Wakati tunajadili haya mambo tufike Mahala tufikirie na Mazingira waliyonayo akina Lisu kwa sasa. Wewe unajua aliyeiba hiyo Passport? Kwamba Lisu hajui taratibu?Taratibu za kupata passport mpya kama uliyokuwa nayo imepotea, zipo wazi.
Kwa nini uombe msaada wa Rais?
Kama alikuwa anakataliwa, alikuwa anakataliwa kwa misingi gani?
Bado sielewi aisee!
Umeajuaje kwamba ameomba msaada toka kwa Rais baada ya wanao dhani ni Watanzania zaidi wamemkatalia kumpa Passport nyingine??? Huenda pia walioiba wanajua fika wanachokifanya. Ni wazo tu