20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Njia iendayo mbingu ni nyembamba imesonga.
Njia iandayo upotevuni ni Pana na Weng wataiendea.
[emoji1655] Anakamilisha unabiii wa hilo andiko. Yesu alipokuwa ana keti na makahaba na wezi, hakuwa ameenda kuwapa Go ahead na kusema njooen ,endelea na wizi wenu. Hakuwa ame compromise, ameenda Kutaka wabadili njia zao.
Lengo la shetan ni kudanganya ili watu wakahukumiwe, so [emoji1655] anakusanya wengi waka hukumiwe. Sasa kama yeye ni Mtumishi wa MUNGU, aseme kauli ya MUNGU kulingana na maandiko.
Kama kukataza dhambi ni kutoa hukumu, naona wazi Catholic ikiwa ni kitovu cha kuja kuunganisha na dini zingine za kipagani , occult zingine kwa jina la kuongeza wafuasi. Kama ishu ni kuobgeza wafuasi sasa ni halisi Roman sio ishu ya kiroho bali ni nguvu ya kiutawala na dola.
Chekesho zaidi, anayesema hukumu anamuachia MUNGU, leoo hiii wao wanakaaa jopo na kupitisha majina ya nani aitwe Mtakatifu na jina lake liingie ktk list ya watu wa , UTUOMBEEE