Ila yeye alipata kura SIFURI Kawe isipokuwa kura yake tu.Kama Paskali Pascal Mayalla amesema hivyo mimi ni nani nimbishie? Kama alisema Magufuli atagombea Urais 2015 ikawa kweli na pia akasema Magu atapambana na lissu ikawa kweli hivyo siwezi kubisha labda aje kukanusha.
Bashite ni 'very versatile', kama anatumia cheti na jina la bandia unadhani ni kazi ngumu yeye kuwa muislam ikihitajika?Next si muislam makonda anaingia vip apo
Mkuu, katika watu walio ongea wewe umenena, shkamoooo mkuu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Uchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.
NB: Siasa namaanisha siasa chafu.
Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Mtuondolee hizi ramli chonganishi. Kupewa ukuu wa mkoa tu, tulikoma. Ndio awe Rais wa Tanzania?Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.
Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025.
Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Kama Paskali Pascal Mayalla amesema hivyo mimi ni nani nimbishie? Kama alisema Magufuli atagombea Urais 2015 ikawa kweli na pia akasema Magu atapambana na lissu ikawa kweli hivyo siwezi kubisha labda aje kukanusha.
Hivi sumu ya panya unaweza kuinywa na maziwaPascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.
Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025.
Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
rais wa jmt ni dr mwinyi mda utasema we subiri🤔Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.
Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025.
Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Mule muleKwani huyu aliepo anazo?
Unabii wake huwa unatimia lakini!Zile Ni ndoto zake za kipuuzi zenye lengo la kupata uteuzi
Bila Shaka anaona Sasa hesabu zake zimekaa migulubaja
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hio kaingia changa la macho mapema sana .Unabii wake huwa unatimia lakini!
Toka lini ukawa kinyume na chama.? Hata akipitushwa mtainamisha vichwa chini na kuunga mkono.Paul Makonda akiwa 'Rais' wa Tanzania kwa msaada wa 'Kijeshi' nilio na uhakika wa kuupata kutoka Uganda na Rwanda nitampindua haraka sana.
RAIS AJAYE NI MUISLAM HII NI KUHESHIMU UTAMADUNI TULIOJIWEKEA WATANZANIA, HAIJAANDIKWA LAKINI TUMERITHI TOKA KWA NYERERE NA WALIOFUATAPascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.