentina?
Huu uzi bila picha ni sawa na ugali bila mboga.
Ona vitu hapa
![]()
Natalia Garibotto (@nataagataa) • Instagram photos and videos
4M Followers, 969 Following, 955 Posts - See Instagram photos and videos from Natalia Garibotto (@nataagataa)www.instagram.com
That is neither here nor there.Every present situation has its past.
Na ndio maana Papa mwenyewe alitamka hio kitu coz ilikua ni katika harakati zake kama kijana so hakuna cha kushangaza hapo. Hata wewe kuna mambo ulifanya zamani ambayo watu wakisikia kwa sasa baadhi watashangaa