Paskali Mayala, mbona huleti "analysis" ni nini zitakuwa athari kisiasa za uamuzi wowote kesi ya Mbowe?

Remember, Mbowe failed miserably by scoring ZERO in his ACSEE.

Sadly, today he pulls and uses a ton of hopeless gays to his advantages.
And can you compare Mbowe and Musukuma and so and so in our CCM? Forma education does not always matter!
 
Mkuu Unataka kumwagia mchanga kitumbua. Hii kesi sio ya kukurupukia. Ni kesi kubwa sana.
Kubwa ya wapi? Mashahidi wote wanasema ni hearsay na chooni hawabanduki, kwa Daktari pia hivyo hivyo na Judge anasema waende tu kwa daktari ili waendelee kula per diem yao... si waifute tu.. ya nini kung'ang'ania mambo? Unga hautoshi ya nini kulazimisha kupika ugali mbichi na kuendelea kuhala kila baada ua dakika 10 ?
 
Hii kesi kuiita kubwa sana ni kulikosea neno hilo heshima. Hii kesi ni AIBU sana kuwa kesi kwenye nchi ya watu wastaarabu.
Yeah. Ni aibu kubwa.

Ni kama vile kuna ā€œmtu mkubwaā€ aliyeamua kuadhirisha na kudhalilisha Ofisi ya DPP, Polisi na JWTZ kwa pamoja mbele ya umma wa Watanzania kwa makusudi kabisa.

Sijui kwa lengo gani hasa? Yaani kumfix Mbowe tu ndiyo itumike ā€œgharamaā€ kubwa kiasi hicho? Labda walifikiri kwamba watanzania wengi hawatakuwa na interest kufuatilia kesi hiyo au hawana uelewa wa mchakato wa kimahakama. Big embarrassment; aibu kubwa!
 
Sio kila mtu anatafuta pesa wengine pesa zinawatafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…