Hapa unakosea.Ushoga ndio dhambi pekee?
Je shoga anatakiwa atengwe na jamii?
Hata tusiende mbali kwenye familia kukiwa na shoga anatengwa au kuuwawa?
Dini zote zinatupokea bila kujali udhaifu na dhambi zetu kwa nini ushoga ndio inaonekana haifai?vipi kuhusu wizi,ukahaba,uuaji,ufisadi na kadhalika?hizo sio dhambi
Nafikiri ifike pahala kazi ya kuhukumu aachiwe Mungu kama binadamu tuishi tu kwa kuvumiliana na kuchukuliana.
Kwenda kubariki ndoa ya mwanaume na mwanaume huko ni kubariki dhambi.
Huwezi kwenda kwa mchungaji ukamwambia akubariki ukateke benki au akubariki ukabaki hapo tofauti ndipo ilipo.
Kuishi nao si ajabu ajabu ni pale unapotaka kile wanachofanya kionekani ni sawa wanaweza hadi kuoana.
Mbona wezi ni wengi lakini haijawahi kutangazwa kuwa kuiba si dhambi?