Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Watu wana sahau kuwa ile ni kazi kama nyingine.Paskali mbona sikuelewi, mtu anakuja hapa anasema baba na mama yako ni maafisa wastaafu wa usalama wa taifa, kisha wewe unampa dole! So proud!
Kazi waliyoifanya wazazi wako inakuhusu nini wewe mtu mzima, kama baba yangu alikuwa nyonganyonga naye pia alilifanyia taifa kazi nzuri, mimi inanihusu nini?Watu wana sahau kuwa ile ni kazi kama nyingine.
Kule kuna walinzi wa viongozi, wahasibu, madereva, maafisa utawaka na utumishi.
Ni kwa vile awajitangazi kazi nzuri wanayolifanyia taifa.
Naungana na wewe katika hilo.Kazi waliyoifanya wazazi wako inakuhusu nini wewe mtu mzima, kama baba yangu alikuwa nyonganyonga naye pia alilifanyia taifa kazi nzuri, mimi inanihusu nini?
Kura za Ccm pekee zinatosha kumpitisha ubunge wa EALAHaujui wabunge wa EALA wanavyopatikana ungeuliza kwanza kisha uje hapa, hata hivyo Paskali hatakuwa mgombea peke yake toka CCM.
Cdm kwanini mnaona masuala ya kiusalama ni adui kwenu? Kwako Pascal kutajwa kama zao la maafisa unaona katukanwa, kashfiwa, singiziwa ama?Paskali mbona sikuelewi, mtu anakuja hapa anasema baba na mama yako ni maafisa wastaafu wa usalama wa taifa, kisha wewe unampa dole! So proud!
Kwamba amekosa 1 M ya kuchukulia fomu? Basi kama ni hivyo Hali yake mbaya sana.Hajawahi kupiga magoti na kutambaa kama nyoka kwa kujifanya mnyenyekevu kisa pesa, angekuwa nazo asingekuwa mnyenyekevu, ananitia mashaka kuwa akifanikiwa chuki itaongezeka dhidi ya Chadema kwani atajiona yeye ni mbunge wa CCM.
Lengo lake ni kutaka kuona idadi ya watu wanaomuunga mkono, pia upo uwezekano wa mtu kupelekwa bila ya kuwa na mtu anayemuunga mkono, vyeo vyetu hupatikana hivyo kibabebabe.Kwamba amekosa 1 M ya kuchukulia fomu? Basi kama ni hivyo Hali yake mbaya sana.
Ila nadhani anataka angalau apate support si kama kakosa.
Na mimi zao la Nyonganyonga magereza ninajivunia pia, sasa sijui wewe na mimi tunafaidika vipi! Ni uswahili tu unakusumbua.Cdm kwanini mnaona masuala ya kiusalama ni adui kwenu? Kwako Pascal kutajwa kama zao la maafisa unaona katukanwa, kashfiwa, singiziwa ama?
Yeye ndio anasema ulitaka afanyeje?
Mkuu elvischirwa, kwanza asante kunianzishia thread, lile jambo langu ni leo!.Pascal Mayalaa dunia duara, tenda ulitendalo lakini kuna siku utakwama na kuwarudia unaowachukia.
Pasikali leo anawaomba watanzania wote bila kujali tofauti zao aweze kugombea ubunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki!
Huyu Paskali anachohitaji kumuwezesha kugombea ubunge tu na hii ni EAC.
Pascal ajue siasa hazihitaji chuki za binafsi.
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe
Wote tuseme Amen!
Paskali, siku zote Mungu yuko na mja wake, Mungu hamtupi atafutaye kwa maombi nawe ndivyo utakavyofanikiwa.Mkuu elvischirwa, kwanza asante kunianzishia thread, lile jambo langu ni leo!.
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.
Hili jambo nimelianzia hapa Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
Nikakumbana na Kikwazo cha kwanza hapa Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie
Nikatoa ushauri kwa chama changu kuhusu EALA Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Kazi ya Uelimishaji Umma kuhusu EAC inaendelea Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano
Tukaitwa Dodoma kuhojiwa, huko nikakutana na A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
Sasa leo ndio kikao cha CC kuchuja majina, hivyo sala zenu zinahitajika sana kuliko wakati mwingine wowote!.
Mungu Nisaidie!.
P
Mkuu MO11 , its very true mimi naeleweka kwa shida kidogo kwa watu wanaopenda vitu rahisi rahisi. Baadhi ya mada zangu, ili kunielewa, kunahitaji utulivu fulani!.Hujawahi kumuelewa Pasco
Tumefunzwa kushukuru kwa yote, hivyo Mkuu swagazetu , nakushukuruMi siwezi kumchangia kabda nkkiwa mwendawazimu,over
Amen Mkuu Sizinga, asante sana for this.Tumsapoti tu, show luv, adui siku zote mwache aone Miujiza ya Mungu juu yako. Akifa hataona makuu yanayotendwa na Mungu baba
Mkuu SAGAI GALGANO, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, nafanya kazi bure kwa kujitolea na silipwi chochote, na sasa mimi pia ni mwanasheria wa kujitegemea kwa kujitolea, nimeamua kujikita kwenye utetezi wa haki za binaadamu kwa wasio na uwezo. Kesi ya kina Mdee sio ya haki za binaadamu na kina Mdee sio watu wasio na uwezo.Achangiwe kwani wale covid 19 anawafanyia kazi bure hawamlipi kitu?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mkuu TODAYS , asante sana. Kiukweli hata mimi bado najifunza haswa somo la humility, down to earth na namuomba sana Mungu, anifundishe kunyamaza.Mimi nadhani tumchangie kama Mtanzania akipata sawa ni watanzania wamepata akijifanya ni mwamba as mwanaccm basi tunatunza daftari kwani kesho bado kuna maisha.
👉🏾Naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
👍🏾 But remember kitu kingine, kadiri unavyojifunza kuna kitu kingine kinaibuka mbele yake, I'm just saying is more than genius.Mkuu TODAYS , asante sana. Kiukweli hata mimi bado najifunza haswa somo la humility, down to earth na namuomba sana Mungu, anifundishe kunyamaza.
P
True true true!.👍🏾 But remember kitu kingine, kadiri unavyojifunza kuna kitu kingine kinaibuka mbele yake, I'm just saying is more than genius.