Pascal Mayala from Cape to Mumbai, hadithi iliyojificha yasimuliwa

Hata mimi nilipomuuliza kama anaweza kuwa Lakha huku mwenendo wake unamakandokando ya mtazamo wa upande mmoja, hajanijibu.
 
Huyu ndugu kwa Mimi aliwahi kunisaidia ktk Maonyesho ya Sabasaba kwenye Banda la NSSF kwani alinipa Maiki na nilipata nafasi ya kutoa Maumivu yangu kwenye huu mfuko ambayo niliyapitia kuanzia mwaka 2020 ambao ndo nilipunguzwa kazi ikashindikana kulipwa fedha zangu zote mpaka mwezi uliopita ambao ndo Walinilipa Mafao yangu yote
Kwani japo nilichelewa lakini niliweza kuyatoa Maumivu kwa huu Mfuko.
Japokuwa mm sikubaliani na mada zake nyingi lakini nawiwa kumchangia Ndugu Paskal ili sijui anatumia njia gani kuchangiwa.
 
Asante kwa niaba yake.
Watanzania wengi tunapokuwa na ufungamano upande mmoja tunajenga chuki na upande mwingine tukisahau kuwa dunia duara, utazungurukaa lakini utarudi ulikotoka.
 
Pascally nisubiri CRDB kesho asubuhi nikitoka kuchukua mpunga wangu naweza kukuachia kijisenti cha mafuta ya kukusaidia kwenda Dodoma.

Salam aleikum Ngongo safarini kwa mkuu wa mkoa Chalamila nina jambo la kumwambia nitaongea nae nikiwa ofisini kwake.
 
Pascally nisubiri CRDB kesho asubuhi nikitoka kuchukua mpunga wangu naweza kukuachia kijisenti cha mafuta ya kukusaidia kwenda Dodoma.

Salam aleikum Ngongo safarini kwa mkuu wa mkoa Chalamila nina jambo la kumwambia nitaongea nae nikiwa ofisini kwake.
 
Pascal Mayalla pitia hapa umueleweshe huyu mdau
 
Paskali ni wale wale nae ni mchumia tumbo, characteristic moja wapo ya wachumia tumbo ni wanafiki.

Hapo sio anahitaji ili aipambanie tanzania 🇹🇿 la hasha ni binafsi,
Hivyo ukitaka kuchangia mchangie, ni kama vile huwa tunawasaidia wengine, unaona inafaa kumchangia mchangie, ukiona hovyo unavunga, katika maisha lazima kuwe na PANDE MBILI.

kuna 1217 kwenye simu nitamchangia hiyo, kama nisipopata buku jero la kuongezea nijiunge BUNDLE 😂🤣
 
Acha roho mbaya kama unamchangia mtu unamsaidia tu kiroho safi na sio kuanza kuhesabu mabaya aliyokufanyiaa... hii roho mbaya ya mtoa mada ni zaid ya uchawi
 
Mkuu Pasco is a balanced guy ingawaje yeye, kama mimi, ni mwana CCM.
Pasco ana disadvantage moja, yeye kaweka wazi utambulisho wake kama member wa JF.
Yuko muwazi, na hawezi kurarua wana CCM au serikali directly.
Kumbuka wito wa Spika Ndugai bungeni ili ajitetee kushambulia bunge/wabunge/serikali.

Sisi wengine hatuwezi sema tuko 100% anonymous lakini tuna ka autonomy ka kuweza kusema bila mipaka ya uvyama na hata kutofautiana na chama chako katika masuala kadhaa.

Tunajua Pasco ni mtu wa aina gani na all-in-all ni member influential hapa JF ingawaje nakiri kutofautiana naye katika masuala mengine.

Tumpe ushirikiano maana amekuwa na ujasiri wa kuweka matazamio yake hadharani.
 
Kama kuna mtu anaudhi kwenye kalamu yake basi ni huyu free lancer Pascal Mayalla ! Anaimani zinazoumiza sana moyo wengine mfano 1. Anaamini lissu alishambuliwa na mbowe.
2. Anaamini kina mzee mdee covid 19 wako bungeni kihalali kabisa. Hayo na mengine mengi yanaumiza sana moyo je ni halali kumchangia kama anavyotuomba?
 
Wote tumsupport ameamua kupitia mlango huo wa CCM.

Acha azichange karata.

P ni mpinzani asili, lazima atawazingua tu na kurudia RANGI zake huko MBELENI.
 
Wapiga kura ni Wana ccm na hao hao uviko 19 sasa wewe Chadomo utapiga kura gani hata kama unapinga?
 
Hoja yako ya usiku umeamua uipandishe kabisa😂😂.
Ninawakumbusha tu kuwa ipo siku ccm itawapigia magoti Watanzania.
Kwasasa wameshiba madaraka wanatutukana watakavyo.
Kwa Makonda na Lengai jifunzeni.
Maisha hubadilika na kupinduka.

Utakula mema au maovu ya kinywa chako.
Pascal Mayalla kwa moyo wa dhati nimekusamehe.

Naomba ujifunze kitu.
 

Inategemea Una umri gani wa kuzaliwa,
Na umemjua Paskali ukiwa na umri gani

So Una haki ya kuongea hayo unayoongea
 
Inategemea Una umri gani wa kuzaliwa,
Na umemjua Paskali ukiwa na umri gani

So Una haki ya kuongea hayo unayoongea
Namjua pengine kuliko wewe alipendwa sana alipomuuliza swali nduli pale ikulu akaitwa njaa na alipoenda kuhojiwa na Kamati ya bunge ila aliposifiwa tembo akalitia maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…