John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Huyu jamaa anapenda kujipa maujiko [emoji23][emoji23][emoji23] ogopa sana kiongozi anayelazimisha kusaka teuzi kiongozi Bora wala hahitaji kujibrand anajulikana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu elvischirwa, amini nakuambia sina chuki yoyote na Chadema and its the other way round, naipenda sana Chadema. Tupo baadhi ya wana CCM contemporary ambao tunaamini bila upinzani imara, hakuna CCM imara, hivyo tunakerwa sana na madudu ya Chadema ndio maana tumeitembezea bakora za kutosha tuu sio za chuki bali za kuijenga Chadema.Hajawahi kupiga magoti na kutambaa kama nyoka kwa kujifanya mnyenyekevu kisa pesa, angekuwa nazo asingekuwa mnyenyekevu, ananitia mashaka kuwa akifanikiwa chuki itaongezeka dhidi ya Chadema kwani atajiona yeye ni mbunge wa CCM.
Hivyo wakati wa maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 kuna kitu sio kizuri tulikiona na sisi CCM Wapenda haki, hakikutufurahisha, tukatoa tena ushauri kwa Chama chetu na viongozi wetu, Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na waziTanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa vyama vyote, wa dini zote, wa makabila yote, wa jamii zote, wa jinsia zote, wa rangi zote, wa hali zote za maisha, matajiri na masikini na Watanzania wa circumstances zote.
Hivyo sasa tunapokwenda kwenye uchaguzi, naomba kutoa ombi maalum na angalizo muhimu kwa wahusika wakuu wa uchanguzi huu wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, uendeshwe kwa kutumia kanuni ya Kilatini ya "ceteris paribus" na sio kutumia zile kanuni zetu za kawaida za "Mutatis Mutandis"!.
Nimesikia sauti, "voices from within" kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, kuna janga fulani litatokea.
Huyu aliyeandika haya ni mtu mwenye chuki na Chadema?.Na kwa vile hili ndilo bandiko langu la kwanza Jukwaa la Siasa baada ya Uchaguzi, naomba kuchukua fursa hii kumpongeza Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa ushindi wa kishindo, nakipongeza Chama changu CCM, na kupongeza wote walioshinda.
Japo ni lengo la kila mwana CCM, kuona chama chake kinashinda viti vyote na kata zote, ila pia kuna baadhi ya wana CCM, tunaojiita "CCM Contemporary" ambao ni makada wazalendo zaidi kwa nchi kuliko kwa chama, wamefurahishwa na ushindi wa kishindo wa CCM, ila pia ni wazalendo zaidi kwa nchi kuliko chama, tungependa kuona wapinzani makini wachache wakiingia Bungeni ili kuleta a balance of power na kujenga ile dhana ya Bunge la vyama vingi. Hivyo kushindwa kwa mtu kama Zitto ni masikitiko kwa wana CCM wazalendo wengi wa type yangu!. Tunapenda Bunge la CCM, lakini pia lenye mwamko na msisimko wa challenges za upinzani.
Hivyo kwenye kushangilia ushindi, nawasihi viongozi wetu na wana CCM wazalendo wenzangu, tushangilie kwa kiasi, tusiwatambie upinzani, tusiwakejeli, kuwatukana wala kuwabeza, kwasababu nao ni Watanzania wenzetu na wamechaguliwa na Watanzania, ila kura zao hazikutosha, hivyo kwenye hotuba zetu, tupunguze kujimwambafy na badala yake tuongeze humility na kuhutubia hotuba za upendo to heal the wounded ili kuliponya taifa na machungu ya kushindwa na kuliunganisha taifa tuwe na upendo, umoja, mshikamano na ushirikiano kuijenga nchi yetu, badala ya ku add an insult to an injury.
Kwa ushauri wangu, napendekeza rais Magufuli awateue hawa wafuatao
1. Freeman Mbowe- M/Kiti chama kikuu cha upinzani
2. Tundu Lissu- aligombea nae
3. Zitto Kabwe - Most Interactive MP
4. James Mbatia- Very Compromising
5. Prof Haruna Lipumba - Good Puppeteer
6. JJ.MNYIKA- Mjengaji hoja mzuri
Nafasi tano zilizobaki ni za wanawake, tunamuomba Magufuli amuangazie yule Queen Sendiga miongoni mwa wanawake hao.
Hili likifanyika, litatibu makovu ya uchaguzi Mkuu huu, na kuingiza vichwa vya upinzani ambavyo vitalichangamsha Bunge letu na kuliongezea msisimko.
kuna 1217 kwenye simu nitamchangia hiyo, kama nisipopata buku jero la kuongezea nijiunge BUNDLE..[emoji3064][emoji848][emoji23]Paskali ni wale wale nae ni mchumia tumbo, characteristic moja wapo ya wachumia tumbo ni wanafiki.
Hapo sio anahitaji ili aipambanie tanzania [emoji1241] la hasha ni binafsi,
Hivyo ukitaka kuchangia mchangie, ni kama vile huwa tunawasaidia wengine, unaona inafaa kumchangia mchangie, ukiona hovyo unavunga, katika maisha lazima kuwe na PANDE MBILI.
kuna 1217 kwenye simu nitamchangia hiyo, kama nisipopata buku jero la kuongezea nijiunge BUNDLE [emoji23][emoji1787]
Thanks for this na hili ndio tatizo kubwa la Watanzania wao wanaangalia watu badala ya kuangalia issues. Hata katika kutafuta viongozi wetu baadhi hawana agenda yoyote ya kuipigania kwenye kuutaka uongozi, wanauhesabu huo uongozi kama ni fursa, hivyo they spends millions kuupata na wakisha pata kazi ni moja tuu reaping!.Si vyema kuzungumzia watu, zungumzia issues
Mkuu kinondoniilala nipo!.Paskali popote ulipo unaitwa huku uje ujibu tuhuma zinazokukabili
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ila mwisho wa siku hushiriki kwenye maziko ya mwili kaburini.kumbuka hata misibani watu husimangwa na wengine kususiwa chakula kutokana na matendo yao.
Asante sana dear Englishlady, kiukweli Chadema nawapenda sana tena ingekuwa sijawa committed ningejiweka hapa Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?Paschal hajawahi wachukia wachadema
Tumekuombea ila najua utawasimanga Chadema ukiupata.Ila mwisho wa siku hushiriki kwenye maziko ya mwili kaburini.
Hivyo sasa ndio muda umewadia.
P
Shida ni hali ya kawaida kwa binadamu wote, mimi ni mtu wa mastory mastory, nikipata shida nasimulia, pia nikipata raha nasimulia!. Umeusha wahi kukutana na simulizi yangu hii Anatomical Question on Squirting: Why Only Some and Why So Much Fluid!. hapo ilikuwa ni raha tuu!. Ila pia ninapopata shida hata ya personal huja humu humu jf na ku vent Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda!Shida imemfanya asimulie safari yake ya tiba Afrika Kusini na kwenda India! Na kutoa shukurani kwa waliomchangia!
Vinginevyo bila shida hii ungeendelea kuwachunia waliokusaidia kama ulivyofanya kwa muda wote huo, mimi sijaiona shukurani ya dhati kwa wasamalia wema.Shida ni hali ya kawaida kwa binadamu wote, mimi ni mtu wa mastory mastory, nikipata shida nasimulia, pia nikipata raha nasimulia!. Umeusha wahi kukutana na simulizi yangu hii Anatomical Question on Squirting: Why Only Some and Why So Much Fluid!. hapo ilikuwa ni raha tuu!. Ila pia ninapopata shida hata ya personal huja humu humu jf na ku vent Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda!
P
Mkuu elvischirwa , kama wewe unaipenda Chadema kwa dhati, then you know for shure Chadema needs help!.Tumekuombea ila najua utawasimanga Chadema ukiupata.
Shida ni mwalimu mzuri, I have learned my lessons.Vinginevyo bila shida hii ungeendelea kuwachunia waliokusaidia kama ulivyofanya kwa muda wote huo, mimi sijaiona shukurani ya dhati kwa wasamalia wema.
Hili neno!.Asante kwa niaba yake.
Watanzania wengi tunapokuwa na ufungamano upande mmoja tunajenga chuki na upande mwingine tukisahau kuwa dunia duara, utazungurukaa lakini utarudi ulikotoka.
Mkuu maruudaniel , asante kwa ushuhuda huu maana...Huyu ndugu kwa Mimi aliwahi kunisaidia ktk Maonyesho ya Sabasaba kwenye Banda la NSSF kwani alinipa Maiki na nilipata nafasi ya kutoa Maumivu yangu kwenye huu mfuko ambayo niliyapitia kuanzia mwaka 2020 ambao ndo nilipunguzwa kazi ikashindikana kulipwa fedha zangu zote mpaka mwezi uliopita ambao ndo Walinilipa Mafao yangu yote
Kwani japo nilichelewa lakini niliweza kuyatoa Maumivu kwa huu Mfuko.
Japokuwa mm sikubaliani na mada zake nyingi lakini nawiwa kumchangia Ndugu Paskal ili sijui anatumia njia gani kuchangiwa.
Mkuu Ngongo , asante, Dom mshaenda, nsharudi na nilichokutana nacho Dodoma...we acha tuu!, ikitokea nikapenya, then itakuwa ni Mungu tuu!.Pascally nisubiri CRDB kesho asubuhi nikitoka kuchukua mpunga wangu naweza kukuachia kijisenti cha mafuta ya kukusaidia kwenda Dodoma.
Salam aleikum Ngongo safarini kwa mkuu wa mkoa Chalamila nina jambo la kumwambia nitaongea nae nikiwa ofisini kwake.
Mkuu Proved , huyu jamaa nnae, no stone will be left unturned!.Pascal Mayalla pitia hapa umueleweshe huyu mdau
Mkuu Ribose, thanks for this. Kiukweli kuna watu ni wazuri kwa michango mizuri ila sasa masimango!.Acha roho mbaya kama unamchangia mtu unamsaidia tu kiroho safi na sio kuanza kuhesabu mabaya aliyokufanyiaa... hii roho mbaya ya mtoa mada ni zaid ya uchawi
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi , thanks for this na thanks kwa mchango wako kupitia Mpesa, salio lolosoma. ThanksMkuu Pasco is a balanced guy ingawaje yeye, kama mimi, ni mwana CCM.
Pasco ana disadvantage moja, yeye kaweka wazi utambulisho wake kama member wa JF.
Yuko muwazi, na hawezi kurarua wana CCM au serikali directly.
Kumbuka wito wa Spika Ndugai bungeni ili ajitetee kushambulia bunge/wabunge/serikali.
Sisi wengine hatuwezi sema tuko 100% anonymous lakini tuna ka autonomy ka kuweza kusema bila mipaka ya uvyama na hata kutofautiana na chama chako katika masuala kadhaa.
Tunajua Pasco ni mtu wa aina gani na all-in-all ni member influential hapa JF ingawaje nakiri kutofautiana naye katika masuala mengine.
Tumpe ushirikiano maana amekuwa na ujasiri wa kuweka matazamio yake hadharani.
Ee Mkuu nimependa bure hii mentality! Tujitegemee jamani kha hizi kazi za kupigiana magoti halafu lawama baadaye hovyo kabisa! Ngoja niwahi kibaruani nalima mraba mmoja napata 2000. Kuna siku napiga mitano nakula 10k alafu napata kitochi au hata bia moja!Mbona mimi ninaokota chupa na vyuma chakavu na nimetoboa jioni niko Vitivirefu.
Mkuu Tapaiko Namkeho , kwanza pole kwa yote, kidonge cha homa ni kichungu na ukidungwa sindano inapoingia inauma ila ndio dawa inaingia!. Baadhi ya maandiko yangu ni kama kidonge cha homa machungu na mengine yana ncha kali yanachoma kama sindano, hivyo yanakuingia, this is good kwasababu ndio maandishi yenye impact, yanakuingia na kukubadili!. Nilipoitwa Bungeni Dodoma kwa kusema Bunge linajipendekeza kwa Serikali from there ujinga ule haukujirudia tena!.Kama kuna mtu anaudhi kwenye kalamu yake basi ni huyu free lancer Pascal Mayalla
Sijawahi kusema popote Lissu alishambuliwa na Mbowe!. Nilichosema kwa vile waliomshambulia Lissu ni wasiojulikana, then they could be anyone even friendly fires Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana na kwa vile matukio ya mashaka mashaka kutokea Chadema its not first time, nikasema Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?! Anaimani zinazoumiza sana moyo wengine mfano 1. Anaamini lissu alishambuliwa na mbowe.
Wako kihalali kabisa mpaka pale itakapothibitishwa otherwise.2. Anaamini kina mzee mdee covid 19 wako bungeni kihalali kabisa.
Ni vile sisi wengine tukichangia kitu hatusemi, huu mchango ni moral support at personal level. Amini usiamini, japo mimi ni CCM lakini nachangia michango vyama vyote kama Sabodo!, tofauti zetu ni figures tuu, mwenzangu ni 6 figures mimi ni single or double digits!.Hayo na mengine mengi yanaumiza sana moyo je ni halali kumchangia kama anavyotuomba?