ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Shogaaa hajawai, kubadilika, ukishamwagiwa sumu ile itakuwasha mpaka kufa kwako, na ikukuwashaaa lazima ukwenu, mwanaume fanyaaa yoteee usikubali, kutafunwa maana ndio baasi tenaPop amesimamia maandiko. Kama hujui maandiko ndipo unaweza lalama kama wengine walio install Bible app lakini hawajawai ifungua.
Yesu alisema ,, sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi"
Mwenye dhambi hakataliwi mbali bali huhubiriwa ili aache dhambi zake na amgeukie Mungu. Akishindwa kuacha basi atakufa katika dhambi zake na wewe uliyemwonya unabaki safi.
Vyovyote vile upo huru kuzungumzaMi naona msifia mvua imemnyeshea....nina wasiwasi na papa (100%)
Sawa!!!, tunaheshimu uamzi wako.Mwaka wa nane huu nasalia nyumbani
Mungu akusaidie ili ufunguliwe ufahamu.Taratiibu naendelea kuamini hakuna Mungu,
Hivi vitabu vya dini vilitungwa na wazungu na waarabu ili waweze kuitawala dunia.
Tunaheshimu sana msimamo wako.Ndio maana tumekuacha km ulivyo.Maana hiyo nayo ni dini yakoBaada kua na akili na kuipitia sana biblia niligundua RC linaongozwa na sheria za kanisa sio maandiko ya biblia, na zina nguvu kuliko biblia kanisani, mwaka wa 15 huu sijui kanisa lafananaje, hata ibada za mazishi nakaa nje, hua nahisi mle ndani ni najisi tupu... Sala zenyewe nshasau
Naona unakomaa sana na suala la mimi kumjua Yesu,kwani kama simuamini Yesu sitakiwa/siruhusiwi kujifunza juu ya mambo yake?Mfano mimi siamini katika uislam lakini huwa najifunza uislam kila siku ili kupata maarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata maarifa ya jinsi ya kuishi na waislam,hapo kuna tatizo?Wapi huyo Yesu alijiita yeye mwana philosophy.?...au alivyoondoka aliacha vyeti vya u philosophy..?
Au ndo tunamsemea...kwani yeye alikuwa bubu?
Inawezekana vipi umwamini na kumtambua Yesu afu ukashindwa kumwamini na kumtambua Mungu..?? Au ndo unasoma kinyumenyume,elimu za kichawi..?
------------------------------------------_-------------
Majibu hujibiwa kulingana na uelewa wa muulizaji,usishangae ukamuuliza mtu swali afu akakaa kimyaa ukasema eti ajakujibu....laaa,jua kwamba kukaa kimya nalo jibu.
Mjinga na asiekuwa mjinga wanaweza wakauliza swali la aina moja but wakajibiwa tofauti...
Na wanafiki na wajinga wanapojibiwa huwa wanaona hawajajibiwa kwasababu tayari wanamajibu yao Kwenye vchwa vyao....hvyo hulazimisha majibu yafanane.
Ndugu swali langu kwako ni moja tu,kama Mashoga ni wabaya sana si Mungu apambane nao wakati au muda atakao yeye?Yaani Mungu amemuumba binadamu halafu anashindwa kumwadhibu?Kama mashoga ni watu wabaya sana basi Mungu awaadhibu.Unataka kuwa na kiherehere cha kutaka kulaumu na kuadhibu Mashoga kwani umeumba binadamu?Kwa nini usiachie alieumba binadamu awaadhibu mwenyewe pale wanapokosea?!Vijana mnachekesha sana, kuupinga ukweli ni ngumu sana yaani haiwezekani.
Achilia mbali tu suala la dini, ila suala la Ushoga na usagaji akili timamu ina kataa, hili jambo. Mnapoambiwa ukweli dawq yale ni kuukubali na ibakie tu kuufanyia kazi au kuuacha, ila kuupinga tena pasi na hoja ni matumizi mabaya ya akili.
Mwenzako huko juu, alitoa andiko toka katika Biblia, lakino ukilosoma halionyeshi ya kuwa wale wahalifu walikuwa ni mashoga na wasagaji. Lakini tangu lini shoga au msagaji akawa muhalifu ? Bali wao ni waovu na watenda dhambi chafu kupata kutokea hapa duniani.
Akili iliyo salama, hujiuliza kwanini kuna mwanamke na kuna mwanaume ? Kwanini mwanaume akimuingilia mwanamke hupata mimba na hatimae kupata mtoto (Hapa kwa wale ambao si tasa). Sasa lengo la mwanaume kuumbiwa mwanamke ni wapendane na wahurumiane na kisha wapate uzao Mola akitaka. Je lengo la mashoga na wasagaji ni kufurahishana na kutumia akili vibaya, na si kutumia viungo vya uzazi inavyotakiwa na ndiyo lengo kuu.
Sasa jalia tunaongelea Biblia, je Biblia inasemaje kuhus Ushoga ? Inaruhusu ? Je Biblia inasemaje kuhus Sodoma na Gomoroa ?
Huwezi kuwa na akili timamu ukaupigia chapuo ushoga na usagaji. Na tafiti zinaonyesha ya kuwa wale wote wanao fanya mapenzi ya jinsia moja huwa ni wagonjwa wa akili.
Yaani ni sawa sawa, chakula ukipitishie sikioni au puani wakati njia sahihi na stahiki ni Mdomoni.
Acheni uhayawani. Ila cha moto mnakiona wale wote mnao shiriki mapenzi ya jinsia moja na Allah awalaani.
Tujaribu kusoma mandiko apa kidogo.
walawi 18:22 "Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke ni machukizo."
Warumi 1:26-27
Tumwogopeni mungu jamani wana wa mungu na si kuunga ushetani wa namna hii tusiwe vipofu kamwe tujitaidi ata mandiko ya dini kidogo tuyapitie.
Asipobadirika atapata hukumu yake. Ukristo umejengwa katika misingi ya upendo na kusamehe.Shogaaa hajawai, kubadilika, ukishamwagiwa sumu ile itakuwasha mpaka kufa kwako, na ikukuwashaaa lazima ukwenu, mwanaume fanyaaa yoteee usikubali, kutafunwa maana ndio baasi tena
CNN and BBC pitia huko kupata habari kamiliSource please. Unless km una shida tu ya Conflict na Kanisa Katoliki
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Mfano:- haki ktk ndoa,haki za mwanamke juu mumewe...kulishwa,kuvishwa,kulindwa n.k na haki za mwanaume juu ya mkewe...kuheshimiwa kama kiongozi,kupewa unyumba, n.k
Hiyo mifano imebezi upande wa dini hasa Imani ya kiislamu.
Allah ana ataraibu zake ambazo hazibadiliki.Ndugu swali langu kwako ni moja tu,kama Mashoga ni wabaya sana si Mungu apambane nao wakati au muda atakao yeye?Yaani Mungu amemuumba binadamu halafu anashindwa kumwadhibu?Kama mashoga ni watu wabaya sana basi Mungu awaadhibu.Unataka kuwa na kiherehere cha kutaka kulaumu na kuadhibu Mashoga kwani umeumba binadamu?Kwa nini usiachie alieumba binadamu awaadhibu mwenyewe pale wanapokosea?!
Allah ana ataraibu zake ambazo hazibadiliki.
Allah ameweka waja wake Ulimwenguni kwa ajili ya kusimamia sheria zake na kuzitekeleza. Ndiyo maana mzinifu hupigwa bakora au hupigwa mawe au mwizi hukatwa mkono na wafanyao mapenzi ya jinsia moja huuwawa.
Kadhalika Allah ameweka siku maalumu ya hukumu na kuwalipa watu stahiki zao.
Ni sawa leo hii umtake Allah achomoze jua Magharibi na lizamie Mashariki, hili haliwezekani siyo kwamba hawezi, la hasha bali ameshaweka utaratibu.
Kadhalika Allah ana njia nyingi za kuwaadibu watu, kwa kuwapa maradhi na mitihani mbali mbali. Wafanyao mapenzi jinsia moja habari zao tunazo, na miyihani inayo wakumba tunaijua.
Uwe unauliza maswali ya msingi. Maana sijaona swali la msingi unalouliza na maswali yako ni mepesi mno.
Nipo....
Hasa ukweli..
Kwanini upoteze muda kwa ktu ambacho huna Imani nacho..?Naona unakomaa sana na suala la mimi kumjua Yesu,kwani kama simuamini Yesu sitakiwa/siruhusiwi kujifunza juu ya mambo yake?Mfano mimi siamini katika uislam lakini huwa najifunza uislam kila siku ili kupata maarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata maarifa ya jinsi ya kuishi na waislam,hapo kuna tatizo?
Sasa kama sina imani na dini ya kiislam nisipojifunza juu ya mafundisho yao nitaishije nao katika jamii?Kwanini upoteze muda kwa ktu ambacho huna Imani nacho..?
Yaani uwe huna Imani na dini ya kiislamu afu utenge muda kuusoma uislamu...how comes???
Labda kama huna Imani na kile unachoamini Sasa unataka kujua ukweli ktk uislamu ili uamini au ili uwe mpelelezi.
Mfno..uwe huna Imani na chama fulani afu eti utenge muda na kufatilia sera zake...ili iweje?
Naona unaanza kuelewa maneno. Alkah hashindwi ndiyo maana ameweka kila kitu mahala pake. Angetaka angefanya ila sababu yeye ni mjuzi wa yote na wala si kigeu geu. Maana sababu mna hila waja wake angekuwa anabadilika badilika mngesema Allah ni kigeu geu. Yeye mwenyewe amsehasema ya kuwa wala hamkuti katika taratibu zake ni zenye kubadilikaUnadai kuwa Allah ameweka waja wake ulimwenguni kwa ajili ya kusimamia sheria zake,Allah mwenye uwezo wote,nguvu zote na mamlaka zote anashindwa kusimamia sheria zake mwenyewe?Huo uwezo wake na nguvu zake kubwa sana ziko wapi hadi amtumie binadamu dhaifu kusimamia sheria zake?Hii inathibitisha kuwa Allah huyo hayupo bali uwepo wake ni porojo na story za binadamu za kutunga tu.
Angefanya unavyotaka wewe, mngesema Allah hajatupa uhuru, lakimi ametupa uhuru wa kuamua tunachotaka.Unadai kuwa Allah ana njia nyingi za kuadhibu watu ikiwa ni pamoja na kuwapa maradhi,inakuwaje allah tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana aadhibu watu wake kwa maradhi wakati ana uwezo wa kuwazuia hata wasitende hayo maovu?Hii inathibitisha kuwa Allah huyo hayupo bali ni porojo za binadamu tu.