Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Pascal Mayalla umehusika kwa namna moja kuchangia kifo cha mama Erick Kabendela
kwa hili huwezi kuliepuka
Namfahamu Pascal Mayalla. Hajafikia level ya ukatili huo.
Ana mapungufu kama sisi wengine tulivyo na mapungufu lakini hana sababu, hana uwezo, hana nia wala hafaidiki na chochote kinachomkuta Kabendera. Muondoeni huyu mzee kwenye hizi kashfa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeye mwenyewe amekiri kwamba ndiye alifichua kuzichapisha habari zile humu

akajifanya kupinga kwa kumtetea jiwe na mwishowe jiwe akaamua yaliyotokea
 
Nimejaribu kusoma .. sijaona ushahidi wa moja kwa moja dhini ya bwana Mayala. I am just here confused why so many people hate this guy 🧐.
 
 
 
2020 hii hapa. Uteuziiiiiiii....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha Unafiki PERIOD!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
P. Mayala umechangia kifo cha mama yake Erick. Over.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba definition ya beberu!
 
I am unfeigned worried with JF members' comments and views about the matter, it's very cumbersome for us to personally attack people's arguments Na Mayalla inclusively!

Kaka Mayalla kwanza nikupongeze kwa ukimya wako, nilifuatilia uzi huu kwa ukaribu mno juu ya maoni ya wana JF, nasikitika mno kuona maoni ya wenzetu humu ambao kwa mara zote wamekuwa wakitaka haki na uhuru wa watu bahati mbaya sana hawajui ama wanataka uhuru huo uegemee katika kutimiza hisia za walio wengi, hii ni hatari!

Katika mkutano wa Mh Rais na waandishi wa habari,ni Paskal Mayalla pekee aliyeuliza swali ambalo hata mheshimiwa alitikisa kichwa, , Mayalla hakuuliza hili swali kama Mayalla au msukuma no alitimiza haki yake kikatiba na kama mwandishi wa habari anayesimamia peofession yake.

Vivyo hivyo ndg Mayalla uliendelea kutimiza haki yako kukosoa,kusahihisha na kupongeza mambo kadha wa kadha, kama msomi na mwandishi wa habari ulifanya vile kutoa maoni yako juu ya kinachoonekana leo kwamba wewe ndio source,

Kwa muktadha ule ule ulikosoa kwa kuubeba utanzania wako kama mtanzania juu ya bandiko,hivyo hukupaswa kabisa ujibiwe personally badala yake watu walitakiwa wajibu hoja na si mtu!

Wasamehe kaka Mayalla, MUNGU ndie anayejua na siku zote mwanadamu hana shukurani na asiyekutakia mema hakuchagulii tusi, leo unaonekana weww mbaya wakati ulifanya jambo la msingi kama mwingine ambavyo anatoa maoni humu jamvini na uzuri ulikuwa unajenga hoja lakini leo watu wamesahau, nimesoma mwenzentu mmja kaenda mbali na kusema eti kwa hili lazima ubebe lawama duh binadamu kweli muda mwingine hatujui hata nini tunachotaka!
Pole kaka kwa hili lakini baki imara,

Be blessed!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni busara ya kuendelea kuzungumzia suala ambalo tayari liko mahakamani.
 
Acha uongo paskali hawezi wala hana sababu ya kufanya hivyo
 
Wewe sema tu kwakuwa huwa anakukosoa ukiandika mashudu yako ya kidini ndio mana unamlalamikia.

Wewe upo kidini zaidi Mjahidina weye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanaompinga mayalla so ndo wale wale vibaraka, kila mtz mwenye nia njema na Tz hawezi ku-expose mambo ya ndani kwa maadui. Jeshini hao huwa hawana uhai
Hivi kutoa habari za nchi yako kwa adui ndo shitaka lake linaitwa kutakatisha fedha? Au mpaka Leo nchi hii hakuna sheria inayozuia raia wake kuisaliti nje ya nchi? Je , Penal Code yetu haina kifungu hicho? Sheria ya Usalama wa Taifa haina kifungu hicho? Kama kipo, mbona si moja ya mashtaka dhidi ya ERICK kama kweli hao unaowatukuza wamefanya kazi yao vizuri waligundua ERICK ni msaliti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jf siku hizi inakuwa ya kiswazi swazi,sababu ni kuacha hisia za wati ziamue juu ya maisha ya wengine.

hili nililiona hata kwa mchora katuni masudi kipanya,very bright.
siku akinanga upande wa watu furani ,basi anakuwa na wakati mbaya sana siku hiyo.bahati mbaya taaluma yake haimtaki kuwa upande wowote.ni ujinga wa mazuzu fulani kuamini hivyo.

pascal mayala,wewe ni babu sasa.
mbali na kuwa umekuwa kwenye taaluma hiyo muda mrefu tu,lakini pia unajua vyema mambo mengi sana sasa.mimi naamini kama kuna mwandishi alikuwa makini na yuko vyema kichwani,alikuwa akusome kama mwalimu na sio kizabi zabina.

leo hii mchuma janga analila na watu wa nyumbani kwao,lakini wajinga fulani wanataka kutafuta mchawi kwa mambo simple kama haya.kabendera,azori,ben saanane,wote hawa wana maisha mabovu sana nyumbani kwao,labda tuseme,walijikuta wanafanya hata kazi za hatari ili wazinusuru katika lindi la umasikini,shida ikawa hawakuwa waangalifu.

RIP mama kabendera,mimi nachukulia kifo chako ni cha asili hakija sababishwa na mtu yeyote,na kama yupo basi ni mtoto wako aliyembeba mwenyewe miezi 9,msamehe bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…