Papa Francis apenda picha ya mdada aliyevaa bikini instagram

Papa Francis apenda picha ya mdada aliyevaa bikini instagram

Leta screenshot akiwa amelike (papa) pia ulete ushahidi wa kanisa katolik ku_ unlike ( kama ulivyoandika wewe)

Amelike papa
Limeunlike kanisa katoliki

..
Kutoka BBC
Screenshot_20201120-090538.jpg
 
Usikimbilie kuhukumu alichofanya. Papa ana vyeo nane na kila kimoja kina nafasi yake... Inatakiwa ujiulize hiyo like kaitoa kama Jorge Mario Bergoglio au kama papa Fransis.
Akiwa chumbani kwake au mambo yake ya faragha hayahusiani na upapa wake. Kutumia mitandao obvious anatumia muda wake wa mapumziko so anafanya vitu vyake binafsi
Akiwa chumbani vyeo anakua Jorge Mario Bergoglio so angalia una MuAccuss nani
Sio hvyo tu akaunti zao huwa znakua controlled na watu wengne so uskute admn wake kafanya vtu
 
Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.

Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.

Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.

Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?

Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".
HILO JIBU LA HUYO BIDADA TU, NDIO LIMENIFURAHISHA...WATASEMA AMEHAKIWA AU AMETELEZA KIDOLE WAKATI ANASCROW DOWN...
 
😅😅ila dah huu uzi nimecheka sana, kuna wakati unabofya kwa bahati mbaya kwa kushika vibaya hizi simu janja.
 
Usikimbilie kuhukumu alichofanya. Papa ana vyeo nane na kila kimoja kina nafasi yake... Inatakiwa ujiulize hiyo like kaitoa kama Jorge Mario Bergoglio au kama papa Fransis.
Akiwa chumbani kwake au mambo yake ya faragha hayahusiani na upapa wake. Kutumia mitandao obvious anatumia muda wake wa mapumziko so anafanya vitu vyake binafsi
Akiwa chumbani vyeo anakua Jorge Mario Bergoglio so angalia una MuAccuss nani
😅😅 Religion is opium kwa kweli, yaani utajikuta unaitetea badala yenyewe ikutetee
 
WAKATOLIKI WANA KILA HOJA KUWA KUNA MAMBO YASIYO NA AKILI, LAKINI WANASHUPAZAGA SHINGO VIPOFU HAWAONI...

MFANO WAO HATA IBADA ZAO HAZIPO BIBLE KAMA KITABU MAMA, LAKINI WAMEZIBA MASKIO...
 
Hivi watu wanajua kwamba huyu Papa kabla ya kuwa Papa, zamani alikuwa baunsa wa bar kwao Argentina?

Huu uzi bila picha ni sawa na ugali bila mboga.

Ona vitu hapa

Every present situation has its past.

Na ndio maana Papa mwenyewe alitamka hio kitu coz ilikua ni katika harakati zake kama kijana so hakuna cha kushangaza hapo. Hata wewe kuna mambo ulifanya zamani ambayo watu wakisikia kwa sasa baadhi watashangaa
 
Alishangaa ni kitu gani hicho maana hajawahi kuona mwanamke akiwa mtupu tangu kuzaliwa.
 
Every present situation has its past.

Na ndio maana Papa mwenyewe alitamka hio kitu coz ilikua ni katika harakati zake kama kijana so hakuna cha kushangaza hapo. Hata wewe kuna mambo ulifanya zamani ambayo watu wakisikia kwa sasa baadhi watashangaa
That is neither here nor there.

It is taking stating the obvious to another level.
 
Back
Top Bottom