Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Kwa kuwa wanasimba mwaka huu hatujapata kombe lolote,naomba uongozi wa simba hii tuzo ya Sakho tuifanyie trophy parade kutoka airport mpk ofisi za Simba pale Lampard electronics

Ili afrika ishangae kwa Trophy parade ya tuzo ya Sakho
Kwa malimbukeni hilo mbona ulilosema linawezana

Kama waliweza kumbeba juu juu boss wao na wachezaji unafikiri ilikuwa ni ngumu kufikiria ishu ya wao kugeuza mbio za mwenge kwenye kombe?
 
Kwa kuwa wanasimba mwaka huu hatujapata kombe lolote,naomba uongozi wa simba hii tuzo ya Sakho tuifanyie trophy parade kutoka airport mpk ofisi za Simba pale Lampard electronics

Ili afrika ishangae kwa Trophy parade ya tuzo ya Sakho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badooo mbna utatapikaa kamasiii, ndo kwanzaaa kidondaa kibichiii, hata kutonoka hakijaanza.

Byuti byuti.
 
Pamoja na yote dogo yuko OVERRATED sana naongea kama Shabiki kindaki wa Mnyama wanasimba wanataka kumfananisha na miqquison lakini dogo kuna namna anakwama sana uwanjani kwanza ni MCHOYO MNOOO wa PASI hasa akikalibia golini na matatzo kadhaa kama kulazimisha kupenya ndani ya Box naamini akiambiwa ukweli atabadilika na angekua hatari angekua ana walau goli 5 tu za ligi POVU ruksa
CHURA🐸🐸
 
Mashabik wa simba wanafuraha sana furaha yao iko hivi

Mpole kuwa mfungaji bora
Hattrick ya Sopu
Manara kufungwa
Goli la sakho kuchanguliwa

Ila nawaambia 13.8.2022 maji mtaita mmaah
 

Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022.

Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na Zouhair El Moutaraji wa Wydad Athletic Club.

Sakho alilifunga bao hilo wakati #Simba ikishinda 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas mchezo wa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam, Februari 13, 2022

round hii manara na wanaomtetea wanapigwa spana both ways.

nyuma waanakula spana za kutosha za kamati ya maadili ya tff, mbele wanakula spana za kutosha za ushindi wa tuzo ya goli bora la mwaka la CAF kutoka kwa mchezaji hatari wa simba, pape ousmane sakho.

hawana pa kutokea kudadadeki zao....maumivu kila kona.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama mlivyoona,na ndio imekuwa hivyo qenye maoni toeni wenye dukuduku pia semeni..

Ni senegal na simba sc.
IMG_5380.jpg
 
Huko Bongo kumbe bado ni usiku muda huu?

Anyway usiku mwema ila huku chicago bado ni mchana
Sawasawa, huku ni mida ya wale wenye technology ya asili kujimwambafai huku na kule
 
Historia imewekwa na mchezaji wa Simba.
Simba imetajwa, miaka iliyopita Simba imefanya makubwa lakini wengi wanabeza.
Simba ni fahari ya Tz.
Sasa inapigwa vita.
Na katika ligi yetu goli bora la nani???
Hili hapa hiliii
 

Attachments

  • IMG_20220721_233544.jpg
    IMG_20220721_233544.jpg
    45 KB · Views: 3
Mashabik wa simba wanafuraha sana furaha yao iko hivi

Mpole kuwa mfungaji bora
Hattrick ya Sopu
Manara kufungwa
Goli la sakho kuchanguliwa

Ila nawaambia 13.8.2022 maji mtaita mmaah
Tunahangaika na vile vitu vinavyotambaliwa nje ya mipika ta Tanzania. Wewe baki unahangaika na NBC premier league huku wenzio tukiwaza jinsi ya kuwafikia wakubwa wenzetu barani Africa kama Al ahly, Wydad et al
 
Back
Top Bottom