Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Kuelimika siyo kutumika upande unaokupa faida wewe.Jamii inazidi kuelimika ukumbuke
Halafu unakodhani ndio upande sahihi, haiwezi kuwa sahihi kila wakati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuelimika siyo kutumika upande unaokupa faida wewe.Jamii inazidi kuelimika ukumbuke
SawaKuelimika siyo kutumika upande unaokupa faida wewe.
Halafu unakodhani ndio upande sahihi, haiwezi kuwa sahihi kila wakati.
Remember, Mbowe failed miserably by scoring ZERO in his ACSEE.When you concede to argue with a fool he will bring you down and beat you due to his experience!
Hapa umenena!Kuelimika siyo kutumika upande unaokupa faida wewe.
Halafu unakodhani ndio upande sahihi, haiwezi kuwa sahihi kila wakati.
Ndio maana Mimi sio na sitakuja kuwa MFUASI wa mtu.Hapa umenena!
And can you compare Mbowe and Musukuma and so and so in our CCM? Forma education does not always matter!Remember, Mbowe failed miserably by scoring ZERO in his ACSEE.
Sadly, today he pulls and uses a ton of hopeless gays to his advantages.
Msukuma na Mbowe wote wale wale.And can you compare Mbowe and Musukuma and so and so in our CCM? Forma education does not always matter!
Na kukosolewa kunahitaji akili?Msukuma na Mbowe wote wale wale.
Anyway, kukosoa hakuhitaji AKILI hata kidogo.
Kubwa ya wapi? Mashahidi wote wanasema ni hearsay na chooni hawabanduki, kwa Daktari pia hivyo hivyo na Judge anasema waende tu kwa daktari ili waendelee kula per diem yao... si waifute tu.. ya nini kung'ang'ania mambo? Unga hautoshi ya nini kulazimisha kupika ugali mbichi na kuendelea kuhala kila baada ua dakika 10 ?Mkuu Unataka kumwagia mchanga kitumbua. Hii kesi sio ya kukurupukia. Ni kesi kubwa sana.
Yeah. Ni aibu kubwa.Hii kesi kuiita kubwa sana ni kulikosea neno hilo heshima. Hii kesi ni AIBU sana kuwa kesi kwenye nchi ya watu wastaarabu.
Akili Ni Kuzungumzia SOLUTIONS. Na hili siyo kila mtu anaweza.Na kukosolewa kunahitaji akili?
Na wengi hawapendi kuusikia.
Kwa hiyo solution uliyoweka wewe hapo unaona ipo valid?Akili Ni Kuzungumzia SOLUTIONS. Na hili siyo kila mtu anaweza.
Sidhani kama amekubali kupumzika - inawezekana kakosa aside wapi au bado anabashiri!Mwache Paskal apumzike , hajisikii vizuri tokea apate kura moja katika kinyanganyiro cha kugombea ubunge Kawe
Mawazo na maoni chuki ya Mrukaruka.Remember, Mbowe failed miserably by scoring ZERO in his ACSEE.
Sadly, today he pulls and uses a ton of hopeless gays to his advantages.
Mkaruka! Ninafikiri ni Mjita huyu jamaa!Mawazo na maoni chuki ya Mrukaruka.
Kama sio afanye kama anajikuna popote alipo tasafali🤔.Mkaruka! Ninafikiri ni Mjita huyu jamaa!
Sio kila mtu anatafuta pesa wengine pesa zinawatafutaTafuta pesa usaidie familia yako.
Ukiona matokeo yote unayohisi, wewe hujihusishi ujue hakuna kitakachoendelea. Hata kama Mbowe akifungwa, Maisha yataendelea kama kawaida.
Hakuna mbongo Yuko tayari kuumia kwasababu ya mtu. Wabongo Ni mabinhwa sana wa MIHEMKO na USHABIKI.
KILA mtu anataka akiamka, anaoga anavaa vizuri, ana pesa ya bando, baadaye anakaa kwenye viti virefu anashabikia tu huko Twitter.
" Duuh, aisee, makamanda ni noma Leo wamekinukisha balaaa.........[emoji3]
Au unakaa unawaza Mara Wazungu sijui watasaidia Nini, hakuna kitu.
Kwa lugha rahisi Ni kwamba watawala wanna uwezo wa kufanya chochote na wewe hakuna kitu utafanya zaidi ya kununua kibando kulalamika mitandaoni.
Hasa wenye lundo la Misukule.Sio kila mtu anatafuta pesa wengine pesa zinawatafuta