Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

Ndugu yetu huyu alikosea pale alipojiona ni senior journalist so alipoingia ikulu na kuanza kujimwambafai kwa maswali ya kumbana mhe, presidaa hili nalo limemweka mbali na shs!.
 
Hili ni jambo binafsi.
Kigezo cha mafanikio ni kipi?
Je? Wewe una mafanikio?
Akijinyonga mnaanza kusema kwanini hakusema, mimi baada ya kuona nyuzi zake za kulalamika juu ya hali ngumu nikaona nimpe fursa ya kupata walau milioni 10 kwa mwezi, itamsukuma kidogo.
 
Back
Top Bottom