Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huyu papa ifikie mahali sasa Mungu amuite tu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni msema kweli, ukinijibu vizuri tutaenda vizuri ila ukinipeleka vibaya nitaenda vibaya, niko vizuri sana kwenye kauli nina mdomo mchungu sana, naona ukweli wangu unawauma sana, itabidi mzoee Ushoga kama mlivyozoea VVUUzi wako ni uchafu na ushetani mtupu! Umeshindwa hoja hapa, ni bora ukaachaana na huo uchafu, na hii inaonesha mwisho wa dunia unakaribia. Kama unadhani kwa kufanya hivyo Papa atapata waumini wengi basi hiyo dhana ni potofu na matokeo itakuwa ni kinyume chake yaani kukimbiwa na waumini wengi.
Nitakutajia Waislamu wenzio wanaofirana wote nna data nzima usitake tufike huko, mashoga yapo mpaka kwenu
Ni kweli mkuu ila kiongozi anaeita watu kwenye wokovu wa maovu nafikiri anapaswa kukemea hilo na sio kuleaNikweli ndugu lakini dunia ya leo sio ya Watakatifu tena ukifuata maandiko utakwama, jiulize watu wangapi hivi sasa ni waovu, nenda mahakamani uone kesi za uovu nadhani utapata jibu kuwa dunia ya sasa siyo
Yakweli hayo mkuu? Alimnyonya kwasababu gani
kisha sadaka hakunaDunia ya leo haina Watakatifu tena, ukibagua utabaki mwenyewe na kanisa lako, kila mtu ni muovu
Lengo la dini ni lipi? Ni kwa ajili ya 'Watakatifu' pekee au kwa ajili ya Kuwatenga wale wanao onekana kuwa wakosaji na wadhambi?Kuna siku papa atawapulizia filimbi wakatoliki
Kwamba sasa ni ruksa maana mambo uanza kidogo kidogo.
Hiyo idadi haijaongezeka kwa bahati mbaya, mitazamo kama hii yako inatoa fursa nzuri ya ongezeko la mashoga.Idadi ya mashoga imeongezeka sana kiasi kwamba anaumiza sana akili afanyaje, manake akitenga atabakiwa na waumini wachache sana
Ila kwenye imani ya ukristo viongozi wa dini wana nguvu sana kuliko hata maandiko ya dini yenyewe.Ukatoliki siyo Mali ya PAPA FRANSIS, UKATOLIKI ulikuwepo tangu mwaka 33 AD.
Hivyo, kama akikosea katika maamuzi marekebisho yatafanywa na watakaofuatia baada yake.
Kwakuwa UKATOLIKI siyo Mali ya PAPA FRANSIS, ni Upumbavu kuikimbia Mali yako Kwasababu ya majungu ya WATU.
Jambazi,mwizi au fisadi anajitangaza?Kuna waumini wezi, majambazi, mafisadi n.k Umeshawahi kusikia wamewahi kuambiwa sasa ni ruksa?
Kama kuna ulazima sana wa kuwa na dini kwa hao mashoga basi si bora waanzishe dini yao ambayo itakuwa na sheria zenye kuendana na wao, na kama unavyosema wako wengi hivyo watakuwa na waumini wengi.Papa amechanganyikiwa na hizi kesi za ushoga anaona vijana wote wanakimbilia kutafunana wao kwa wao sasa anasikitika watabebwa na dini gani
Zote dhambi na siku zote viongozi wa dini hukemea hizo dhambi, watu washachomwa hadi moto kwa wizi.Ushoga ndio dhambi pekee?
Je shoga anatakiwa atengwe na jamii?
Hata tusiende mbali kwenye familia kukiwa na shoga anatengwa au kuuwawa?
Dini zote zinatupokea bila kujali udhaifu na dhambi zetu kwa nini ushoga ndio inaonekana haifai?vipi kuhusu wizi,ukahaba,uuaji,ufisadi na kadhalika?hizo sio dhambi
Nafikiri ifike pahala kazi ya kuhukumu aachiwe Mungu kama binadamu tuishi tu kwa kuvumiliana na kuchukuliana.
Mkuu ushoga haujawahi kuwa kitu cha kawaida hadi sasa mashoga wanaona wanatengwa ndio maana inatumika jitihada ili watu waone ushoga ni kitu cha kawaida tu, sasa wewe unataka kama kutuaminisha kwamba ushoga umetawala kumbe sivyo.Watu wengi sasahivi wanafirana sana kiasi kwamba yeye mwenyewe kachanganyikiwa afanyaje
Unaweza ukawa shoga na watu wasijue ila ukianza kujitangaza na kutaka ndoa za ushoga hapo ndio tatizo.Je katika dini ya Kiislamu hakuna mashoga?