Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

Sasa kama passport ya Lissu imepotea mwezi uliopita, ambayo ni ndani ya miezi 10 ya Rais Samia, shida iko wapi? Samia naye kawaelekeza watu wa ubalozi wamfanyie figisu Lissu?
Unajua watendaji wetu, wakishajua/kuhisi labda huelewani na Mkuu wao, unapokuwa na tatizo na ukafika ofisi, kila mmoja anaogopa kwa kuhisi atachukuliwa ni msaliti!!na siasa zetu bila unafiki haziendi, unaweza kuta wala kiongozi hajatoa amri ya kuwa ukwamishwe ila wapambe ndio tatizo!!utaona kuanzia leo hata kama rais asipotoa maelekezo na hana haja ya kutoa, lakini ndani ya siku 3, unaweza sikia tayari lisu ameshakabidhiwa passport yake!!
 
Watu kufanya kazi kwa kuhisi hisi ni mbaya sana aisee!
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Pep
 
Reactions: Pep
Ww unachangia mqda ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mazingira ya Lissu kuibiwa Passport yanaweza kweli kuwa tata, ila swala la yeye kuomba Rais asaidie yeye kupata Passport nyingine nalitazama kwa kuzingatia mazingira aliyo ondokea Lissu baada ya uchaguzi 2020. Passport ilipatikana kwa kuwa fasttracked na wale Mabalozi waliokuwa wamempa hifadhi ubalozini. Bila Rais kutoa maelekezo unatarajia maafisa uhamiaji wampe ushirikiano?
 
Anayedhani amesimama aangalie asianguke...dunia inazidi kusonga mbele
 
Wewe haya uliyoyaandika umebwabwaja.

Mnapenda sana wenzenu wafikwe nimatatizo huku mkicheka na kutoa kejeli na kila siku unajifanya ulamaa wa dini humu kumbe buyu tupu.

Ulichokiona tu?????
Wacha porojo wewee, achana na mimi. Soma na jibu hoja.

Achana kabisa na mtoa hoja, humjui hakujui.
 
Reactions: Tui
Tatizo jamaa anafikiri Ulaya hamna vibaka.
 
Taratibu za kupata passport mpya kama uliyokuwa nayo imepotea, zipo wazi.

Kwanini uombe msaada wa Rais?

Kama alikuwa anakataliwa, alikuwa anakataliwa kwa misingi gani?

Bado sielewi aisee!
Kaka nimekuelewa. Yaani unachimba chini kabisa. Hapo nafikiri ni Lissu mwenyewe ana majibu. Huenda kwa hali ilivyokuwa wahusika walihofia kurudishwa home, naye akaona awe mtulivu lkn Mungu si Athuman, mwenye kil kitu kwa mujibu wa Katiba amekutana naye, afanyeje sasa? Kaomba ya umma na yake binafsi.
Tuiombee nchi yetu iende mbele. Japo wale walioshtukia wamepitishwa bila kupingwa watamind sana haya mazuri yanayoendelea
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani shangaa mkuu!
Eti Lisu aibiwe pasport alafu akae kimya?

Inawezekana Lisu alikuwa ameshaukana uraia wa tz

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ila kweli aisee….halafu aende ubalozini wamzungushe na yeye akae tu kimya hadi Samia alipoenda Ubelgiji? Hmmm 🤔
 
Ila kweli aisee….halafu aende ubalozini wamzungushe na yeye akae tu kimya hadi Samia alipoenda Ubelgiji? Hmmm [emoji848]
Yani hiyo ilikuwa agenda tosha kwake na wafuasi wake na angeitengenezea picha kwamba bado anawindwa hata huko aliko

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…