Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

Kwani waliotaka kumtoa uhai Lissu ilikuwa ni misingi gani? Sasa we unashangaa kumkatalia passport?
Kwa hiyo serikali anayoiongoza Samia ndo wanaomkatalia Lissu pasipoti yake?
 
I conquer [emoji848]
Bongo noma sana,Lisu sio mjinga amuombe rais.
 
Ni kweli kabisa. Ameomba msaada kwa mtu ambaye anaona ni wa msaada kwake na si kwa sababu ni Rais. Ikumbukwe kuwa hata kabla Mama hajawa Rais, alienda kumjulia hali Mh. TL kule Hospital Nairobi.
 
Halafu kuna watu hapa wanahoji kana kwamba wao wana akili kuliko Lissu!
 
Na aliponyimwa hela ya matibabu pia alikuwa mzembe. Omba ya sikukute.
 
Huu Uzi umenifanya niwafahamu watu upeo wa akili zao,nilidhani wana akili ni ma great thinker kumbe hata Ku reason kitu kidogo hiki wameshindwa![emoji848][emoji848]
 
Taratibu za kupata passport mpya kama uliyokuwa nayo imepotea, zipo wazi.

Kwanini uombe msaada wa Rais?

Kama alikuwa anakataliwa, alikuwa anakataliwa kwa misingi gani?

Bado sielewi aisee!
Unajua kusoma na kuandika ?
 
Wewe haya uliyoyaandika umebwabwaja.

Mnapenda sana wenzenu wafikwe nimatatizo huku mkicheka na kutoa kejeli na kila siku unajifanya ulamaa wa dini humu kumbe buyu tupu.

Ulichokiona tu?????
 
Umemjibu nadhani harudii kuhuliza tena kitu cha kijinga kama Kigogo2014 mwenziye
 
Na kwa mtu ambaye hana connection na amepoteza pasport utaratibu ukoje?
Je wanaopoteza pasport wote huwa wanaenda kumuomba raisi awasaidie kuzipata au ya kwake ni special?
Usiombe upoteze passport wakati wewe ni number one enemy of state.
 
Ninani aliyekuwa tayar kumsaidia bila ya kumuambia rais kwa vile ameonanae.

Ni mara ngapi alippkkuwepo nchi kabla ya shambulio kama anafuatiliwa Ni watu waovu mpaka namba za gar akataja ni kiongozi aliyejali hayo mwisho wake akapigwa risasi 38 na hela matiababu hakupewa na ubunge akafukuzwa sasa aende wapi unakokutaka ili asikilizwe bila ya kuongea na rais?

Kwani ameelzea moja hayo matatzo yanayomkumba yeye?
 
Kuibiwa passports kwenye hizo trains za Europe kitu cha kawaida sana. Kuna Waturuki wengi tu wanaiba bags hasa za laptop na ukiweka passport humo inakwenda.

Sasa Lissu kaenda kuomba passport mpya na wanamzungusha tu. kumbuka huyo Sokoine alipoteza cheo kwa kwenda kumuona Lissu hospitali .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…