baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kwa Hio proffesor wa Historia hajui ila wewe una uhakika kabisa unajua?Wala hakuna debate. Nyie ndiyo mnataka iwe debate. Alisoma Spain na baadhi ya elimu aliyopata ni ile iliyokuwa imepokelewa toka Waislam wa Andalusi. Yeye binafsi hakuwahi kwenda Moroco kusoma. Historia iko wazi na ushahidi upo.
Zipo nenda kafanye upelelezi!Nini kilitokea huko kwenye madrasa zenu mbona sasa hivi hakuna hesabu kwenye masomo ya madrasa zenu
1.well mkuu sijapinga kuhusu hiyo hoja ya hiko choa, nimeingia several pages na kuona kuna vinavyosema ni Bologna na vyengine uwepo wa hiko chuo...Guinness world record inatambua Bologna italy kama chuo cha kwanza Cha magharibi na sio duniani, ukumbuke Bologna imekua Chuo miaka ya 1000 wakati huo miaka 200 na kitu kabla hicho cha Morocco kilishakua chuo
Roma ili fall, na Elimu ya Kigiriki ikapotea Ulaya, ila Middle East ili Endelea kuwepo, so wazungu Wakaja kuipata tena Elimu ya Kigiriki na ya Middle East kupitia waisilamu.
Kuna muda unajulikana kama "Age of translation" ambao Academics wengi wa Ulaya walikuja maeneo ya waisilamu kujifunza kiarabu na kutafsiri elimu toka Kiarabu kwenda lugha zao za asili
The translation movement
With the fall of Rome, the cultural heritage of classical Greece was lost to western Europe and next to no European knew how to read Greek. Instead the texts survived in translations into Arabic. T…ringmar.net
Mimi tena nilete ushahidi? Wewe uliye leta madai kuwa pope kasoma Moroco ndiyo uweke hapa ushahidi usio na shaka. Acha kujitoa ufahamuLete ushahidi wako kukanusha hilo
Unajichanganya sana kwa hili.
Profesa gani? Weka hapa ushahidi usio na shaka kuwa pope kasoma Madrasa. 😂😂Kwa Hio proffesor wa Historia hajui ila wewe una uhakika kabisa unajua?
Mkuu,Quran 4:11
Mwenyezi Mungu anakuusieni juu ya watoto wenu: Fungu la mwanamume ni kama fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wanawake zaidi ya wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho kiacha maiti. Lakini akiwa mtoto mwanamke ni mmoja, basi fungu lake ni nusu. Na wazazi wake wawili, kila mmoja wao apate sudusi ya alicho kiacha, ikiwa anaye mtoto. Akiwa hana mtoto, na wazazi wake wawili wamekuwa ndio warithi wake, basi mama yake atapata thuluthi moja. Na akiwa anao ndugu, basi mama yake atapata sudusi. Haya ni baada ya kutolewa alicho usia au kulipa deni. Baba zenu na watoto wenu, nyinyi hamjui ni nani baina yao aliye karibia zaidi kwenu kwa manufaa. Hiyo ni Sharia iliyo toka kwa Mwenyezi Mungu. Bila ya shaka Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye hikima.
Hayo mahesabu yaliyopo hapo ambayo Mtume Muhammad aliwafundisha waislam karine 6
Wewe jinsi ulivyo kilaza ukipewa Mbuzi 70 uwagawanye Kwa hayo maelezo hapo hauwezi
Hesabu za Alijebra ulizosoma shule msingi wake ndio upo hapo katika hiyo aya
Aliyeandika na kufundisha hizo hesabu alikuwa anaitwa ALLY JABIRi wazungu wakaziita hesabu za Aljebra Ili kuondoa chembechembe za uislam katika somo la hesabu Ili waendelee kuwadanganya vilaza kama wewe
Pole mkuu kwa povu. Haya bana kila kitu mlikianzisha waislam hadi adamu na eva ni wenu. Furahi sasa,mnapenda wiziiiii
Mimi nimeshaleta ushahidi wangu kupitia historia inayosimuliwa na watu ambao wameshafika huko na kupitia watafiti wengine wa historia.Mimi tena nilete ushahidi? Wewe uliye leta madai kuwa pope kasoma Moroco ndiyo uweke hapa ushahidi usio na shaka. Acha kujitoa ufahamu
Mkuu,mbona unalisha watu matango poring hapa....Ni kweli kabisa.
Muhimu hata hizo habari za Pyramid na maajabu yake zilianza kuelezwa na waislamu ndipo akina nyie mkaelewa.
Na kumbuka kuwa uislamu haukuanza na Muhammad saw.Twataraji hata hao wamisri wa kale walikuwa waislamu.
Mtu wa mwanzo kuzichambua kumbukumbu hizo za kale ni Ibn Yussuf.
Ukiacha hilo.Hesabu za wamisri wa Kale zimefanyiwa ukarabati na waislamu na tukapata hizi zinazotumika leo dunia nzima na ndizo alizosoma papa Sylvester na kuwapelekea wakristo wa Ulaya.
Bro nimekuandikia hapo juu jina comment iliopita na hapa unauliza tena anaitwa nani? Kwa jina anaitwa Attilio Gaudio toka Paris proffesor anayedeal na historia ya sahara including Morroco.Profesa gani? Wek hapa ushahidi usio na shaka kuwa pope kasona Madrasa. 😂😂
Uislamu ni dini ya awali kabla hata dunia haijaumbwa.Mkuu,
Mimi ninataka kujifunza jambo haswa kulingana na chimbuko halisi la dini ya Islam. Hii itatupa picha halisi bila kuwa bias ni nani walikuwa waanzilishi wa mwanzo kabisa wa hesabu katika karne nyingi sana zilizopita.
Sina shaka na Misri ya zamani maana mambo makubwa ya kihistoria yamefanyika huko, hesabu pamoja na maandishi ya kale pia.
1. Je, ni kweli Islam ilikuja baada ya Mtume Muhammad (saw) kuzaliwa?, au ni dini iliyokuwepo tangu awali hata kabla ya kuzaliwa kwa mtume?
2. Quran kama kitabu cha muongozo kwa Muslims, kiliteremshwa kipindi cha Muhammad (saw), au ni kitabu kilicho kuwepo karne nyingi kabla ya kuzaliwa kwa mtume?.
3. Mwisho kabisa, Islam kama dini ilianza karne ya ngapi, na hizi hesabu zinazo zungumziwa zilikuwepo Misri ya zamani na Mashariki ya mbali zilianza karne ya ngapi?.
Natanguliz shukran.
Sawa, hata teleban na alqaida wamesoma hapoChuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.
Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.
Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.
Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.
Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.
Dola ya Misri unayouliza sijui ni ipi kwani kama ni watawala wa Misri wapo wengi na wote tunawaita dolaMkuu,mbona unalisha watu matango poring hapa....
-Hivi unajua Dola ya Misri ilianza mwaka gani na kuisha mwaka gani...?
-Hivi unajua Uislam uliingia Afrika kupitia Misri mwaka gani...?
-Hivi unajua hata Dola ya Kiislam ilikuwa mwaka gani?
-Je,unajua hata Kazi ya hizo Pyramid huko Misri ilikuwa ni nini?
-Leta ushahidi kama kuna ya Afrika ilikuwa na Uislam au Waarabu kabla ya Karne ya 1.
Weka sources hapo.
Hebu google hivyo, vitu kabla ya kunena...
Hakuna ushahidi umeleta zaidi ya porojoMimi nimeshaleta ushahidi wangu kupitia historia inayosimuliwa na watu ambao wameshafika huko na kupitia watafiti wengine wa historia.
Sasa ni zamu yako kuthibitisha mimi ni muongo kupitia ushahidi usio na shaka ulio nao wewe kukanusha kuwa hakusoma huko.
Mara nyingi kwenye mijadala huwa uanaonekana una mikwara sana lakini kwenye mada kama hizi unapata mshtuko mpaka mtu mzima unaadhirika.
za kwako ndio porojo mbaya zaidi kwa sababu unapinga bila kuleta ushahidi.Hakuna ushahidi umeleta zaidi ya porojo
Natudua tena kanisa linakanusha unachosena na hakuna Pope yoyote aliyepata kwenda Masomoni Moroco.za kwako ndio porojo mbaya zaidi kwa sababu unapinga bila kuleta ushahidi.
Sio kila Muarabu ni Muislam.Hesabu mzee wangu mpaka za chuo kikuu ni uvumbuzi wa waislamu.
Zimeendelezwa na kubadilika kulingana na wakati lakini muhimu nyingi zimebaki kama zilivyokuwa.
kwa vile umeshindwa kupinga kwa ushahidi ni dalili umekubali kuwa papa alisoma Morocco kwenye madrasa ya waislamu.Natudua tena kanisa linakanusha unachosena na hakuna Pope yoyote aliyepata kwenda Masomoni Moroco.
Mnang'ang'ania pope kasoma Moroco ndiyo itasaidia nini kwa mfano?