Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

Ushoga ndio dhambi pekee?

Je shoga anatakiwa atengwe na jamii?

Hata tusiende mbali kwenye familia kukiwa na shoga anatengwa au kuuwawa?

Dini zote zinatupokea bila kujali udhaifu na dhambi zetu kwa nini ushoga ndio inaonekana haifai?vipi kuhusu wizi,ukahaba,uuaji,ufisadi na kadhalika?hizo sio dhambi

Nafikiri ifike pahala kazi ya kuhukumu aachiwe Mungu kama binadamu tuishi tu kwa kuvumiliana na kuchukuliana.
Hapa unakosea.
Kwenda kubariki ndoa ya mwanaume na mwanaume huko ni kubariki dhambi.
Huwezi kwenda kwa mchungaji ukamwambia akubariki ukateke benki au akubariki ukabaki hapo tofauti ndipo ilipo.
Kuishi nao si ajabu ajabu ni pale unapotaka kile wanachofanya kionekani ni sawa wanaweza hadi kuoana.
Mbona wezi ni wengi lakini haijawahi kutangazwa kuwa kuiba si dhambi?
 
Hakuna sehemu Papa alisema sio dhambi soma hii nukuu hapa👇

Ingawa Francis alikosoa kuharamishwa kwa mapenzi ya jinsia moja, aliweka wazi kuwa anaamini kuwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ni dhambi. "Hebu tutofautishe kati ya dhambi na uhalifu," Papa alisema.
 
Dini yenye msimamo haina kulegeza kamba sababu maelekezo yote ni ya Mungu na hayana rufaa au kubadikishwa na binaadamu.
Dini sio Chama cha siasa ambacho kinapindisha msimamo wake na kuwa kigeugeu ili kipate kura.
"To be or not to be" ni msemo maarufu ambao maana yake ya karibu ni "kuwa au kutokuwa" yaani aidha unafata dini au huko kwenye hiyo dini
 
Hapa unakosea.
Kwenda kubariki ndoa ya mwanaume na mwanaume huko ni kubariki dhambi.
Huwezi kwenda kwa mchungaji ukamwambia akubariki ukateke benki au akubariki ukabaki hapo tofauti ndipo ilipo.
Kuishi nao si ajabu ajabu ni pale unapotaka kile wanachofanya kionekani ni sawa wanaweza hadi kuoana.
Mbona wezi ni wengi lakini haijawahi kutangazwa kuwa kuiba si dhambi?
Watu wengi sasahivi wanafirana sana kiasi kwamba yeye mwenyewe kachanganyikiwa afanyaje
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Ukatoliki siyo Mali ya PAPA FRANSIS, UKATOLIKI ulikuwepo tangu mwaka 33 AD.
Hivyo, kama akikosea katika maamuzi marekebisho yatafanywa na watakaofuatia baada yake.
Kwakuwa UKATOLIKI siyo Mali ya PAPA FRANSIS, ni Upumbavu kuikimbia Mali yako Kwasababu ya majungu ya WATU.
Siamini kuwa POPE anatamka tu kwa kuteleza...
Vatican ni nchi, na kila anachotamka POPE kitakuwa kimehaririwa..

POPE amerudia hii kauli zaidi ya mara 2...

Sipati picha kosa kubwa kama hili lingetokea ktk viongozi wa imani nyingine.... pengine pangechimbika.

Kama kuna jambo linapaswa kuwaamsha Roman Catholic ktk imani basi ni hili, ...otherwise mtegemee mengi yanafuata,.. kizani Chenu kitakuja kuona ni kawaida na mwishowe kuzoeleka kwamba ni sehemu ya tu imani...
 
Hawa mashoga wapo dini zote na kila sehemu hapa duniani ndio maana hata Serikali imekaa kimya hawajui wachukue uamuzi gani, ukiua mashoga unajikuta wafisaji wapo itabidi uue watu wote mana hakuna Watakatifu
 
enzi zetu tukiwa watoto mtuakisema uongo kamawewe ili ajikoshe tunamzomea

samahani kwakunirudisha utotoni.

uoooooooooooooooo iloooooooooooo lioneeeeeeeeeee linajikoshaaaaaaaaaa uooooooooooooooooooooooooooo
ilooooooooooooooo chiziiiiiiiiiiiiii uoooooooooooooo

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kilasiku wewe na mokitti mnatetea leo umekubali kuwa ukatoliki nitaasisi yashetani pía ili kujikosha unaingiza na taasisi zingine.

hebu tutajie nahizo taasisi zingine unazosema ni maajenti washetani tuzione😎
Je katika dini ya Kiislamu hakuna mashoga?
 
Ndugu zangu tuzungumze kwa uwazi kuhusiana na uamuzi wa Papa Francis kuwapa mashoga uhuru

Wakosoaji wakubwa wa uamuzi huu ni madhehebu mengine yasiyo ya Katholiki huku wakidai kuwa dini ya Katholiki inaruhusu ushoga

Kabla ya kumtuhumu Papa ni kuwa idadi ya mashoga duniani imeongezeka sana kiasi kwamba inatishia idadi ya wale wasio mashoga. Takwimu alizopokea Papa zimemfikirisha mara kadhaa na kuona kuwa endapo akiwatenga mashoga basi atabaki na idadi ndogo sana ya waumini wa Katholiki, ili kuzuia anguko hilo akaona awaruhusu mashoga kuwa waumini wa kanisa la Katholiki.

Wenzangu wa madhehebu mengine wakiwemo Waislamu, Wahindu na wengineo, mnapomnyooshea kidole Papa mnamaanisha kuwa hakuna muumini wetu hata mmoja duniani ambaye ni shoga.

Swali la kujiuliza, je katika dhehebu lako hakuna muumini wenu hata mmoja duniani ambaye ni shoga?

Turejelee msemo wa kuwa kabla hujatoa boliti katika jicho la mwenzako basi hakikisha katika jicho lako umekwishatoa!
Kwahiyo hiyo dini inasimamia lipo? Kwamba hata kama watu wanafanya uovu basi waendelee tu kufanya uovu wao kwenye madhabahu? Kwani hata akibaki yeye pekee kwenye hiyo dini Kuna shida gani kama anaamini katika Mungu?
 
Dini ya Mashetani wanamtetea shetani mwanzao

Papa anapaswa kukosolewa maana dhambi ni dhambi na haipaswi kupakwa mafuta, uzuri Wakristo hukosoa popote sio kama nyie huyu madhambi yake yameandikwa kwenye vitabu vyenu na mpaka leo mnamuabudu
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
 
Ukatoliki siyo Mali ya PAPA FRANSIS, UKATOLIKI ulikuwepo tangu mwaka 33 AD.
Hivyo, kama akikosea katika maamuzi marekebisho yatafanywa na watakaofuatia baada yake.
Kwakuwa UKATOLIKI siyo Mali ya PAPA FRANSIS, ni Upumbavu kuikimbia Mali yako Kwasababu ya majungu ya WATU.
watakaofuata kuja kurekebisha sijui watarekebisha nini maana wote watakuwa mashoga
 
Hoja yako haina mashiko hata kidogo, ndoa za jinsia zimepigwa marufuku kwenye maandiko matakatifu BIBLIA hakuna namna ya kuhalalisha huo ushetani,

kama anahofia kubaki na watu wachache kwenye majengo yake basi angetia mkazo kukemea huo ushetani na kuunyima nafasi kabisa kwenye jamii ya wakatoliki, kama ambavyo amepiga marufuku wakatoliki kujiunga na freemason ili wasipate nafasi ya kuendelea kujitanua na kuongezeka,

lakini anacho kufanya yeye ni kubariki huo ushetani na kuwaambia wengine wanaouchukia kwamba wale wanaofanya ndoa za jinsia moja ni sawa na wao, yule mzee ni mshenzi tuu na Kila anaemuunga mkono na yeye mshenzi vile vile shetani kabisa 😡😡😡😡😡
 
Kwahiyo hiyo dini inasimamia lipo? Kwamba hata kama watu wanafanya uovu basi waendelee tu kufanya uovu wao kwenye madhabahu? Kwani hata akibaki yeye pekee kwenye hiyo dini Kuna shida gani kama anaamini katika Mungu?
Dunia ya leo haina Watakatifu tena, ukibagua utabaki mwenyewe na kanisa lako, kila mtu ni muovu
 
Papa anapaswa kukosolewa maana dhambi ni dhambi na haipaswi kupakwa mafuta, uzuri Wakristo hukosoa popote sio kama nyie huyu madhambi yake yameandikwa kwenye vitabu vyenu na mpaka leo mnamuabudu
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
Aliona akibagua mashoga bado wezi, malaya, mafisadi, washirikina wapo
 
Back
Top Bottom