Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa punguza haraka basi andika taratibu ueleweke.Upumbavu mtume!!!.
Kwa upande mwingine Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ndiye muamuzi wa mwisho, anachoamua kifanyike ndicho hues, na si mahakama wala Bunge.
Hii ndiyo ukweli unaotuambia.
Sasa awezeje kusema tume uko hey wakati huohuo unasema uko Chino ya Rais? Utakuwaje guru wakati iko answerable kwa raisi? Si lazima itekeleze matakwa ya bosi wake?
Fikiri kabla ya kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ujuaji wako ndio unao kuponza, we Kama kweli unajua katiba kama unavyodai hapo, unashindwa vipi kujua nguvu kubwa aliyopewa rais na hiyo katiba.?
Unashindwa vipi kujua kuwa tume ipo huru kwa mujibu wa katiba hii mbovu tuliyo nayo??
Usimshambulie mtu mkuu katiba yetu ndio inavyotaka na imempa rais madaraka makubwa na kwa mujibu wa hii katiba hiyo tume iko huru kitu ambacho si sahihi kwa Umma wa Watanzania.
Tukitaka kupata kweli tume huru nje na hii ambayo katiba inatuambia kuwa ni huru basi yatubidi kwanza tupiganie katiba mpya huko ndio tutapata tume huru tunayo itaka.
Usijisahaulishe msingi wa hoja yetu tuliokuwa tunaijadili hapa mkuu.Tupiganie katiba mpya mara 2? Aliyeikataa katiba mpya ni Magufuli mwenyewe maana hii mbovu anaitumia apendavyo na sio katiba itakavyo. Narudia tena, kama hujui kitu kaa kimya.
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Usijisahaulishe msingi wa hoja yetu tuliokuwa tunaijadili hapa mkuu.
Nilikwambia tume ni huru kwa mujibu wa katiba tulio nayo na nikakukumbusha nguvu ya Rais aliyopewa na katiba.
Sasa suala na Magufuli kuwa kakataa katiba mpya Kama unavyo dai wewe hilo ni jambo lingine na hata Kama yeye kakataa haimaanishi kwamba ndio tusiendelee kudai katiba mpya.
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hiki unachosema ni sahihi 100% Ila ujue kuwa tusipopata katiba mpya hata Kama ATC/CHADEMA washike Dola bado hapatakuwa na tume huru sababu madaraka makubwa ya Rais yatakuwa pale pale na hivyo vyombo vitakuwa chini yake na si huru.Ni tumehuru kwa CCM,kwa kuwa rais ni wao,hata mahakama na bunge vyote ni huru kwao,kwa kuwa vinapokea na kutekeleza maagizo ya CCM kwa uhuru,pasipo kuingiliwa na chama kingine zaidi ya CCM na serekali yake.
Kwa hiyo naye kishawekwa kwenye kundi la wanawake?? Namwonea huruma sana Paskali. Nasema ukweli; Nilikuwa shabiki wake sana. Hakuna uzi alioandika/changia nikaacha kuzoma kila neno. Mwanzoni alikuwa poa sana, mtema nondo kweli kweli. Alipoona kuwa asipojikomba atasahaulika; na hii ndio kweli. Akaanza kujikomba komba hadi kusema/kuandika kikolomije angaloa akumbukwe. But, it's too late Pascal. No more nominations labda usali sana wapunguzwe na kifo
Huwa nafurahiaga sana uwepo wa watu Kama nyinyi inapendeza Sana kwakweli ndio maana naipenda JF.Hivi unajua unaloongea we dogo? Kuna mahali popote watu wamekaa kimya kuhusu madai ya katiba mpya?
Huyo low IQ Pascal mganga njaa ni Mwanasheria wa nchi gani? Kasajiliwa wapi kuwa Mwanasheria? Acheni kuwapa wajinga nafasi wasizokuwa nazo.Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee kuna tofauti kati ya mwanasheria nguli na Wakili msomi mbobezi.Unaposema mwanasheria nguli una maanisha nini? Alisha wahi kwenda hata law school? Je alisha wahi hata kushinda hata kesi moja?
Sent using Jamii Forums mobile app