Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

Ni ujinga kuwapa sikio watu wenye njaa kama akina pascal kutetea ujinga. Kidogo kwa tanzania mkaguzi wa hesabu za serikali anaweza kuwa na uhuru kiasi fulani maana katiba imetamka na hatatishwa kufukuzwa kwa sababu tu ya kutimiza majukumu yake ila kuna utaratibu.

Hiyo ni tume ya Rais, muda umefika tuwe na tume ya wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Pasco anadhani wengi humu hawakupita kwenye mabanda au? Kama tunavyosema huku znz,maana yake darasani


Sent using Jamii Forums mobile app
Hajakosea,
Kasema lililopo
Sawa na Bashiru kusema kuwa wananufika na dola kubaki madarakani,
Huu ndio ukweli wenyewe!
Sasa kimezidi nini? hapa mtu kuse hali ilivyo?
Wengine wanataka aombe radhi,aombeje radhi?
Hata akisema Samahani nimekosea kusema hivyo,ndo itakuwa kinyume ya yale aliyo sema?
 
Ahaaa. Umedhani posho ni ndefu?
 
Naunga mkono hoja, ibara 74(7) ya Katiba ya JMT ina inasema tume itakuwa huru na itafanya kazi kwa kufuata sheria.
 
inawezekana alikuwa anaongea lugha usiyoijua au alikuwa philosophical...... so you must have been caught in translation, dude.

Pascal Mayalla nimfahamuye hawezi kuongea utumbo kama huu kwa tafsiri yako nyepesi kama hii asilani!!
 
inawezekana alikuwa anaongea lugha usiyoijua au alikuwa philosophical...... so you must have been caught in translation, dude.

Pascal Mayalla nimfahamuye hawezi kuongea utumbo kama huu kwa tafsiri yako nyepesi kama hii asilani!!
Waulize wenzio waliomsikiliza hapo Ufipa.

Huwezi kumlisha mtu maneno wakati umeweka source, ni lazima utakula ban.

Jf siyo kijiwe cha " mihogo ya kuchoma" kama hapo Ufipa!
 
Pascle anafukuzia usemaji wa serikali nafasi aliiacha wazi Dr. Abbas. Mwacheni apambane na uteuzi. Anafanya yote hayo amfurahishe bwana mkubwa aukwae. Kuwa mkweli unapoteza mvuto bro kwa mapambio yako yasiyo na vina

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nikae nasikiliza hili takataka?!

Fvck me!
 
Mkuu Yohane Mbatizaji, hoja yangu hii inaendelea kuunga mkono


NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI.
Mkuu Mhe. Mwigulu Nchemba, asante sana kulizungumzia hili la Tume huru ya uchaguzi.

Tupo pia tuliolizungumza sana lakini Watanzania wanahitaji kuelimishwa kikamilifu kuhusu hili ili lieleweke vizuri, na hata Watanzania wenyewe kwa ridhaa zao na kwa ujumla wao, kwenye uchaguzi wa October, waki amua kuichagua CCM tuu and only CCM katika uchaguzi Mkuu huru na wa haki na bila waangalizi wowote kutoka nje, hivyo CCM ndio pekee ikachaguliwa naomba tuu watuelewe.

Hili la Tume huru tumelijadili sana humu

Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

TV Prog. Alert: Tume ya Uchaguzi, NEC, Yajibu Hoja za JF Kuhusu Uchaguzi Huru na Wa Haki!

Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz

TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!

Ila naomba siku ukipata muda au nafasi, urejee kwenye bandiko lako hili,
Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020
Kuna swali hujalijibu ila pia you are free kutoyajibu depending on how busy you are.
P
 
Hii ni baada ya majibu ya suala alouliza ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…