Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Maneno matupu hayavunji mfupa. Ulichojaaliwa ni maneno tu, matendo ziro, na pia nina uhakika huna uwezo hata wa kujaribu.Nitamshindwaje Mtu ambaye 'Watutsi' tumemuweka hapo alipo sasa na hata 'Misaada' mingine ya 'Siri' tunampa? Tanzania iko mikononi mwetu tu.
Naendelea Kusisitiza Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania nitawapeni mno shida Watanzania kwa Vita yangu ya Msituni ya Kumpindua upesi sana.Usiwaamini wanasias na maaskofu ambao wapo tayari kubadili majina yao ili kutimiliza matakwa yao
View attachment 1628510
Oya 'nitakuchenjia' sasa hivi sawa?Maneno matupu hayavunji mfupa. Ulichojaaliwa ni maneno tu, matendo ziro, na pia nina uhakika huna uwezo hata wa kujaribu.
Hebu jaribuOya 'nitakuchenjia' sasa hivi sawa?
Kama Paskali Pascal Mayalla amesema hivyo mimi ni nani nimbishie? Kama alisema Magufuli atagombea urais 2015 ikawa kweli na pia akasema Magu atapambana na lissu ikawa kweli hivyo siwezi kubisha labda aje kukanusha.
Labda ujipindue ujiangalie UMUNIOPaul Makonda akiwa 'Rais' wa Tanzania kwa msaada wa 'Kijeshi' nilio na uhakika wa kuupata kutoka Uganda na Rwanda nitampindua haraka sana.
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.
Ndoto nzuri unatakiwa kabla ya kulala uoge halafu ule kwa kiasiPascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.
Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2025.
Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Una uelewa finyu kuhusu siasaUchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.
NB: Siasa namaanisha siasa chafu.
Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Mungu atampenda zaidi kabla ya muda huo.Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.
Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2025.
Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Ila yeye kuambulia kura moja Kawe hakuweza kupewa maono?Kama Paskali Pascal Mayalla amesema hivyo mimi ni nani nimbishie? Kama alisema Magufuli atagombea urais 2015 ikawa kweli na pia akasema Magu atapambana na lissu ikawa kweli hivyo siwezi kubisha labda aje kukanusha.
Hiyo kura ya pili ulimpa wewe? Paskal kaambulia kura moko tu.Ahaaa ahaaa, yeye aliweza kuwatabiria wenzake lakini akashindwa kutabiri kuwa atapata kura 2 za wajumbe?
Nilimuliza huyu mleta uzi huuUchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.
NB: Siasa namaanisha siasa chafu.
Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Sisi tunajua siasa ndio maaan tunajadili siasa, ww unayejua kurusha rocket na satellite fungua uzi wa mambo hayo tuje tujadili.Uchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.
NB: Siasa namaanisha siasa chafu.
Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Mkuu weka akiba ccm wanaweza fanya lolote hawaamini hawa jamaa... Japo nakumbuka ulimfanya kitu mbaya kwenye kura za Maoni kwa msaada wa Wale wenye roho mbayaNaendelea Kusisitiza Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania nitawapeni mno shida Watanzania kwa Vita yangu ya Msituni ya Kumpindua upesi sana.