Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
kwani wangepungukiwa na nini?..
View attachment 3256194
View attachment 3256194
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba Jf huyu ndg apigwe ban ya mwaka mmoja.Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.
JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je, JamiiForums, ina mrengo wowote wa kisiasa?
Kama unaenda kwenye midahalo hiyo, jitambuloshe kwa jina la taasisi yako ya PRRRR.
Iwapo ukaendelea kufanya utambulisho wa uakilishi wa JamiiForums, kuna watu watakaofanya mambo ya hovyo na kusema nao pia ni wawakilishi wa JF.
Tunaomba Maxence Melo akemee mara moja Jambo hili kwani linafanya JF ionekane ni Mali ya chama cha siasa
Teke gani?Teke moja tu la Mayala ,nyumbu wote hoi
Mwanachama mwenzetu akipata nafasi ya kutuwakilisha kwenye matukio makubwa na akipata nafasi ya kuchangia chochote ni vyema tukampongeza kwanza kwa ujasiri wa kujiweka public mbele ya kamera na watu wote hii si mara ya kwanza Paskal kujitokeza na kuuliza maswali magumu.
Haya maswali yake mara nyingi yamesababisha watu kulipukwa na moyo. Aliwahi muuliza swali JPM na ni hakika mpaka JPM anakufa hakuna mtu jasiri aliyewahi muuliza swali gumu na wengi wao walimpongeza na kumpa sifa...
Ila leo kisa kaulizwa Lissu, basi waliokuwa hawakupenda ule ushauri wa Paskali wamekuja juu zaidi ya Lissu aliyelengwa na lile swali..je ni wangapi wanaweza kujitokeza na kutaja id fake zao mbele ya kamera.....
wengi ni mahodari hapa kwenye vidole ujasiri mbele ya kamera au maandamano zero...
Muwache paskal atambe na ajinasibu na kujimwambafai na jukwaa lake pendwa mimi nimekubali kuwakilishwa....
Mnakataa udikteta kumbe baadhi yenu ni mqdokteta...paskal hongera na jf hongera kwa kutoa member smart na bright kutuwakilisha...
Paskal endelea na misumari ila mradi usivunje sheria ukaitwa kamati ya maadili kwa mara nyingine ...
Lissu ni nani asiulizwe? Tena ushauri mzuri tu apitie jukwaani kusoma hamuoni hata hayo mawazo yenu Lissu anaweza yasoma na kwenda kuyafanyia kazi!
Vyema...je kuna tatizo tuwakilishe kwenye maandamano!Labda amewakilisha ma CHAWA wa Lumumba waliomo humu JamiiForums ila siyo members wenye mawazo huru
Kweli duuh!Mnyika kafumua hoja ya kaka yangu mpaka nikaona huruma.
Ajitambulishe kama mwakilishi wa ccm sjui prrr nin sjui. syo et mwakilishi wajamii foramNaunga mkono Hoja kwa asilimia mia Moja. Paschal Mayalla amekuwa akituheshimisha sana wana Jamii Forum. Shida ya wana CHADEMA uwezo wao ni Mdogo sana kihoja. Kwa hiyo ukiwaambia hoja tofauti na uwezo wao wa kufikiri au vile walivyo karirishwa na kukariri wanaanza kupiga makelele kama walevi. Wao wanataka muda wote Taifa zima liwaze na kufikiri katika namna wanavyofikiria wao utafikiri tumekuwa manyumbu au mambumbumbu.
Maandamano gani, ya kumpongeza mama?Vyema...je kuna tatizo tuwakilishe kwenye maandamano!
Nusu Paskali ni sawa na waropokaji wote ongeza na mwenyekiti wao kama kifungashio.Teke moja tu la Mayala ,nyumbu wote hoi
Ya kuzuia uchaguzi!Maandamano gani, ya kumpongeza mama?
Hebu nikumbusheni jamani, hivi alimtukanaje Ndugai huyu mwamba mpaka akasafirishwa kama mzigo kwenda Dodoma?Tangu atoke kwenye hichi kikao 2018 hajawahi kuwa yule Pascal aliyejulikana mwanzo.
Sijui alipewa nini.
View attachment 3256163
Kwani na wewe unasaka uteuzi?Aache kujipendekeza.
Hata mimi ni mwana CCM ila siwezi kujiita mwakilishi.
Hapana aisee, kwenye hili namtetea porti aiseee! Ina maana watumishi wa serikali wakati wa Nyerere walikuwa chawa? Hapana aisee wazee wa Pascal walikuwa wamesoma, shauri yako wewe kama ka baba kako wakati wenzie wanaenda shule kenyewe kanakimbizana na kayoga!Pascal ni mjinga baba yake alikuwa chawa wa Nyerere na mama yake pia