Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Sawa Mkuu.Sio kumfundisha maisha, nataka kumjaza mapesa
Labdaamkuu nilishawahi pokea wazo kwa mtoto wa 09s na lilikua la mana sana
Taifa la akina Nape?Pascal Mayalla uzuri kwasasa taifa linatambua mchango wako na muda wako wa kushika nafasi katika hili taifa umekaribia. Amen.
Ilitabiriwa na Meneja Wa Makampuni 30-07-2023 6:11 Jioni.
Mwongo mkubwa wewe.Mali hazitafutwi na wala hazina mbinu, mali ni kama maji, hufata mkondo.
Kama haupo kwenye mkondo wa mali hata uwe mbunifu vipi ni bure tu. Na kama upo kwenye mkondo wa mali hata uwe pangoni zitakufata.
Usiumize kichwa kwa hilo.
chadema watabishaLabdaa
Akijinyonga mnaanza kusema kwanini hakusema, mimi baada ya kuona nyuzi zake za kulalamika juu ya hali ngumu nikaona nimpe fursa ya kupata walau milioni 10 kwa mwezi, itamsukuma kidogo.Hili ni jambo binafsi.
Kigezo cha mafanikio ni kipi?
Je? Wewe una mafanikio?