cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wekeni links bas tupige kuraaa.View attachment 2299302View attachment 2299303
Inonga anawania tuzo ya beki bora wa Congo Kwa wachezaji wa nje .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni links bas tupige kuraaa.View attachment 2299302View attachment 2299303
Inonga anawania tuzo ya beki bora wa Congo Kwa wachezaji wa nje .
Akili zako unazijua mwenyew 🤣🤣🤣Mara nyingi tuzo ya Goal bora huwa inaenda kwa wachezaji wanaocheza timu ndogo na ambazo hazijulikani duniani
Aende wap huyoMayele kapewa ng'ombe mambo ya Morocco hayamuhusu siyo level zake,tunachotaka ng'ombe anenepe. Sakho ndo habari ya Africa nzima na dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anachezea timu kubwaHuyo mshikaji ni mmbongo kwani..?
Mayele yupo machungani Sakho yupo Morocco kweli dunia haina huruma.Aende wap huyo
Yule kipa alishangaa mpira ushaingia wavuni, hakuna golikipa duniani angeokoa like goli.Nilichokisikia ni kwamba hata golikipa aliyefungwa hilo bao alikuwa wakwanza kumpigia kura sakho
Bado nipo Morocco nashangiliaJamani wana simba wenzangu tumpumzike sasa maana lile jambo letu limetimia.
Ninawatakia usiku mwema kwa hisani ya goli bora la dunia 2021/2022
Mayele na bangala vipi nao bila kumsahau djuma shabaniView attachment 2299302View attachment 2299303
Inonga anawania tuzo ya beki bora wa Congo Kwa wachezaji wa nje .
Huyo mshikaji ni mmbongo kwani..?
Una makombe mangapi ya Africa?
Una muwaza Al Ahly na Wydad na kikosi cha kina Akpan na Onyango?
Soo Fun!
Hatimaye Simba wame beba kombe lao la Caf.
Halafu wajinga wachache hawaoni faida za uwekezaji wa MO , pumbaf!!Hongera sana kwake..
Mdogo mdogo Simba itasikika zaidi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kolo pekee mwenye akiliPamoja na yote dogo yuko OVERRATED sana naongea kama Shabiki kindaki wa Mnyama wanasimba wanataka kumfananisha na miqquison lakini dogo kuna namna anakwama sana uwanjani kwanza ni MCHOYO MNOOO wa PASI hasa akikalibia golini na matatzo kadhaa kama kulazimisha kupenya ndani ya Box naamini akiambiwa ukweli atabadilika na angekua hatari angekua ana walau goli 5 tu za ligi POVU ruksa
Kweli kabisa. Kila anayeangalia hilo goli anaona pia hayo maandishi Visit Tanzania kwenye jersey ...Simba SC ndio timu pekee Tanzania inayoliwakilisha taifa kila mwaka na kuitangaza nchi kimataifa, bila Simba SC Tnazania ingekuwa haijulikani iko upande gani wa dunia.