Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisa

Inasikitisha sana.
Mayalla ni very professional. Hilo liko wazi sema hata career yake ya uandishi wa habari angepata nchi yenye uhuru kama Kenya mfano angekuwa moja kati ya waandishi na wanahabari Bora.
Tatizo misingi ya serikali yetu haikumpa nafasi kudevelop zaidi ya kuwa chawa na green guard.
Simjui,hanijui but this mzee is so smart. Natamani siku moja nimuone kwenye nafasi kubwa akiongoza nchi.
Kama wachekeshaji,maslay queen na wasiojua lolote wameweza mayalla ndo aje ashindwe
 
Hii ni moja ya issues... Usidhani tunamjadili mzee mayalla,tunachokijadili hapa ni kilichobebwa/ kilichomo ndani ya mayalla. Huyu ana uzoefu wa hali ya juu kwenye diplomasia,habari,usalama wa nchi,kuijua vyema katiba na sheria za nchi na uzoefu katika mambo ya utawala.
Tuseme ukweli mayalla ni kiongozi anayepotea kutokana na nepotism na poor governance ya viongozi wetu.
Jokate ameweza
Sabaya
Makonda
Ally happy
Chalamila
Nape
Kafulila
Mwana FA
Ety mayalla aje ashindwe. Huu ni uchawi kabisa. Sio bure.
Hawa uliowataja wameweza nini??
 
Pasco yuko vizuri kwakweli sema ndio hivo hatujui kiundani what really the obstacle behind

Ila kuna mda nae anasahau kabisa professional yake anaanza kushabikia pumba za ccm kuwin teuzi. He should learn the strong men are those who stend alone
yes, "the strongest man in the world is he who stands alone"
--- by Dr. Thomas Stockmann (AN ENEMY OF THE PEOPLE)
 
Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.

Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi.

Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park, tukajikuta tuko meza moja, ila kwa vile alikuwa star sikumshobokea, Kama ilivyo desturi yangu ya kuwakaushia mastaa so hanijui, simjui.

Kwa bahati mbaya wote tulidisco chuo,Mimi nilidisco sababu ya ugumu wa masomo ila mwenzangu nasikia ilikuwa ni figisu figisu tu za prof mmoja sio sababu ya uwezo mdogo.
Baada ya kudisco nikakimbia nchi tena kwa mara ya pili. Sikuwahi kumuona tena zaidi ya kumsoma JF na mimi siangalii TV sijui yuko TV gani siku hizi.

Kupitia JF Nimekuwa nikifuatilia maandishi yake, nara kadhaa, niseme tu maandishi yake yana unabii ndani yake, orodha ni ndefu sana nikiweka hapa hapatoshi, vitu vingine huchukua miaka hata mitano kutokea, hakuna mwana JF anayemfikia kwa hilo.

Kama hana pepo wa utambuzi basi ana roho mtakatifu. Nafahamu yeye ni mkatoliki Mzuri ila afungue tu kanisa atapata wafuasi. Nafahamu pia anapenda siasa, madhabahuni pia ni sehemu sahihi ya kupiga siasa kama akina Mama Rwakatale, Kakobe, Gwajima, Pengo, Mtikila, Sheikh Ponda, Alhad Musa wote hao wanapiga siasa kwenye mimbari.

Atumie hilo pepo la utambuzi au roho mtakatifu aliyenae kuwafikia wengi.

Maana kila utawala unamsukumia kambo utadhani hana kitu kichwani na kwa umri wake sitegemei kuona akipata teuzi,

Ni ushauri tu.
Tatizo la Paschal ni kutokuwa na msimamo, huku anataka na kule anataka, kote anakosa
 
Kinachouma umri wake unakaribia 60,Taifa limeshindwa kabisa kuvuna maarifa yake kwa faida ya wote,sio haki
Yeye mwenyewe ndio aliharibu njia yake...watu wakaamua kumharibia.....

We fikiria alikuwa anaomba hadi chupi kwa wakubwa.......hadi mama wa watu anampigia magoti asiandike habari zake.....anamuomba miguu. Lazima wamzibie kupenyaa
 
Hii sijaipata hebu dadavua mkuu
 
Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.

Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi.

Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park, tukajikuta tuko meza moja, ila kwa vile alikuwa star sikumshobokea, Kama ilivyo desturi yangu ya kuwakaushia mastaa so hanijui, simjui.

Kwa bahati mbaya wote tulidisco chuo,Mimi nilidisco sababu ya ugumu wa masomo ila mwenzangu nasikia ilikuwa ni figisu figisu tu za prof mmoja sio sababu ya uwezo mdogo.
Baada ya kudisco nikakimbia nchi tena kwa mara ya pili. Sikuwahi kumuona tena zaidi ya kumsoma JF na mimi siangalii TV sijui yuko TV gani siku hizi.

Kupitia JF Nimekuwa nikifuatilia maandishi yake, nara kadhaa, niseme tu maandishi yake yana unabii ndani yake, orodha ni ndefu sana nikiweka hapa hapatoshi, vitu vingine huchukua miaka hata mitano kutokea, hakuna mwana JF anayemfikia kwa hilo.

Kama hana pepo wa utambuzi basi ana roho mtakatifu. Nafahamu yeye ni mkatoliki Mzuri ila afungue tu kanisa atapata wafuasi. Nafahamu pia anapenda siasa, madhabahuni pia ni sehemu sahihi ya kupiga siasa kama akina Mama Rwakatale, Kakobe, Gwajima, Pengo, Mtikila, Sheikh Ponda, Alhad Musa wote hao wanapiga siasa kwenye mimbari.

Atumie hilo pepo la utambuzi au roho mtakatifu aliyenae kuwafikia wengi.

Maana kila utawala unamsukumia kambo utadhani hana kitu kichwani na kwa umri wake sitegemei kuona akipata teuzi,

Ni ushauri tu.

Biblia yenyewe haijui, niliwasihi wazee wa Mtaa wake wamfukuze Jumuia.
 
Yeye mwenyewe ndio aliharibu njia yake...watu wakaamua kumharibia.....

We fikiria alikuwa anaomba hadi chupi kwa wakubwa.......hadi mama wa watu anampigia magoti asiandike habari zake.....anamuomba miguu. Lazima wamzibie kupenyaa
Hebu tuache mambo mengine bhana sio fresh kumpaka matope hivi.. Staha itawale
 
Back
Top Bottom