Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Mashabik wa simba wanafuraha sana furaha yao iko hivi

Mpole kuwa mfungaji bora
Hattrick ya Sopu
Manara kufungwa
Goli la sakho kuchanguliwa

Ila nawaambia 13.8.2022 maji mtaita mmaah
Sasa wee si ulie pole pole, kwan upige kelele hivyooo??
Kunywa kwan maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Hongera sana Pape Sakho, umeiletea heshima kubwa Simba na Tanzania, kazi kubwa ya Simba ni hiyo, sio nyie mnaokaa kutwa kutetea watu wahuni na waovu katika soka.Wahuni hawana maana, shauri yenu.
Mlianza kwa Mpole, mkafuata kwa Sopu, saa hii mpo kwa Sakho utadhani Simba ipo huko..!!
 
Mbona naskia Mayele alifunga goli zuri kupita hilo kwenye mechi ya Yanga na Azamu ?
Kwani ligi kuu ya Tanzania haipo chini ya CAF ?
Hadi wasilione goli bora kama hilo na kuamuru lipigiwe kura ?
CAF walioneshwa hiyo clip na hao wapendekezaji

Baada ya CAF kuangalia hiyo clip wakawageukia hao waliopendekeza hilo goli liingie kwenye kinyang'anyio

Wakaaauliza hii clip inaonesha akifunga au inaonesha mpira ulimgonga?

Wakakosa jibu
 
Oya ukiweza njoo tuwekeane hela, Mkitufunga nakutumia 20k, kama unaridhia uanzishwe uzi maalumu kwa ajili ya hilo
Yanga ukitaka ukosane nao we taja hela kwenye mazungumzo yako

Manara alijichangaya akataja neno hela na zaidi akaweka komeo eti hata kwenye magroup watu wasichangie kama hawajalipia 19,000

Haijulikani wananchi walikutana wapi kufanya mkutano wa kugomea kampeni ila mpaka tunavyoonvea hivi hiyo kampeni ilikufa kitambo sana

Uongozi wa Yanga ukijisahahu tena ukatonesha kidonda kwa kutaja neno hela kwenye nani zaidi. Round hii ilibidi wao wenyewe wa terminate zoezi kwasababu hali iliyokuwa inaenda wananchi walikuwa wanakaribia kufikia kiwango cha mwisho cha busara.

Leo tena unamuambia hela...karuka viunzi vyote afu aje anasie hapa ye jinga??
 
GOLI BORA la Mwaka CAF....! Congratulations P.Sakho , Viva Simba....!

Hili ni Jambo ni La Kitaifa..tuzo Ya GOLI Bora Inakuja Bongo Kwa Mara Kwanza .
Huyo mshikaji ni mmbongo kwani..?
 
Wala haturingi.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
JamiiForums1211626194.jpg
 
Tunahangaika na vile vitu vinavyotambaliwa nje ya mipika ta Tanzania. Wewe baki unahangaika na NBC premier league huku wenzio tukiwaza jinsi ya kuwafikia wakubwa wenzetu barani Africa kama Al ahly, Wydad et al
Una makombe mangapi ya Africa?

Una muwaza Al Ahly na Wydad na kikosi cha kina Akpan na Onyango?

Soo Fun!
 
Back
Top Bottom