johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Asimamie kesi kwani yeye ni wakili?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asimamie kesi kwani yeye ni wakili?!
Ni ujinga kuwapa sikio watu wenye njaa kama akina pascal kutetea ujinga. Kidogo kwa tanzania mkaguzi wa hesabu za serikali anaweza kuwa na uhuru kiasi fulani maana katiba imetamka na hatatishwa kufukuzwa kwa sababu tu ya kutimiza majukumu yake ila kuna utaratibu.huyu ni kibaraka hana jipya tume itakuwaje huru wakati wasimamizi wa uchaguzi wanaambiwa,nimekuteua mimi,nakulipa mshahara mimi,nakupa nyumba ya kuishi mimi,nakupa gari ya kutembelea nakuwekea mafuta ya bure mimi,,ole wako umtangaze mpinzani mshindi uone!!
Kaka;
Hajakosea,Hivi Pasco anadhani wengi humu hawakupita kwenye mabanda au? Kama tunavyosema huku znz,maana yake darasani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa. Umedhani posho ni ndefu?Yaani huyo dogo Paskali huwa namuangalia nachoka kabisa, nimemuangalia asubuhi Star TV anasema tume ni huru lakini sio shirikishi, na huwa anasema hivyo kila mara hapa jukwaani! Lakini hajawahi kusema hiyo tume huru kuwa shirikishi inakuwaje. Anasema mahakama na bunge pia zipo huru na tumekubali, sasa sijui amekubali yeye na nani kuwa bunge na mahakama ni taasisi huru. Huwa ninajiuliza hivi unawezaje kutoka nyumbani kwako unaenda kwenye kipindi cha televisheni ili kupotosha kwa ajili ya kusaka maslahi binafsi? Halafu nikawa namuangalia alivyonenepa nikaishia kuwadharau watu wanene.
Naunga mkono hoja, ibara 74(7) ya Katiba ya JMT ina inasema tume itakuwa huru na itafanya kazi kwa kufuata sheria.Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
inawezekana alikuwa anaongea lugha usiyoijua au alikuwa philosophical...... so you must have been caught in translation, dude.Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Waulize wenzio waliomsikiliza hapo Ufipa.inawezekana alikuwa anaongea lugha usiyoijua au alikuwa philosophical...... so you must have been caught in translation, dude.
Pascal Mayalla nimfahamuye hawezi kuongea utumbo kama huu kwa tafsiri yako nyepesi kama hii asilani!!
_"Be aware" Pascal at work!
fatuma bana!Waulize wenzio waliomsikiliza hapo Ufipa.
Huwezi kumlisha mtu maneno wakati umeweka source, ni lazima utakula ban.
Jf siyo kijiwe cha " mihogo ya kuchoma" kama hapo Ufipa!
Nasikia wewe ndio mrithi wa Mbowe kutokea hapo Bawacha!fatuma bana!
Si mpaka iwepo hoja,hicho ni kiroja bwasheeHahahaaaaaa........ Mpingeni Pascal kwa hoja makamanda!
Kawaandikia wenye akiliVyote hivi msingi wake ni raisi.
Tafsiri sahihi kuwa vyote hivyo vinatenda kwa matakwa ya msingi wake.
Sijui shule kuna watu walisomea ujuha kutokujua mantiki kuu na tamathali za semi!!
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Yohane Mbatizaji, hoja yangu hii inaendelea kuunga mkonoMwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Mhe. Mwigulu Nchemba, asante sana kulizungumzia hili la Tume huru ya uchaguzi.NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI.
Hii ni baada ya majibu ya suala alouliza ikuluMwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.