Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Pop amesimamia maandiko. Kama hujui maandiko ndipo unaweza lalama kama wengine walio install Bible app lakini hawajawai ifungua.
Yesu alisema ,, sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi"
Mwenye dhambi hakataliwi mbali bali huhubiriwa ili aache dhambi zake na amgeukie Mungu. Akishindwa kuacha basi atakufa katika dhambi zake na wewe uliyemwonya unabaki safi.
Shogaaa hajawai, kubadilika, ukishamwagiwa sumu ile itakuwasha mpaka kufa kwako, na ikukuwashaaa lazima ukwenu, mwanaume fanyaaa yoteee usikubali, kutafunwa maana ndio baasi tena
 
Baada kua na akili na kuipitia sana biblia niligundua RC linaongozwa na sheria za kanisa sio maandiko ya biblia, na zina nguvu kuliko biblia kanisani, mwaka wa 15 huu sijui kanisa lafananaje, hata ibada za mazishi nakaa nje, hua nahisi mle ndani ni najisi tupu... Sala zenyewe nshasau
Tunaheshimu sana msimamo wako.Ndio maana tumekuacha km ulivyo.Maana hiyo nayo ni dini yako

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Wapi huyo Yesu alijiita yeye mwana philosophy.?...au alivyoondoka aliacha vyeti vya u philosophy..?

Au ndo tunamsemea...kwani yeye alikuwa bubu?

Inawezekana vipi umwamini na kumtambua Yesu afu ukashindwa kumwamini na kumtambua Mungu..?? Au ndo unasoma kinyumenyume,elimu za kichawi..?
------------------------------------------_-------------
Majibu hujibiwa kulingana na uelewa wa muulizaji,usishangae ukamuuliza mtu swali afu akakaa kimyaa ukasema eti ajakujibu....laaa,jua kwamba kukaa kimya nalo jibu.

Mjinga na asiekuwa mjinga wanaweza wakauliza swali la aina moja but wakajibiwa tofauti...

Na wanafiki na wajinga wanapojibiwa huwa wanaona hawajajibiwa kwasababu tayari wanamajibu yao Kwenye vchwa vyao....hvyo hulazimisha majibu yafanane.
Naona unakomaa sana na suala la mimi kumjua Yesu,kwani kama simuamini Yesu sitakiwa/siruhusiwi kujifunza juu ya mambo yake?Mfano mimi siamini katika uislam lakini huwa najifunza uislam kila siku ili kupata maarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata maarifa ya jinsi ya kuishi na waislam,hapo kuna tatizo?
 
Vijana mnachekesha sana, kuupinga ukweli ni ngumu sana yaani haiwezekani.

Achilia mbali tu suala la dini, ila suala la Ushoga na usagaji akili timamu ina kataa, hili jambo. Mnapoambiwa ukweli dawq yale ni kuukubali na ibakie tu kuufanyia kazi au kuuacha, ila kuupinga tena pasi na hoja ni matumizi mabaya ya akili.

Mwenzako huko juu, alitoa andiko toka katika Biblia, lakino ukilosoma halionyeshi ya kuwa wale wahalifu walikuwa ni mashoga na wasagaji. Lakini tangu lini shoga au msagaji akawa muhalifu ? Bali wao ni waovu na watenda dhambi chafu kupata kutokea hapa duniani.

Akili iliyo salama, hujiuliza kwanini kuna mwanamke na kuna mwanaume ? Kwanini mwanaume akimuingilia mwanamke hupata mimba na hatimae kupata mtoto (Hapa kwa wale ambao si tasa). Sasa lengo la mwanaume kuumbiwa mwanamke ni wapendane na wahurumiane na kisha wapate uzao Mola akitaka. Je lengo la mashoga na wasagaji ni kufurahishana na kutumia akili vibaya, na si kutumia viungo vya uzazi inavyotakiwa na ndiyo lengo kuu.

Sasa jalia tunaongelea Biblia, je Biblia inasemaje kuhus Ushoga ? Inaruhusu ? Je Biblia inasemaje kuhus Sodoma na Gomoroa ?

Huwezi kuwa na akili timamu ukaupigia chapuo ushoga na usagaji. Na tafiti zinaonyesha ya kuwa wale wote wanao fanya mapenzi ya jinsia moja huwa ni wagonjwa wa akili.

Yaani ni sawa sawa, chakula ukipitishie sikioni au puani wakati njia sahihi na stahiki ni Mdomoni.

Acheni uhayawani. Ila cha moto mnakiona wale wote mnao shiriki mapenzi ya jinsia moja na Allah awalaani.
Ndugu swali langu kwako ni moja tu,kama Mashoga ni wabaya sana si Mungu apambane nao wakati au muda atakao yeye?Yaani Mungu amemuumba binadamu halafu anashindwa kumwadhibu?Kama mashoga ni watu wabaya sana basi Mungu awaadhibu.Unataka kuwa na kiherehere cha kutaka kulaumu na kuadhibu Mashoga kwani umeumba binadamu?Kwa nini usiachie alieumba binadamu awaadhibu mwenyewe pale wanapokosea?!
 
Yaani akili ikishachoka mtu ndo anapewa uongozi wa kanisa hivi tuseme ukweli miaka 80 akili itafanya kazi vizuri kweli ...hapana

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
 
Tujaribu kusoma mandiko apa kidogo.

walawi 18:22 "Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke ni machukizo."

Warumi 1:26-27

Tumwogopeni mungu jamani wana wa mungu na si kuunga ushetani wa namna hii tusiwe vipofu kamwe tujitaidi ata mandiko ya dini kidogo tuyapitie.

Papa hapitii maandiko au? Hii statement yake kaitoa based on what? Hi I Papa hakumbuki enzi za Lut?? Daah hawa viongozi wanachanganya sana
 
Shogaaa hajawai, kubadilika, ukishamwagiwa sumu ile itakuwasha mpaka kufa kwako, na ikukuwashaaa lazima ukwenu, mwanaume fanyaaa yoteee usikubali, kutafunwa maana ndio baasi tena
Asipobadirika atapata hukumu yake. Ukristo umejengwa katika misingi ya upendo na kusamehe.
 
Mfano:- haki ktk ndoa,haki za mwanamke juu mumewe...kulishwa,kuvishwa,kulindwa n.k na haki za mwanaume juu ya mkewe...kuheshimiwa kama kiongozi,kupewa unyumba, n.k

Hiyo mifano imebezi upande wa dini hasa Imani ya kiislamu.

Hizi sio haki bali ni wajibu wa mume kumtunza mke.
 
Hawa Mashoga wanaofukuana wana kundi lao..Wengi wao wana mapesa Mengi nadhani wamemnunua huyu Papa au systems za Kanisa zimehongwa.KATIKA HALI ambayo kanisa Katoliki linazuia Mapadre au ma sister kuoa na kuwaacha na hamu miaka nenda rudi inakuaje wanaruhusu watu kugeuzana kinyume na umbo la Mungu????

HAKI GANI YA KIPUMBAVU KUGEUZANA NA wakati Mungu aliweka maeneo mazuri tu kutumia kwa ajili hiyo?? Hivi Mungu anaishi umbali gani jameni asifanye kitu ndio mana wakati mwingine nahisi kama hapa Dunian mauchawi haya yanatupumbaza wala hakuna cha Ulolole wala Dini ni ujinga tu...

Huyu Papa anatakiwa afukuzwe au alazimishwe kujiuzulu kama sivyo kwa kauli ile kanisa hili halifai kabisa...Kuunga ushoga wakati wanawake wapo wana sehemu nzuri tu zina radha safi...

JINGA SANA..pumbaaaavu kabisa
 
Ndugu swali langu kwako ni moja tu,kama Mashoga ni wabaya sana si Mungu apambane nao wakati au muda atakao yeye?Yaani Mungu amemuumba binadamu halafu anashindwa kumwadhibu?Kama mashoga ni watu wabaya sana basi Mungu awaadhibu.Unataka kuwa na kiherehere cha kutaka kulaumu na kuadhibu Mashoga kwani umeumba binadamu?Kwa nini usiachie alieumba binadamu awaadhibu mwenyewe pale wanapokosea?!
Allah ana ataraibu zake ambazo hazibadiliki.

Allah ameweka waja wake Ulimwenguni kwa ajili ya kusimamia sheria zake na kuzitekeleza. Ndiyo maana mzinifu hupigwa bakora au hupigwa mawe au mwizi hukatwa mkono na wafanyao mapenzi ya jinsia moja huuwawa.

Kadhalika Allah ameweka siku maalumu ya hukumu na kuwalipa watu stahiki zao.

Ni sawa leo hii umtake Allah achomoze jua Magharibi na lizamie Mashariki, hili haliwezekani siyo kwamba hawezi, la hasha bali ameshaweka utaratibu.

Kadhalika Allah ana njia nyingi za kuwaadhibu watu, kwa kuwapa maradhi na mitihani mbali mbali. Wafanyao mapenzi jinsia moja habari zao tunazo, na mitihani inayo wakumba tunaijua.

Uwe unauliza maswali ya msingi. Maana sijaona swali la msingi unalouliza na maswali yako ni mepesi mno.

Nipo....
 
Allah ana ataraibu zake ambazo hazibadiliki.

Allah ameweka waja wake Ulimwenguni kwa ajili ya kusimamia sheria zake na kuzitekeleza. Ndiyo maana mzinifu hupigwa bakora au hupigwa mawe au mwizi hukatwa mkono na wafanyao mapenzi ya jinsia moja huuwawa.

Kadhalika Allah ameweka siku maalumu ya hukumu na kuwalipa watu stahiki zao.

Ni sawa leo hii umtake Allah achomoze jua Magharibi na lizamie Mashariki, hili haliwezekani siyo kwamba hawezi, la hasha bali ameshaweka utaratibu.

Kadhalika Allah ana njia nyingi za kuwaadibu watu, kwa kuwapa maradhi na mitihani mbali mbali. Wafanyao mapenzi jinsia moja habari zao tunazo, na miyihani inayo wakumba tunaijua.

Uwe unauliza maswali ya msingi. Maana sijaona swali la msingi unalouliza na maswali yako ni mepesi mno.

Nipo....

Unajibu maswali yangu kishabiki pasipo mantic yoyote na hili linathibitishwa na aya yako ya Mwisho.

Unadai kuwa Allah ameweka waja wake ulimwenguni kwa ajili ya kusimamia sheria zake,Allah mwenye uwezo wote,nguvu zote na mamlaka zote anashindwa kusimamia sheria zake mwenyewe?Huo uwezo wake na nguvu zake kubwa sana ziko wapi hadi amtumie binadamu dhaifu kusimamia sheria zake?Hii inathibitisha kuwa Allah huyo hayupo bali uwepo wake ni porojo na story za binadamu za kutunga tu.

Unadai kuwa Allah ana njia nyingi za kuadhibu watu ikiwa ni pamoja na kuwapa maradhi,inakuwaje allah tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana aadhibu watu wake kwa maradhi wakati ana uwezo wa kuwazuia hata wasitende hayo maovu?Hii inathibitisha kuwa Allah huyo hayupo bali ni porojo za binadamu tu.

Inakuwaje Allah huyu tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana anaruhusu hadi watoto wachanga waugue kwa maradhi yanayotesa sana na hatimae saa nyingine hadi kufa?Hii kwa mara nyingine tena inathibitisha Allah huyo anaejicontradict mwenyewe hayupo bali ni story za wanadamu za kutunga tu.Tunaambiwa kuwa Allah ana upendo na uwezo wa kufanya kila kitu lakini mpaka watoto wachanga wasiokuwa na hatia Allah huyo huyo mwenye upendo mwingi na uwezo mwingi anashindwa kuzuia hawa watoto wachanga wasio na hatia yoyote wasiugue.Huyo ni Allah hewa wala hayupo.
 
Naona unakomaa sana na suala la mimi kumjua Yesu,kwani kama simuamini Yesu sitakiwa/siruhusiwi kujifunza juu ya mambo yake?Mfano mimi siamini katika uislam lakini huwa najifunza uislam kila siku ili kupata maarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata maarifa ya jinsi ya kuishi na waislam,hapo kuna tatizo?
Kwanini upoteze muda kwa ktu ambacho huna Imani nacho..?

Yaani uwe huna Imani na dini ya kiislamu afu utenge muda kuusoma uislamu...how comes???

Labda kama huna Imani na kile unachoamini Sasa unataka kujua ukweli ktk uislamu ili uamini au ili uwe mpelelezi.

Mfno..uwe huna Imani na chama fulani afu eti utenge muda na kufatilia sera zake...ili iweje?
 
Duuuh aisee.......hizi dini zakuletewa na zenye tamaduni za watu ndiyo changamoto,tunaishia kuchekana na kutukanana bila sababu kwa kuhangaika na dini zenye tamaduni za watu
 
Kwanini upoteze muda kwa ktu ambacho huna Imani nacho..?

Yaani uwe huna Imani na dini ya kiislamu afu utenge muda kuusoma uislamu...how comes???

Labda kama huna Imani na kile unachoamini Sasa unataka kujua ukweli ktk uislamu ili uamini au ili uwe mpelelezi.

Mfno..uwe huna Imani na chama fulani afu eti utenge muda na kufatilia sera zake...ili iweje?
Sasa kama sina imani na dini ya kiislam nisipojifunza juu ya mafundisho yao nitaishije nao katika jamii?

Mfano juzi nilitaka kwenda kula kitimoto na nilipofika kwenye kituo cha bodaboda ilibidi nitafute bodaboda ambae siyo mwislam ili anitafutie sehemu yenye kitimoto.Huoni kama ningekuwa sina mafunzo juu ya dini ya kiislam ningeenda tu na kumwambia bodaboda yeyote anipeleke kwenye kitimoto na pengine ningekumbana huko na bodaboda ambae ni mwislam ningemkwaza sana na pengine ungekuwa ni ugomvi mkubwa?
 
Unadai kuwa Allah ameweka waja wake ulimwenguni kwa ajili ya kusimamia sheria zake,Allah mwenye uwezo wote,nguvu zote na mamlaka zote anashindwa kusimamia sheria zake mwenyewe?Huo uwezo wake na nguvu zake kubwa sana ziko wapi hadi amtumie binadamu dhaifu kusimamia sheria zake?Hii inathibitisha kuwa Allah huyo hayupo bali uwepo wake ni porojo na story za binadamu za kutunga tu.
Naona unaanza kuelewa maneno. Alkah hashindwi ndiyo maana ameweka kila kitu mahala pake. Angetaka angefanya ila sababu yeye ni mjuzi wa yote na wala si kigeu geu. Maana sababu mna hila waja wake angekuwa anabadilika badilika mngesema Allah ni kigeu geu. Yeye mwenyewe amsehasema ya kuwa wala hamkuti katika taratibu zake ni zenye kubadilika

Naendelea kusisitiza ya kuwa, jaribu kuuliza maswali magumu yenye tija, ila maswali unayo uliza ni mepesi na ya kijinga.
Unadai kuwa Allah ana njia nyingi za kuadhibu watu ikiwa ni pamoja na kuwapa maradhi,inakuwaje allah tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana aadhibu watu wake kwa maradhi wakati ana uwezo wa kuwazuia hata wasitende hayo maovu?Hii inathibitisha kuwa Allah huyo hayupo bali ni porojo za binadamu tu.
Angefanya unavyotaka wewe, mngesema Allah hajatupa uhuru, lakimi ametupa uhuru wa kuamua tunachotaka.

Ona upendo wa Allah ulivyo timilifu hapa unamsema vibaya na kuhoji upuuzi lakin, anakupa rizki na anakupa uhai. Hapa utaona ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili na unamkana usie mjua.

Maradhi huwa ni kengele ya kukukumbusha wapi ulipokosea na urejee katika usahihi bali ufanye toba kabisa. Maradhi kama mtihani huwa ni sababu ya kufutiwa madhambi yako. Kwahiyo maradhi huwa yanakuja na faida zake.

Kwahiyo tunaona kabisa ya kuwa Upendo wa Allah kwa waje nitimilifu.

Labda nikuulize swali rahis unajuaje kama jambo fulani halipo ? Maana hitimisho lako limejengeka katika kutokumjua Allah. Sasa turudi katika uhalisia.
 
Back
Top Bottom