Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

Umemjibu vizuri sana huyo adui nambari moja wa mh lissu
 
Hongera sana kwa majibu mazuri sana
 
Taratibu za kupata passport mpya kama uliyokuwa nayo imepotea, zipo wazi.

Kwanini uombe msaada wa Rais?

Kama alikuwa anakataliwa, alikuwa anakataliwa kwa misingi gani?

Bado sielewi aisee!
Hutaki lissu kuomba msaada kwa rais wa nchi yake?
 
Sasa si mjibu hoja za mtoa mada
Mbona mnamtetea huyo Lissu kwa kila kitu😁
Hatujui the whole story yet.

Pengine kuna mambo hapo Tundu hajayazungumza.

___________

Hilo hapo ni jibu tayari nimekupa.

Unless mmekuja na majibu yenu mfukoni.

Embu kwanza nikurarue dislikes 🀣🀣🀣
 
Umeona wapi ? Kwani na wewe upo Ubelgiji ?
 
Hatujui the whole story yet.

Pengine kuna mambo hapo Tundu hajayazungumza.

___________

Hilo hapo ni jibu tayari nimekupa.

Unless mmekuja na majibu yenu mfukoni.

Embu kwanza nikurarue dislikes 🀣🀣🀣
Nipumzishe kidogo lol!

Kwanini mnapenda kumassumia Lissu?🀣
 
Reactions: Pep
Mama kamziba mdomo na akawa hana la kusema hajui amwambie nini, akaanza kubwabwaja.

Unafahamu maana ya hoja?

Unajua hoja inatakiwa iweje hadi iitwe hoja?

Tundu kuzungumza haya hapa, mtu anaita kubwbwaja and you call that hoja?
Sasa kwanini asifwate taratibu za kuipata!
Mbona unamtetea sana babe?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lissu kasema ameomba passport mpya na wamemzungusha?

Halafu, kama ulichodai ni kweli, kwa nini haya yanatokea chini ya Samia?
Alisema yeye na Magufuli ni kitu kimoja, kuna minions wa jiwe waliojaa kwenye system wanaamini hivyo.
 
Hii kumassumia ni gani... ama ni ki'mbarali 🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si nyie hapo mna mahaba naye kiasi kwamba mnamtetea kwa kila kitu.
Usiwe na mahaba maandazi bhana.
 
Reactions: Pep
Sasa kwanini asifwate taratibu za kuipata!
Mbona unamtetea sana babe?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukinidhibitishia hapa kwamba hajafuata taratibu, your point is valid.

Lakini bila hilo, hii sio hoja bado.

Tundu sio mara ya kwanza kutafuta ama ku renew passport.

Anafahamu process.

Hiyo iliyopotea nani alimtafutia? Hayati Magufuli? Rais Samia? ama ni JK?

Hivi mimi nikisema sasa hivi kwamba nimekosa ada ya shule, naitisha harambee nichangiwe....hilo litamaanisha sikujaribu pengine kukopa ila nikakosa?

The fact Tundu haja mention kwamba ame fail kupata pass yake kwa njia rasmi ina negate kwamba hajafuata hizo njia?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si nyie hapo mna mahaba naye kiasi kwamba mnamtetea kwa kila kitu.
Usiwe na mahaba maandazi bhana.
Reasoning mtoto mzuri, reasoning....let us reason with facts
 
Sasa kama si mara ya kwanza kwanini asiende kurenew?
Kwanini anataka Rais amerenewie?
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…