Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
Mama kamziba mdomo na akawa hana la kusema hajui amwambie nini, akaanza kubwabwaja.Hebu usimjadili mtoa mada jaribu hoja zake.
Mtoa mada yupo mambele.
Unafahamu maana ya hoja?
Unajua hoja inatakiwa iweje hadi iitwe hoja?
Tundu kuzungumza haya hapa, mtu anaita kubwbwaja and you call that hoja?