Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Bado hatujaridhika tunataka goli hilo liingie kwenye competition ya goli bora la dunia

Kuna kina Messi na Ronaldo naona siku hizi wanajisahau sana, wanafikiria wao tu ndio wanaweza funga magoli magumu wacha waone hili goli halafu wakate tamaa
 
Pamoja na yote dogo yuko OVERRATED sana naongea kama Shabiki kindaki wa Mnyama wanasimba wanataka kumfananisha na miqquison lakini dogo kuna namna anakwama sana uwanjani kwanza ni MCHOYO MNOOO wa PASI hasa akikalibia golini na matatzo kadhaa kama kulazimisha kupenya ndani ya Box naamini akiambiwa ukweli atabadilika na angekua hatari angekua ana walau goli 5 tu za ligi POVU ruksa
 
Hilo ni kweli na tulishalizungumza mara kibao kwenye nyuzi nyingi za updates

Ila hapa leo tunatoa pongezi tu
 
Pamoja na yote dogo yuko OVERRATED sana naongea kama Shabiki kindaki wa Mnyama wanasimba wanataka kumfananisha na miqquison lakini dogo kuna namna anakwama sana uwanjani kwanza ni MCHOYO MNOOO wa PASI hasa akikalibia golini na matatzo kadhaa kama kulazimisha kupenya ndani ya Box naamini akiambiwa ukweli atabadilika na angekua hatari angekua ana walau goli 5 tu za ligi POVU ruksa
Wala hakuna mwenye povu na wee, maumivu yakizidi kamuone Daktarii. Poleeeeeeeh

Byuti byuti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na yote dogo yuko OVERRATED sana naongea kama Shabiki kindaki wa Mnyama wanasimba wanataka kumfananisha na miqquison lakini dogo kuna namna anakwama sana uwanjani kwanza ni MCHOYO MNOOO wa PASI hasa akikalibia golini na matatzo kadhaa kama kulazimisha kupenya ndani ya Box naamini akiambiwa ukweli atabadilika na angekua hatari angekua ana walau goli 5 tu za ligi POVU ruksa
Typical Tanzanian man, kwenye harusi unaleta habari za msiba!.

Hiyo yako ni topic nyingine na ya siku nyingine kwa leo tunasheherekea uchoyo wa Sakho ulivyotuheshimisha. Learn to appreciate where its due
 
Kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!

Tumechukuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!

Sakhoooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!

[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 2299257View attachment 2299258
Wakwetu[emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Pamoja na yote dogo yuko OVERRATED sana naongea kama Shabiki kindaki wa Mnyama wanasimba wanataka kumfananisha na miqquison lakini dogo kuna namna anakwama sana uwanjani kwanza ni MCHOYO MNOOO wa PASI hasa akikalibia golini na matatzo kadhaa kama kulazimisha kupenya ndani ya Box naamini akiambiwa ukweli atabadilika na angekua hatari angekua ana walau goli 5 tu za ligi POVU ruksa
Nakubaliana na wewe
 
Kwa kuwa wanasimba mwaka huu hatujapata kombe lolote,naomba uongozi wa simba hii tuzo ya Sakho tuifanyie trophy parade kutoka airport mpk ofisi za Simba pale Lampard electronics

Ili afrika ishangae kwa Trophy parade ya tuzo ya Sakho
 
Mbona naskia Mayele alifunga goli zuri kupita hilo kwenye mechi ya Yanga na Azamu ?
Kwani ligi kuu ya Tanzania haipo chini ya CAF ?
Hadi wasilione goli bora kama hilo na kuamuru lipigiwe kura ?
 
Back
Top Bottom