Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Kwa kuwa wanasimba mwaka huu hatujapata kombe lolote,naomba uongozi wa simba hii tuzo ya Sakho tuifanyie trophy parade kutoka airport mpk ofisi za Simba pale Lampard electronics

Ili afrika ishangae kwa Trophy parade ya tuzo ya Sakho
Kwa mbuzi kama hizi inawezekana kabisa
JamiiForums-1485335973.jpg
 
Kwahyo makolo wana makombe mawili ya CAF msimu uliopita. Kombe la robo fainali na kombe la Sakho
 
Mara nyingi tuzo ya Goal bora huwa inaenda kwa wachezaji wanaocheza timu ndogo na ambazo hazijulikani duniani
Oooh kumbe ndio mana hata tuzo la tff goli bora lilienda Kwa kile kitimu kidogo
 
Back
Top Bottom