Aisee kumbe kulikuwa na ngoma special ya mashoga. Dah!Upotoshaji kama kawaida yenu.
Hizo ngoma za wanaume ndio nazisikia kwako!
Hebu weka kifungu kinachoonesha wanaume wa sodoma wakicheza ngoma za kishoga!
Nacheka sana, ukiamua kuingia vitani hutakiwi kunichagulia silaha. Nakuchapa kwa ushahidi usio kuwa na shaka ndani yake.Huko ni kunipotezea muda.
Nasoma biblia kwa mujibu wa ilivyoandikwa.
Kama unaona biblia haijitoshelezi mpaka nikasome kitabu kingine basi hilo ni tatizo lako binafsi.
Wanasodoma hawakuwa mashoga, walikuwa wabakaji (situationally).
By saying "situationally", I MEAN, they were not really "habitual rapists", maana kitendo cha ubakaji kilitaka kufanyika katika hali ya hasira na kwa malengo ya kuwaadhibu wageni waliovamia kijiji na kwenda kujificha kwa Lutu.
ClarificationsHatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.
Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga kukubalika, na kusomeka kwenye hichi kitabu kitakatifu kuwa sodom na gomorrah kuchomwa moto.
Je, ndiyo mwanzo wa kanisa katoliki kuvunjika au imani zao ndiyo zitazidi?
Karibuni.
===
Papa Francis ameviunga mkono vikundi vya harakati vinavyotetea ndoa za jinsia moja akiwa Mjini Roma wakati wa Maazimisho ya uzinduzi wa filamu iliyoitwa Fransisco.
Aidha, katika kuelezea jambo hili Papa Fransis amesema "Mashoga (Wapenzi wa jinsia Moja) wana haki ya kuwa katika familia. Wao ni watoto wa Mungu. Hakuna mtu anayepaswa kuwabagua au kufadhaishwa juu yao. "
Aliongeza kuwa wakati alipokuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires alipinga sheria ya kuidhinisha ndoa za jinsia moja lakini aliunga mkono aina fulani ya ulinzi wa kisheria kwa haki za wenzi wa jinsia moja.
Zaidi Soma:
Pope Francis has endorsed same-sex civil unions, saying in a documentary that homosexual people are 'children of God' and that they 'have the right to be in a family'.
His approval came midway through a feature-length film, titled Francesco, which had its premiere at the Rome Film Festival earlier today.
The film delves into issues Francis cares about most, including the environment, poverty, migration, racial and income inequality, and the people most affected by discrimination.
'Homosexual people have the right to be in a family. They are children of God. Nobody should be thrown out or be made miserable over it,' the 83-year-old said in one of his sit-down interviews for the film.
'What we have to have is a civil union law; that way they are legally covered.'
He added that he 'stood up for that' in an apparent reference to his time as archbishop of Buenos Aires when he opposed legislation to approve same sex marriages but supported some kind of legal protection for the rights of gay couples.
The Pope's remarks will come as a shock to millions of Roman Catholics who have long followed the doctrine that gay relationships are sinful and accepted the Church's stand against the worldwide advance of gay rights.
source: MailOnline
Naona hoja huna. Kuingiliana wanaume kwa wanaume kwa hiari yao kotendo hiki kinaitwa ni kitendo gani ?Pili, wanasodoma hawakuwa mashoga. Hakuna ushahidi wowote wa maandishi kwamba walikuwa mashoga, isipokuwa walitaka kuwabaka malaika ili kuwakomesha kwa kuingia sodoma bila kutoa taarifa kwa wenyeji.
Tatu, ubakaji na ushoga ni vitu viwili tofauti. Naamini mtu anayemfira mgoni wake kwa malengo ya kumkomoa hawezi kuitwa shoga, wala hatuwezi kuita kitendo hicho kuwa ni ushoga. Huo ni ubakaji.
Wewe ni mpotoshaji tu.Ngoja nikuombe ombi moja juu ya kadhia hii. Nakuomba usiweke maoni yako bali weka andiko na marejeo.
Pili, nitakapo kuuliza maswali ujibu na mimi nina kuahidi nitajibu kila swali utakalo niuliza,ikitokea sijajibu nikumbushe.
Ushoga maana yake nini ? Je ni kumuingilia mwanume mwenzako kwa idhini yake huku wakifurahi jambo hilo au kinyume chake ?
Ubakaji tunaujua na ungekuwa ni ubakaji basi habari zingetufikia kwamba hilo lilikuwa linafanyika kwa Wanawake, lakini hilo lilikuwa linafanyika kwa wanaune wao kwa wao.
Anasema katika Qur'aan juu ya kisa cha nabii Luti na watu wake.
165. Je! Katika viumbe vyote mnawaingilia wanaume?
166. Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka!
167. Wakasema: Ewe Lut'i! Usipo acha, hapana shaka utakuwa miongoni mwa wanao tolewa mji!
168. Akasema: Hakika mimi ni katika wanao kichukia hichi kitendo chenu.
169. Mola wangu Mlezi! Niokoe mimi na ahali zangu na haya wayatendayo.
170. Basi tukamwokoa yeye na ahali zake wote,
171. Isipo kuwa kikongwe katika walio kaa nyuma.
172. Kisha tukawaangamiza wale wengine.
173. Na tukawanyeshea mvua, basi ni ovu mno mvua ya waliyo onywa.
174. Hakika katika hayo ipo Ishara. Na hawakuwa wengi wao wenye kuamini.
175. Na hakika Mola wako Mlezi bila ya shaka ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu. (Ashu'raa : 165 - 175 )
Sasa naomba unipe ushahidi wako unao onyesha ya kuwa watu hao waliangamizwa kwa sababu nyingine na si ushoga. Maana wale malaika walitumwa kwa ajili ya jambo hilo, na si wageni tu ilimradi ndiyo maana walimwambia nabii Luti, atoke katika ile miji na watu wake.
Nacheka sana, onyesha wapi walikuwa wanawabaka wanaume wenzao hao Watu wa Sodoma.Wewe ni mpotoshaji tu.
Hakuna ushahidi wowote wa kimaandisha kuonesha kwamba wanasodoma walikuwa mashoga kabla ya malaika kwenda na baada ya malaika kushusha moto.
Tunaambiwa malaika walitumwa na mungu kwenda sodoma kwa sababu ya maovu ya wanasodoma. Hawakusema kwa sababu ya ushoga.
Hakuna mahali waliposema kwamba malaika walitumwa na mungu kwenda sodoma kwa ajili ya ushoga.
Swala linalodaiwa kuwa ni "ushoga" lilikuja baada ya watu kutaka kuwafira malaika kwa nguvu ili kuwakomoa.
Na huo sio ushoga. Ni ubakaji.
Kama ambavyo unavyomfira mgoni wako kwa hasira, hatuwezo kukuita wewe ni shoga. Tutakuita mbakaji.
Naona unaruka ruka, ubakaji unajulikana.Kama ambavyo unavyomfira mgoni wako kwa hasira, hatuwezo kukuita wewe ni shoga. Tutakuita mbakaji.
Naona umeamua kupoteza muda.Nacheka sana, onyesha wapi walikuwa wanawabaka wanaume wenzao hao Watu wa Sodoma.
Pili, kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Ubakaji unajulikana kijana mzee, ule mchezo wao walikuwa wanaufanya kwa hiari yao na walikuwa wanafurahi ndiyo maana wakawa wanawaacha wake zao na kuingiliana wenyewe kwa wenyewe.
Hakuna yeyote dunia hii anae weza kupinga jambo la ushoga kielimu na kuonyesha uhalali wake isipokuwa mgonjwa wa akili.Naona umeamua kupoteza muda.
Ufunuo wa Yohana 14 & Daniel 7 zinajieleza vizuri sana kuhusu 666/Papa/RC jinsi anavyowakilisha kazi za shetani/joka na atavyopoteza watu wengi wa Mungu.Nyie watu subconscious mind zetu hazipo sawa kabsa hasa Kwenye maswala ya Imani yenu...
Kuna rafiki yangu mmoja alitakaga kubakwa na kiongozi wake mkubwa wa kanisa....na Bado adi Sasa anaimani nae,anasema huenda Mungu alimtuma au shetani alimpitia...huwa nabaki kucheka tuu
I don't know if i have understood your question, but what i meant is! There should be an official statement from Vatican, that would either criticize or support the statement from PopeIsn't that elaboration enough?
Ndiyomaana huwa unafagilia sana habari za chura?Logic ni very simple!Sasa wewe unataka kuwatenga binadamu kama nani?Wewe ni nani hata uwatenge binadamu?Kama kuwa shoga ni kosa kwani Mungu anashindwa kuwafuta humu duniani?Yaani Mungu mwenye uwezo wote anashindwa kuwafuta mashoga kama anachukizwa nao?
Kama mtu kuwa shoga ni kosa kubwa sana basi Mungu afe nao kiume kwa sababu ana nguvu hadi ya kuwaua wote tena kwa wakati mmoja!Kama mtu kuwa shoga ni dhambi kubwa sana kwa nini Mungu anawalea badala ya kuwafuta?Ina maana Mungu amewashindwa?Kama binadamu anaweza kuua mtoto wake ambae ni shoga Mungu anashindwa nini kuwaua wote?Hata mimi ningekuwa Papa hawa mashoga ningewakabidhi kwa Mungu adili nao
Hizi ni porojo binafsi tu.Hakuna yeyote dunia hii anae weza kupinga jambo la ushoga kielimu na kuonyesha uhalali wake isipokuwa mgonjwa wa akili.
Pili, nimekupa uwanja wa kujadilo kielimu unaruka ruka tu.
Hitimisho juu ya jambo hili ni kuwa Ushoga ni ushetani na madhara yake ni makubwa sana.
Mashoga hatupaswi kuishi nao majumbani sababu hakuna anae zaliwa akiwa shoga au awe shoga, bali watu hupenda kuwa hivyo.
Namuomba Allah atulindie vizazi vyetu na asitupe mtihani wa kuwa uzao wa mashoga, sababu ni mtihani mkubwa sana.
Waswahili husema hivi :
1. "Ng'ombe wa masikini hazai, na akizaa dume, basi Dume lenyewe ni SHOGA".
kauli hii ina maana kubwa sana, ya kuwa ni hasara juu ya hasara.
2. "Mtoto siyo rizki"
Kadhalika husema kisicho riziki hakiliki, mtoto siyo rizki maana yake ni hasara.
Hakuna mzazi asiyependa kuona amezaa dume halafu dume lenyewe likawa dume hasa na si galasa. Huwa ni faraha sana.
Kama ukitaka twende kielimu na hoja, nakuhakikishia huna hoja ya kusimamisha juu ya kuhalalisha USHOGA zaidi ya viroja na tamaa za kijinga.
Nacheka sana, nimekuuliza maswali yako wazi sana, na ithibati nimekupa.Hizi ni porojo binafsi tu.
Umeona hadithi za sodoma zimejaa uzushi ukaamua kuja na hisia binafsi.
Toba! Mungu tunusuru na hiki kizazi cha nyoka.Huyo mbona chakula, watu wanajilia siku nyingi, ni bwabwa
Ndiyomaana huwa unafagilia sana habari za chura?
Acha uvivu wa kusoma Biblia, Mungu amesema yaacheni magugu na mazao yakue pa1 sababu anaamini ipo siku watabadilika, kuungama na kutubu dhambi zao na kuzaliwa upya kuwa viumbe vipya vya kumtukuza Bwana.
MATHAYO 13:24-30.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mungu awahurumie na kuwaokoa waja wake kwa msaada wa Roho Mtakatifu maana huyo mnyama amebeba waumini wengi sana dunianiWakatoliki wakiambiwa kuhusu dhehebu Lao wanaona kama wanasingizia ndani Yake Kuna tarakimu ya za Mnyama wanakataa na kupinga.
Lilikuwa ni swala la Munda tu maana Mungu alishatabiri huu upumbavu utatimizwa kupitia hilo hilo dhehebu mkuuHawa wapinga kristo wameanza kutoa makucha