Pascal Mayala from Cape to Mumbai, hadithi iliyojificha yasimuliwa

Namjua pengine kuliko wewe alipendwa sana alipomuuliza swali nduli pale ikulu akaitwa njaa na alipoenda kuhojiwa na Kamati ya bunge ila aliposifiwa tembo akalitia maji.
Kumbe juzi Tu hapo,

Nikajua unamjua tangu akiwa mwanafunzi wa Darasa la Prof Shivj

Au wakati wa Dar es salaam Television

Au wakati akimhoji waziri wa fedha mheshimiwa Yona

Kumbe umemjua juzi Tu,

Sio kosa lako, endelea kuwaza unachokiwaza
 
Kumbe juzi Tu hapo,

Nikajua unamjua tangu akiwa mwanafunzi wa Darasa la Prof Shivj

Au wakati wa Dar es salaam Television

Au wakati akimhoji waziri wa fedha mheshimiwa Yona

Kumbe umemjua juzi Tu,

Sio kosa lako, endelea kuwaza unachokiwaza
Mimi sio wa aina yako hayo unayoyaeleza pasko anayasema humu kila siku mpaka usalama wa taifa wa wazazi wake ameuweka wazi humu!
 
kwenye bandiko lake sijaona sehemu anaomba mchango wa hela isipokuwa anaomba moral support.

Ila jamaa sijamuelewa hapo chini nimemquote

"Hii togetherness yetu lets start using it as one, Kwanza Kwa kusahau tofauti zetu za kisiasa na vyama vyetu, tuka supportiana as one, tuka stand together as one kwa jambo letu, ile powers ya pamoja ndio the magic behind!,tutatusua!."

Hivi katika akili za kawaida inawezekana vipi mwanasiasa au mwanachama wa chama flani akamsupport mwanachama wa chama kingine kugombea nafasi ya kisiasa. Mf. Ubunge wa Afrika Mashariki
Upuudhi huo niliona kwa mrema tu.
paschal aambiwe watu wanaweza kuweka pembeni masuala ya vyama/ itikadi za kisiasa na kusaidiana kwenye masuala ya kijamii kama, Ugonjwa, Msiba , Harusi ,ubatizo,kipaimara, .
Haiwezekani niweke pembeni itikadi zangu za kisiasa ili nikusaidie wewe utekeleze itikadi zako za kisiasa kupitia chama chako ambacho sio changu.
Paschali ashauriwe amtafute Mzee wa kiraracha yule anaweza kufanya hivyo
 
Kwahiyo hiyo pesa gawa kwa idadi ya watu ni jozi za viatu!
 
Sasa mbona unachanganya CCM na serikali! Mimi nilidhani serikali ni mali ya wananchi na haitatokea hata nukta moja nchi kuwa haina serikali, alipoondoka mwingereza serikali haikuondoka ilibaki ila msimamizi aliondoka na akaingia msimamizi mwingine. Hofu yangu ni kuwa akipata hatawatambua watu wote isipokuwa wanaccm.
 
Hakuna mwanasiasa anayepambana kwa ajili yako, ni kwa matumbo yao
 
Mkuu nadharia ya kisiasa haitakuacha salama!
 
Sijasema tusimchangie, kumbuka hata misibani watu husimangwa na wengine kususiwa chakula kutokana na matendo yao.
Bwashee kama huna pesa ya kumchangia we kaa kushoto na porojo zako acha watu wengine wachange.
Chadema mnatembeza bakuli kila siku hapa, tunawachangia hata tusiokuwa wanachadema, leo imekuwa nongwa kumchangia Pascal?
 
Mbo
Bwashee kama huna pesa ya kumchangia we kaa kushoto na porojo zako acha watu wengine wachange.
Chadema mnatembeza bakuli kila siku hapa, tunawachangia hata tusiokuwa wanachadema, leo imekuwa nongwa kumchangia Pascal?
Na unazidi kumharibia kwa kuweka uvyama, mimi nilijua anachangiwa yeye Paskali kumbe ni CCM! Ubunge wa EALA si wa vyama kama ulikuwa haujui, ni wa nchi na mbunge hutambuliwa kwa nchi yake si chama chake.
 
Paskali mbona sikuelewi, mtu anakuja hapa anasema baba na mama yako ni maafisa wastaafu wa usalama wa taifa, kisha wewe unampa dole! So proud!
 
Kwani kugombea napo ni mchakato sana ...SI kuchukua fomu kurudisha na nauli tu !!?? Fomu shilingi ngapi !!?? Au ndio " SIASA ZA MKONO MTUPU HAULAMBWI"...... Tunasafiri ndefu kama Taifa.
 
Mayalla alipandisha uzi humu kuomba msamaha, kwa wote aliowakosea na akatangaza msamaha kwa wote waliomkosea, hivyo mambo yasiwe mengi mpe moyo, msapoti na umshauri maana na yeye ni binadamu Kama tulivyo sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…